Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Connection zipo sana tu,Mimi nimekosa hela tu.Tena ni mkurugenzi halmashauri ya au basi!....aliomba 1M.na ajira zilizopita alimfanyia Mwl mwenzetu was kisw na engl akapata.yule Mwl amenisihi sana nitafute hata nusu yake ambembeleze ili nikipata ntamalizia.kwa kuwa sina hiyo pesa naamini Hakuna connection!ngoja niache ujinga.
 
Huyo mkurugenzi atakuwa na mtu wake uko TAMISEMI, sio kila mkurugenzi ana connection never, afu Kuna na kuliwa pia
 
Fikirieni kidogo..bajeti kuu itapita mwezi wa saba..mtao chaguliwa tayari mtakua kwenye mahesabu ya mishahara nk.. huu mwezi unaeza isha bila majibu au yanaeza tokea mwishoni mwa mwezi huu ila mtaopata wa saba muende huko vijijini kwenu na mtahesabiwa hukohuko hata shule zikifungwa ili mkazoee mazingira kabisa.
ndo nini
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika

Wazo zuri Sana mtaalam,Ila baadhi ya watu ni wabishi.watapinga hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom