Una masikhara sana!Pretty soon.
Tunamalizia kuwaweka Uvccm
PDF itakuwa kubwaaa hiviPretty soon.
Tunamalizia kuwaweka Uvccm
Hahahah!PDF itakuwa kubwaaa hiviView attachment 2260900
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahah!
Watu tuna hamu na PDF, wakati huwa inatuacha hoi.
Tamisemi wamegoma kutoa, na wamejikausha tu hawana habariWazee huu mkeka lini?
Next week wanatoa wakuu, so relax kureport Ni July mosiTamisemi wamegoma kutoa, na wamejikausha tu hawana habari
Kwamba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] PDF yenyewe inamwonekano huu View attachment 2262005
Tamisemi hakuna mambo ya GPAKwanza una g.p.a ya ngapi?
Ova
Lini wanatoa mkeka, hawa jamaa duhTamisemi hakuna mambo ya GPA
Kigezo kimoja wapo mwaka huu watatumia gpa na cha pili kutakua na usailiTamisemi hakuna mambo ya GPA
Jipange kwa usaili
Sijawahi kuona umeandika kitu chenye tija sehemu yoyote ile humu jf ...nadhan pia umeshapata ndio mana unasema hayo maneno yakoHi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Haaa anaongeaga pumba, huwezi jua labda ye ndo BashungwaSijawahi kuona umeandika kitu chenye tija sehemu yoyote ile humu jf ...nadhan pia umeshapata ndio mana unasema hayo maneno yako
Ng'ombeSijawahi kuona umeandika kitu chenye tija sehemu yoyote ile humu jf ...nadhan pia umeshapata ndio mana unasema hayo maneno yako