Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Wanadhani wewe Ni boss mkubwa, kumbe kajamba nane
Fala wewe,mimi sio boss kubwa wala sio kajamba nani...

Hakunaga connection ya kwenye mitandao na Kwa mtu usiyemfahamu..

Nilitaka kufanyia connection naweza ila siwezi fanya kwa mtu usiyemfahamu..

Eti unaenda kwenye mtandao kama hivi unasema naomba connection,una kichaa?
 
Acha upopoma, majina yalikuwa tayari, kitambo izo connection wape wadogo zako
 
Kuna mshikaji Wangu Anaitwa Samuel Amenihakikishia Kabisa Kwa Kuapa Kuwa Home Kwao Washampigia Pasi Ajira Hizi, Nipo Hapa Naweka Na Alama ..................! Ajira Zikitoka Akiwemo Nitaamini Kuwa Kweli Haya Mambo Yana Connection.
 
ngoja tuone
 
Husingemtaja jina, lkn na yeye anajigamba wakat majina bado
 
Kuna mshikaji Wangu Anaitwa Samuel Amenihakikishia Kabisa Kwa Kuapa Kuwa Home Kwao Washampigia Pasi Ajira Hizi, Nipo Hapa Naweka Na Alama ..................! Ajira Zikitoka Akiwemo Nitaamini Kuwa Kweli Haya Mambo Yana Connection.
Masomo gani na amegraduate mwaka gani
 
Masomo gani na amegraduate mwaka gani
Sasa hapa si ndio utamchoma mkuu.

Maana jamaa ameshakuambia kua anaitwa samwel.

Ina maana akikutajia mwaka na kozi aliyomaliza..jamaa atakua easy identified.
 
Ila kweli, but lengo langu Ni kuwa Kama ana Science subject, anaweza pata afu akadhani connection ndo imemuokoa
 
Back
Top Bottom