Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Halafu pia mimi niongee ukweli niachage unafki hata ningekuwa mimi nisingeweza kumuacha 2015 nikuchukue wewe 2021 nalifahamu struggle la kitaa lilivyo

Umemaliza shule juzi tu hapa mwezi wa kumi unataka uwe sawa na wenzako how special you are ?

Bora zingekuwa kada nyengine ila walimu muache na ubishi wake
Bro ivi unataka kunambia huko wanakuchagua kwa kuwa umepitia maisha magum kitaa?
Vp kama kwao.mambo safi halafu wa 2015 unakula bata huwazi kitaa jee wanalielewa hilo?

Au ndo kusema kwa kuwa ni wa muda mrefu basi kapigika tu?
 
Connection muhimu sana aiseee watu wanapta kwa sababu ya connection.. Mana inakuwaje wengne huwa wanatumiwa sms kwnye email wanakwenda kuripoti kazini.. Kama sio connection ni nini sasa
 
Tamisemi ya marekani ndio mtoto wa waziri awez pita lakini ya hapa bongo weka pesa mfuko wa shati utembee ukale mema ya nchi
 
Hapa Tz labda Kama wewe Mgeni connection ndo kila kitu Katika Kupata Ajira

Yaani hapo Tamisemi Kuna Jamaa kibao wanaingia kila siku bila hata kuomba huyu mtoa Mada hajui chochote au Kama anajua anajaribu kuwa-blind watu ili waonekane hao Tamisemi wapo well equipped kumbe nothing.
 
Mtoa mada ajui kitu kuhusu tanzania sisi tuna madudu mengi ya tamisemi twayajua tunaamua tulia tu hapo tamisemi kuna mzee alikuaga director of undergraduate udom ameamishiwa hapo mjukuu wake alimpa shavu chap na mjuu wake alimaliza udom pia 2021 wew mtoa mada unasema nini hyo tisa 10 nkisema hapa utaichukia nchi tamisemi kuna madudu mengi ukisikiliza kale ka clip cha dada anjela jana yupo seriously utazani kweli ety akuna connection tamisemi eti yeye amevichunia vimemo kutoka kwa wabunge ahaaaa ety vipaombele vyaangaliwa ngoja huone mkeka ukitoka kuna watu waliomaliza 2022 na masomo ya kiswahili ambayo ayapo ata kwenye tangazo wataajiriwa nipo hapa naomba uzima nifike cku ya mkeka wa tamisemi utakapotoka tuuchambue pamoja
 
Oky zitafute hizo connection sasa
 
Oky zifate hizo connection sada
 
Oky zifate hizo connection sada
Nishapitaga hyo level kitambo sasa nafanya mambo yangu. Na lengo hapa ndugu sio kuhamasisha connection zitawale no hapana lengo ni kuzionesha mamlaka huu mchezo mchafu wanaoufanya waache waruhusu mchakato uwe wa huru na haki
 
Tamisemi ya marekani ndio mtoto wa waziri awez pita lakini ya hapa bongo weka pesa mfuko wa shati utembee ukale mema ya nchi
Kuna mtu alisaidia watu bure, Wala Nini, Kuna mtu nilitaka kumsaidia kumwelekeza ajitambulishe nimpe maelekezo, au twende naye kumface Yule mtu, Ila ye akuelewa na maanisha Nini? Namwambia omba kazi serikali, kanijibu, Asante, nikamwambia Ilo sio jibu, sema nimejaribu au hapa nilipo pananitosha tu, kajibu, haaa,haa nikamwambia Kuna kitu na maanisha Ila unielewi nitakuambia siku nyingine, kajibu kweli, nikamwambia kwaheri, ye kasomea bugando yupo Kuna duka kubwa la madawa, nilitaka kumwelekeza kutokana na ukarimu na nidhamu ukienda pale dukani kwao, na nikiongozi pale.
 
Hata ikulu Ni connection tu...inshort hata msiban bila connection unaweza ukakosa msosi
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika

Updates

Nawakumbusha vijana msitoe vihela vyenu kisa ajira za Tamisemi
 
Back
Top Bottom