Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Mimi kuna mshikaji ni daktari akaniambia ana mtu wake wizara ya Elimu so connection laki 5 lakin nalipa laki 2 kwanza laki 3 nikienda kulipoti kituoni namalizia..nikamwambia fresh nitakupa nilimuamini kwasababu namuonaga sana anapiga picha na kina ummy mwalimu , shemdoe na viongozi wengi so nilimuamini nilishtuka kwamba naweza pigwa na kitu kizito kwasababu alikua ananisumbua sana kila sekunde anapiga simu nikamwambia sijapata akasema kopa basi akaendelea kunisumbua nikawa sipokei simu zake baadae nikamwambia nimekosa hela..akakasilika mwenyewe eti nimemsumbua bure yan alikua anamzuka ananishinda hadi ninaetaka connection
Mwaka 2020 Kuna mdada alitoa 1m akapta ajira, mwaka 2021 akawatonya wenzake wawili wakakopa na kutoa 1m, kilichowakuta wote walikosa, Ila nasikia connection zipo CCM na bungeni
 
Mnapojadili msichanganye connection na Rushwa. Connection inaweza kuwepo bila Rushwa. Unapozungumzia connection unapaswa kufahamu ilikuwepo, ipo na itakuwepo milele na milele. Vitabu vyotee vya dini tunazoamini connection zimo za kutosha. Wapo wanafunzi wa Yesu walipata mchongo huo kwa connection na wapo waliopata miujiza kwa connection. Leo ni vipi hiyo kitu isiwepo!!

Kuhusu Rushwa, nayo hauwezi kusema et haipo mahali fulani, ukiwaza hivyo ujue hauna taarifa za kutosha. Rushwa itakoma kama matabaka yatakoma na ikiwa shida za watu wotee zitakwisha kitu ambacho hakiwezekani.
 
Point
 
Si ulinipinga wewe lkn sitapata
Sijakupinga nimesema mliomaliza hivi karibuni kama nyie 2021 msijipe matumaini sana kupitiliza msije mkaumia
Ungekuwa na Connection ingekuwa magoli zaidi japo kupata bila connection kupo pia

Ukipata usisahau kuchinja kuku hapo nyumbani maana kila ilivyo mama huko mbeleni baadaye atawaboreshea maslahi yenu
 
InshaAllah nitapata na imani na nikikosa ntatoa mrejesho pia,
 
Sijakupinga nimesema mliomaliza hivi karibuni kama nyie 2021 msijipe matumaini sana kupitiliza msije mkaumia
Ungekuwa na Connection ingekuwa magoli zaidi japo kupata bila connection kupo pia

Ukipata usisahau kuchinja kuku hapo nyumbani maana kila ilivyo mama huko mbeleni baadaye atawaboreshea maslahi yenu
2021 physics wameula
 
Connection zipo uhakika asilimia mia , kuna jamaa yangu ni mnufaika wa hiyo connection
 
Mnapojadili msichanganye connection na Rushwa. Connection inaweza kuwepo bila Rushwa. Unapozungumzia connection unapaswa kufahamu ilikuwepo, ipo na itakuwepo milele na milele. Vitabu vyotee vya dini tunazoamini connection zimo za kutosha. Wapo wanafunzi wa Yesu walipata mchongo huo kwa connection na wapo waliopata miujiza kwa connection. Leo ni vipi hiyo kitu isiwepo!!

Kuhusu Rushwa, nayo hauwezi kusema et haipo mahali fulani, ukiwaza hivyo ujue hauna taarifa za kutosha. Rushwa itakoma kama matabaka yatakoma na ikiwa shida za watu wotee zitakwisha kitu ambacho hakiwezekani.
Nani alikuwa mwanafunzi wa Yesu kwa connection?
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Kuna mmja kanifuata inbox inaomba connection,nikaishia kumshangaa tuu..

Bora umewachana live
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom