Certificate na Diploma za Education inabidi zifutwe tuwe Kama Ulaya, Mwalimu yeyote ata wa kindergarten awe na bachelorHuu mkeka una balaa sanaa hadi sasa bila bilaa. Ila inavyoonekana degree wameula kuliko certificate na diploma kwa TAARIFA za chinchini huko kichikani. PDF inashushwa soon certificate tunapumulia mitambo [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
ulaya ya niookoCertificate na Diploma za Education inabidi zifutwe tuwe Kama Ulaya, Mwalimu yeyote ata wa kindergarten awe na bachelor
Muanze sasa kuandaa nauli za kwenda NanjilinjiHuu mkeka una balaa sanaa hadi sasa bila bilaa. Ila inavyoonekana degree wameula kuliko certificate na diploma kwa TAARIFA za chinchini huko kichikani. PDF inashushwa soon certificate tunapumulia mitambo [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Kama watawemo maana nasikia Ni connection mwanzo mwishoMuanze sasa kuandaa nauli za kwenda Nanjilinji
Ngo'mbeulaya ya niooko
Kwa unaukana tena uzi wako?Kama watawemo maana nasikia Ni connection mwanzo mwisho
Life is change kijana[emoji3]Kwa unaukana tena uzi wako?
Sio wewe uliyesema hakuna connection?
Kwamba jamaa kajisahau[emoji3][emoji3]Kwa unaukana tena uzi wako?
Sio wewe uliyesema hakuna connection?
hahaha!Life is change kijana[emoji3]
Jamaa kaamua kusema ukweli mara baada ya kuwazingua vijana wasisake connection na sasa dirisha la connection inawezekana limefungwa.Kwamba jamaa kajisahau[emoji3][emoji3]
hamna cha kusema ukweli uyo ana akaunt mbili anakua anazitumia kukoment kwenye uzi wake mwenyewe sasa kasahau kulog aut ili atumie akaunt nyngne kukomentJamaa kaamua kusema ukweli mara baada ya kuwazingua vijana wasisake connection na sasa dirisha la connection inawezekana limefungwa.
Not easy folks,,mie ndo mwenye Uzi afu niswitch accounthamna cha kusema ukweli uyo ana akaunt mbili anakua anazitumia kukoment kwenye uzi wake mwenyewe sasa kasahau kulog aut ili atumie akaunt nyngne kukoment
Yaaani Mimi nizuie watu kutoa hela zao poleJamaa kaamua kusema ukweli mara baada ya kuwazingua vijana wasisake connection na sasa dirisha la connection inawezekana limefungwa.
SureCertificate na Diploma za Education inabidi zifutwe tuwe Kama Ulaya, Mwalimu yeyote ata wa kindergarten awe na bachelor
Kweli mkuu unakutana na Mwalimu wa Shule ya msingi yaani Ni kilaza hatariSure
Ni aibuKweli mkuu unakutana na Mwalimu wa Shule ya msingi yaani Ni kilaza hatari
Hii dunia kuna watu wana roho mbayaJamaa kaamua kusema ukweli mara baada ya kuwazingua vijana wasisake connection na sasa dirisha la connection inawezekana limefungwa.
Hamna kujisahau mtoa mada ni mnafikiKwamba jamaa kajisahau[emoji3][emoji3]