numis
Senior Member
- May 25, 2017
- 176
- 188
kama utaungwa ulete mrejeshoBado mkuu
kama utaungwa ulete mrejeshoBado mkuu
Mpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa kwa ajili ya kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.kama utaungwa ulete mrejesho
doh si mchezo....ila kwa ukimya wake lazima ulete maswal mengi sana afu nimeona amesem yuko mwanza na mm niko mwanza mbn hali ya hewa shwar kabisaMpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa ili kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Nakuondoa shaka, Hao wana JF ni kweli wanaunga vifurushi, na hawajaanza jana, ni wa kitambo. Kuwa na amaniam sorry ,kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Mbona alishakujibu utulie kwanza mambo hayajakaa sawa makao makuuMpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa kwa ajili ya kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Mkuu ikitokea tena hii ofa nijulisheOFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
acha walizwe si wanajifanya wajuajUjue kila mtu na imani zake.... Kama unataka amini kama hutaki basi.
Kumekua na matapeli wengi ndio maana but this is Legit. View attachment 2002376
Kifupi mkuu kuna member ni wakongwe humu Pengobovu na donlucchese ni wa siku nyingi sana wanaaminika. Kuwa tu makini na members wapya ambao hawafahamiki.
Sawa mkuu kama ndio unavyo wewe hakuna shida. Ni one man's opinion, watu wakubwa sana humu Jf na nimewaunga bila hiyana na waulize policy yangu ikoje tena wewe nikakwambia kabisa usifanye payment before huduma haijafanyika kucreate mutual trust leo hii unasema nakusanya namba za simu. Za kazi gani mimi? Anyways forget we ever discussed business bro.Mpaka sasa hivi bado kimya.Ila kusema kweli kwa upande wangu nina mashaka.Siyo mashaka ya kupigwa hela ila akili zangu zinaanza kuniambia kuwa huenda ni namba za simu zinakusanywa kwa ajili ya kukamatisha watu,am sorry kama nitakuwa nipo wrong.Ni hatari sana kutoa namba yako ya simu kwa mtu wa JF.
Ni kawaida kabisa kwa mteja deal au biashara inapochelewa kuwa na mashaka especially kwenye mitandao ya kijamii ambayo lengo ni privacy kama hii.Hili linapaswa kuwa sehemu ya changamoto katika biashara yako.Hupaswi kwenda chuo kikuu ili kujifunza hili.Sawa mkuu kama ndio unavyo wewe hakuna shida. Ni one man's opinion, watu wakubwa sana humu Jf na nimewaunga bila hiyana na waulize policy yangu ikoje tena wewe nikakwambia kabisa usifanye payment before huduma haijafanyika kucreate mutual trust leo hii unasema nakusanya namba za simu. Za kazi gani mimi? Anyways forget we ever discussed business bro.
Hakuna cha utaperi wala nn sisi wengine tunafaidi uwepo wa hawa watu na tunakuka matunda yao ndio maana unaambiwa ulipe baada ya kuungwa huduma mimi nimeungwa na vifurushi aina 2 cha gb na call na mtu ambae hata alikuwa hapigiwi debe kuwa ni mwaminifu ila aliniunga huduma zote 2 kwa wakat tofauti na nimelipa baada ya kuungwa na zote ziko poa sana free call tigo miaka miwili na gb72 kwa mwaka kila mwezi gb6 mtu huyu ni Mr kiuno wengine walio tajwa na Chief mkwa kuwa ni waaminifu ni donlucchese na Pengobovu kwa iyo we kama huamini acha hakuna wa kukulazimishaacha walizwe si wanajifanya wajuaj
Hakuna cha utaperi wala nn sisi wengine tunafaidi uwepo wa hawa watu na tunakuka matunda yao ndio maana unaambiwa ulipe baada ya kuungwa huduma mimi nimeungwa na vifurushi aina 2 cha gb na call na mtu ambae hata alikuwa hapigiwi debe kuwa ni mwaminifu ila aliniunga huduma zote 2 kwa wakat tofauti na nimelipa baada ya kuungwa na zote ziko poa sana free call tigo miaka miwili na gb72 kwa mwaka kila mwezi gb6 mtu huyu ni Mr kiuno wengine walio tajwa na Chief mkwa kuwa ni waaminifu ni donlucchese na Pengobovu kwa iyo we kama huamini acha hakuna wa kukulazimisha
Hakuna cha utaperi wala nn sisi wengine tunafaidi uwepo wa hawa watu na tunakuka matunda yao ndio maana unaambiwa ulipe baada ya kuungwa huduma mimi nimeungwa na vifurushi aina 2 cha gb na call na mtu ambae hata alikuwa hapigiwi debe kuwa ni mwaminifu ila aliniunga huduma zote 2 kwa wakat tofauti na nimelipa baada ya kuungwa na zote ziko poa sana free call tigo miaka miwili na gb72 kwa mwaka kila mwezi gb6 mtu huyu ni Mr kiuno wengine walio tajwa na Chief mkwa kuwa ni waaminifu ni donlucchese na Pengobovu kwa iyo we kama huamini acha hakuna wa kukulazimisha
Bado tunaipambania huku tupate free kabisa tusambaze upendoKwasisi wa basi jekundu tunakula wapi?
Unatukaribisha kiaina tujiunge humoBado tunaipambania huku tupate free kabisa tusambaze upendoView attachment 2027181
Jmn mteja huyu hapa mnaaubir nn... Mkuu mi niliungwa mwezi huu huu na mambo yako byee, wafate hao nilio waandika hapo kweny commentHii free calls tigo uliungwa lini mkuu...? Na bei yake ikoje kiongozi...?
Sijawakaribisha mkuu, huko ndio tunapopataga config files na kushea na Wanae hapa ili kila mtu afaidike. Ondoa negativity mkuuUnatukaribisha kiaina tujiunge humo
Dahhh!!!! Nimetoka kapa kuishi bongo nuksiSijawakaribisha mkuu, huko ndio tunapopataga config files na kushea na Wanae hapa ili kila mtu afaidike. Ondoa negativity mkuu
Sihami Tigo.. never ever
Ukihitaji hilo bando andika neno BURE tuma kwenda namba 15166 wahi linataka ku expire
NB: UKIHITAJI KIWANJA MWANZA AMA Dar tutafutane namba yangu hio hapo kwenye salio
View attachment 2006484View attachment 2006485