Kiwembe 0
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 536
- 599
Kumbe zuga tu mkuu ngoja nifange hivyoWatu wanazisajili kwa fingerprint bila wasi
Kumbe zuga tu mkuu ngoja nifange hivyoWatu wanazisajili kwa fingerprint bila wasi
Kumbe zuga tu mkuu ngoja nifange hivyo
Niliwatolea povu halotel kwa hii ishu na hawakusema shida nini.Niliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Yawezekana chief,maana nilikua na kifurushi cha wiki.Jaribu kutounga kifurushi chochote, ukiwa unafunga Cha usiku uwe huna kifurushi.
Nimewauliza jana Voda wakasema inawezekana kuwa na lain mbili za voda na kwa ujisajili wa finger kabisa
Mbona mi nko na Ttcl na sijaona hii toka lini labdaTTCL Instagram,watsaap na facebook free ukiwa na bando yeyote active
Nilidownload GTA V ya 54GB kwa siku 2 ila wanatoa <30GB kwa usiku tuUnlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.
Mimi nilidownload FIFA 19 ndani ya usiku mzima na asubuhi saa 11 kilikuwa limeisha nikaanza jengine likadownload Kama GB 6,Nilidownload GTA V ya 54GB kwa siku 2 ila wanatoa <30GB kwa usiku tu
airtel nao wametoa hii kwasasa 1000 ni mb 10Wahuni sana hawa jamaa, mm nimeachana nao kwa sasa natumia airtel 1000 siku tatu na 1gb
Nimetumia ttcl kwa mda ila. Now nina mda sjatumia hili ni la kweli au biashara matangazo naomba mdhibitishe aiseeTTCL Instagram,watsaap na facebook free ukiwa na bando yeyote active
Hapana ya chuo hiyo bado ipoairtel nao wametoa hii kwasasa 1000 ni mb 10
Kumbe tupo wengi nilijua ni Samsung langu tuHii issue imenikuta Mara 3,hadi nikahisi wanafanya makusudi
Ukiunga net haitembei kabisaa
Ndio haizidi hapo saa kumi na mbili hyoMimi nilidownload FIFA 19 ndani ya usiku mzima na asubuhi saa 11 kilikuwa limeisha nikaanza jengine likadownload Kama GB 6,
Hizo GB 30 zikiisha kwako inakata?
Sasa wewe hiyo Gb 1 kwa siku 3, halotel ni kwa weekWahuni sana hawa jamaa, mm nimeachana nao kwa sasa natumia airtel 1000 siku tatu na 1gb
Sasa hapa ipi BoraSasa wewe hiyo Gb 1 kwa siku 3, halotel ni kwa week
Smart guy
Cha week, maana tuki_assume, wewe kwa week moja tu tayar umeshatumia tshs 2,000, sasa huoni hayo ni matumizi mabaya ya fedha?? .Sasa hapa ipi Bora
Kumbe tupo wengi nilijua ni Samsung langu tu
Voda usiku wana offer ipi nzuri ya internet?Jana sasa,net ina connect na ku disconnect kila sekunde... Hawa jamaa kavu sana..ilibd nirud voda usku bila kupenda dah
Voda usiku wana offer ipi nzuri ya internet?