Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Niliwahi kupata Hilo tatizo nilipoungia kifurushi Cha usiku juu ya kifurushi chengine, mfano una Royal bundle ukiunga Cha usiku nacho kinakuwa slow na kudisconect kila dakika.
Sasa hivi naunga Cha usiku kwenye line yake separate, na vifurushi vya kawaida line nyengine.
Na Mimi Leo limenikuta muda huu hapa,inakata na kurudi inakata na kurudi nimeahirisha hata nilichotaka kudownload nikagundua kumbe tatizo ni kifurushi nilichojiunga asubuh ....Aisee hapa wametuweza
 
Ya kujirudia means kikiisha kifurushi ukiweka hela tu wanakata automatic na kukuunga chengine, Hata Kama hio hela uliiweka kwa ajili ya matumizi mengine.
Hapo naelewa Ila Yale maelezo ya kuwa unatumia mpk mwezi ujao ndo sijaelewa
 
Ni majanga mkuu, Kama umekosa humo sidhani Kama Wana vifurushi vyengine vizuri vya internet,

Kama una simu ya laini 2 eka Halotel ama TTCL wao Sasa hivi ndio Wana unafuu wa vifurushi.
TIGO ni mtandao wa kipumbavu sana

Sio kidogo na ndugu zao voda
 
Hivi kwa sisi watumiaji wadogo wa internet ambao Halotel walikua wanatupa mb500 kwa wiki na ilikua poa

Je mtandao gani unaunafuu baada ya halotel kushuka hadi mb250 kwa wiki?

Au bado halo anaongoza?
 
Hizo ni za wiki nzima au masaa 24?
Wiki, menu Yake ni kifurushi maalumu, pia TTCL inaruhusu kuunga ussd code.

Mfano unabonyeza *148*30# Then unachagua option no 10 kuangalia salio then namba 5 salio la bandika bandua,

Kwa ttcl unaweza bonyeza *148*30*10*5#

So hicho kifurushi Cha 500 mb 777 kariri namba zake then tengeneza ussd moja unaunga kirahisi zaidi.
 
Ha ha ha 77 leo naona wametoa nimeitafuta mpk nikachina.

Tigo saiz yako mie wakinipa GB 1 basi wanazigawa mb 400 facebook mb 400 whatsapp unabakiwa na kama 300 hv internet. Unaweza shangaa ukiangalia salio una mb 600 ila hazitembei.

Ukiangalia salio kwa tigopesa app ndio unagundua uhuni. Sijui wenzangu huko
Wiki, menu Yake ni kifurushi maalumu, pia TTCL inaruhusu kuunga ussd code.

Mfano unabonyeza *148*30# Then unachagua option no 10 kuangalia salio then namba 5 salio la bandika bandua,

Kwa ttcl unaweza bonyeza *148*30*10*5#

So hicho kifurushi Cha 500 mb 777 kariri namba zake then tengeneza ussd moja unaunga kirahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom