cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Haswaa!!Duh duniani tunapita kweli jamani
Haswaa!!Duh duniani tunapita kweli jamani
May All Beings Attain Enlightenment.Ukipewa uzima na siha njema mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna miadi na tabibu mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna kesi polisi mshukuru sana Mungu
Ukiamka una sehemu ya kwenda na ukirudi una sehemu yako mwenyewe ya kupumzisha fuvu mshukuru sana Mungu
Mengine ni changamoto za kawaida za maisha! Kamwe USIKUFURU
Hivi ndio vifo vilivyoniumiza JF
1. Mwalimu Frank.. Mtu mzima above 50 alikumbwq na changamoto za kifamilia.. Tukawa na mawasiliano ya karibu.. Lakini hatimaye akafa akiwa mpweke
2. Miguu ya kuku.. Kijana aliyekuwa na ndoto za kufanya makubwa maishani.. Akapata changamoto za kiafya zilizompelekea kupata ulemavu wa miguu.. Nilishiriki kwa karibu kwenye kutafuta tiba sahihi na suluhu ya kudumu.. Lakini hatimaye alikufa😪
3. Warumi.. Alitikisa vilivyo jukwaa la celebrity.. Akapata changamoto za figo.. Hakutamani kufa mapema.. Mawasiliano yangu ya mwisho na yeye ni wakati nimemwelekeza aende hospital ya figo Kibaha loliondo.. Hakupona alikufa
4. Valentine.. Apumzike kwa amani😪 .. Pamoja na juhudi nyingi za kuonana lakini mpaka kifo kinamchukua hatukuwahi kuonana!
5. Niah.. Huyu kwangu alikuwa Dada.. Ni mama mtu mzima aliyewahi kushika nyazfa za juu serikali ya mchonga na mzee ruksa.. Alijawa na upendo na amewasaidia wengi hata hapa JF..!
6. Gwapo Mwakatobe.. Nilimuita brother. Tulishaonana na tulikuwa na mawasiliano ya karibu. Mchambuzi mahiri wa bbc meza ya duara
Baada ya hustle za maisha akatamani akaishi maisha ya shamba kwenye utulivu.. Alifanikiwa kuhamia huko .. Lakini hakudumu.. Ajali ya boda ikamtenganisha nasi😭
Jana usiku nilijikuta nawakumbuka wote hawa.. Nikajikuta bado nina mamba zao za simu! Nimezifuta zote maana zimenikumbusha mengi
Naogopa sana maana sijui nitaona kifo cha nani tena tunayefahamiana.. Ama je itakuwa zamu yangu kwao!?🙌🏿🏃🏿😭
Apumzike kwa amani.Gwapo kafariki last week
Nipo na warumi huku peponi nimemuonesha comment yako kasema sio kweli. Umemsingizia.Warumi.
Ni zaidi ya rafikii, zaidi ya mtu wa karibu, zaidi ya jiranii, nimekumbuka those days, alikua anakuja Main campus ananichukua ananipeleka maeneo ya kujidai, alikua ananifanya nifurahie uwepo wake kila akiwa karibu yangu, zaidi nilikua napenda mchezo wetu wa kuendesha Gari kwa kufukuzana. Toka aniache mpweke hata road ya Bagamoyo sipiti mara kwa mara tena.
Ina mashiko kweli Bado vitani ni sisi wanaume!Kwamba wanawake hawafi?
Kuna msemo hua nasikia wanaume hufa mapema zaidi kwa sababu ya kubeba mambo mengi sehemu ya kulia badala alie ana kaza
Hata ku share matatizo yake hawezi anahangaka nayo
But sina uhakika kama hii sababu ina mashiko
October mwishoni, mwaka janaJamani Valentine huyuhuyu ninayemfahamu au? Imetokea lini?
Labda kama ni atheist lakini kama Ukiamini katika dini na roho, lazma utathmini piaNoma huko unakokwenda hakuna shida hata we kabra hujazaliwa ulikua hujui chochote
Mwana leo kipole, sema nikienda utaona Magnus carlsen kastaafu.May All Beings Attain Enlightenment.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Umeona Carlsen kaandikiwa kitabu?Mwana leo kipole, sema nikienda utaona Magnus carlsen kastaafu.
Sijaona mwana, thanks nita kitafuta.
👍Labda kama ni atheist lakini kama Ukiamini katika dini na roho, lazma utathmini pia
Duh apumzike kwa amani Vale wetu alikuwa mtu wa watuOctober mwishoni, mwaka jana
😂 Master ilala usifike tena wale wazee wanakupoteza.Nipo na warumi huku peponi nimemuonesha comment yako kasema sio kweli. Umemsingizia.
Duh!Ni typo tu, alikusudia last week