financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,512
Aisee nilikua sijui, apumzike kwa amani🙏🏾October last year
Aisee nilikua sijui, apumzike kwa amani🙏🏾October last year
😭R.I.P Mpauko,
huyu member amenifanya nijue mwanaume hadi jamii ijue kuwa ulikuwa unayapitia ni hadi pale hilo tatizo litakupeleka either kaburini.
Hakuna anaye jali mapito ya mwanaume ambaye hana uhakika wa kula kesho.
Mitandao always Huwa ni threat Kwa watu wenye changamotoSikuona hiyo.Binadamu wengine tulivyo na masihara si ajabu tungepuuza kumbe mtu yupo maji ya shingo.
You came backAisee nilikua sijui, apumzike kwa amani🙏🏾
Vipi kuhusu kina Mzigua90 na kina Mother ConfessorHuwa najiuliza kila siku yuko wapi johnthebaptist
Yes am here hearly, what’s up !You came back
It's gudYes am here hearly, what’s up !
Amina sana.tunamtazamia mwokozi,
bwana YESU KRISTO,
atakayebadili mwiliwetu wa unyonge,
upate wa kufanana na mwili wake wa utukufu,
tunamtazamia mwokozi.
RAHA YA MILELE UWAPE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZE, WAPUMZIKE KWA AMANI AMEN
wabamizwa cc secretarybird Poor Brain BICHWA KOMWE -
Mzigua90 yupoVipi kuhusu kina Mzigua90 na kina Mother Confessor
Kumbe !! So ana I'd mpya !!
Usijali kaka, tutawasiliana 🙏🏽Dah usiseme hivyo.. Halafu next week tengeneza ratiba...!
Sijaenda muda sana ilala toka michezo ya kufukuzana na magari itake kutuuwa nimekata mguu.Nipo na kina Nyerere huku we endelee kustay hapo Shariff shamba.
😂😂 hapana sijaolewa mimi, ikitokea ntawainvite wote humu😁It's gud
Umeolewa kimya kimya hata invitation hukunipa!?
Na bado kuna wengine mashada yalishaliwa na mchwa mimi wala wewe hatuwajui ila walikuwepo humuUkipewa uzima na siha njema mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna miadi na tabibu mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna kesi polisi mshukuru sana Mungu
Ukiamka una sehemu ya kwenda na ukirudi una sehemu yako mwenyewe ya kupumzisha fuvu mshukuru sana Mungu
Mengine ni changamoto za kawaida za maisha! Kamwe USIKUFURU
Hivi ndio vifo vilivyoniumiza JF
1. Mwalimu Frank.. Mtu mzima above 50 alikumbwq na changamoto za kifamilia.. Tukawa na mawasiliano ya karibu.. Lakini hatimaye akafa akiwa mpweke
2. Miguu ya kuku.. Kijana aliyekuwa na ndoto za kufanya makubwa maishani.. Akapata changamoto za kiafya zilizompelekea kupata ulemavu wa miguu.. Nilishiriki kwa karibu kwenye kutafuta tiba sahihi na suluhu ya kudumu.. Lakini hatimaye alikufa😪
3. Warumi.. Alitikisa vilivyo jukwaa la celebrity.. Akapata changamoto za figo.. Hakutamani kufa mapema.. Mawasiliano yangu ya mwisho na yeye ni wakati nimemwelekeza aende hospital ya figo Kibaha loliondo.. Hakupona alikufa
4. Valentine.. Apumzike kwa amani😪 .. Pamoja na juhudi nyingi za kuonana lakini mpaka kifo kinamchukua hatukuwahi kuonana!
5. Niah.. Huyu kwangu alikuwa Dada.. Ni mama mtu mzima aliyewahi kushika nyazfa za juu serikali ya mchonga na mzee ruksa.. Alijawa na upendo na amewasaidia wengi hata hapa JF..!
6. Gwapo Mwakatobe.. Nilimuita brother. Tulishaonana na tulikuwa na mawasiliano ya karibu. Mchambuzi mahiri wa bbc meza ya duara
Baada ya hustle za maisha akatamani akaishi maisha ya shamba kwenye utulivu.. Alifanikiwa kuhamia huko .. Lakini hakudumu.. Ajali ya boda ikamtenganisha nasi😭
Jana usiku nilijikuta nawakumbuka wote hawa.. Nikajikuta bado nina mamba zao za simu! Nimezifuta zote maana zimenikumbusha mengi
Naogopa sana maana sijui nitaona kifo cha nani tena tunayefahamiana.. Ama je itakuwa zamu yangu kwao!?🙌🏿🏃🏿😭