Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

Mwabukusi alinunuliwa na wapingaji wa mkataba wa Bandari wale akina Karamagi kwa Tsh 400 Millioni.

Bahati mbaya ameshindwa kuzuia mkataba na wapambe wake akina Dr Slaa na Mdude_Nyagali . Sasa anatafuta kuwa relevant tena. Huyo ni mlevi mbwa tu mpuuzeni
Kwa hiyo wajanja ni nyie mnaojifanya DP World wakati tunajua ndio ninyi akina JK, Makamba, Rostam na Sa100.!? Wapumbavu sana nyie.
 
Kwahiyo unapuuza mambo ya msingi na kuzidi kupuyanga kwakuwa tu mzungumzaji/mshauri katumia lugha isiyo ya staha? Unafikiri atakayeonekana mpuuzi zaidi machoni pa watu wanaojitambua ni nani?
ng"an"ana na ghadhabu na mihemko yako, hata uwe na jambo zuri namna gani, ukilosea kwenye lugha tu, unahamisha mjadala kwenye kuchunguza uadilifu na malezi yako...:3Heading:

na by the way,
utadeal nalo wewe na huyo mwenye mihemko mwenzie kwasababu ndivyo mlovyolelewa, watulivu na wastaarabu na wenye maadili tunandelea kuchapa kazi kadiri invyowezekana ili wanainchi wapate maendeleo :KasugaYeah:
 
Huu upumbavu kamuambie huyo mnayemuita mama Kila kukicha nyie wajinga wa ccm. Samia na viroboto wake wanakula Kodi ya wananchi na hawana hata senti Moja wanayotumia kutoka mifukoni mwao. Wakitaka kunyenyekewa wakaendeshe biashara zao, wafanyakazi wao waliowaajiri watawanyenyekea.
sawa,
ng"ang"ana na gubu na mihemko yako...:GWpogchamp:

wenye dhamana waendelee kuchapa kazi ya kuwatumilia wanainchi :SillyChamp:
 
ng"an"ana na ghadhabu na mihemko yako, hata uwe na jambo zuri namna gani, ukilosea kwenye lugha tu, unahamisha mjadala kwenye kuchunguza uadilifu na malezi yako...:3Heading:

na by the way,
utadeal nalo wewe na huyo mwenye mihemko mwenzie kwasababu ndivyo mlovyolelewa, watulivu na wastaarabu na wenye maadili tunandelea kuchapa kazi kadiri invyowezekana ili wanainchi wapate maendeleo :KasugaYeah:
Duh kumbe ni mipasho! Sawa dada wa buza, nimekuelewa.
 
Nchi ya one man show.

Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi.

Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora.


View attachment 2960403
Tafakari
Chukua hatua...
Utatekwa ooh!!!watu msiojulikana mpoooo????mmemsikia huyu jamaa??
Bashite ongoza gang ila msimfanye kama lissu au Dokta Ulimboka mfanyeni kama Ben saa kumi!!!!
 
Kama Katiba haiheshimiwi toka wakati wa Kikwete, Magufuli na sasa hivi...Nani aliewaambia wapinzani Katiba mpya ndo suluhu na itaheshimiwa??

..Katiba ya sasa hivi haiheshimiwi kwasababu haina vifungu vinavyoilinda, wala kuadhibu wanaoikiuka.

..Katiba Mpya bora lazima iwe na vifungu vinavyoilinda, pia vifungu vinavyolinda watakaoitetea.
 
Utawala wa Kikwete haukuwahi kuwa na ujinga huu.

Mwanzilishi wa huu upumbavu ni mshenzi jiwe. .Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Huyo mzee uliyemtaja kwa kumtetea ndiye muasisi wa yote haya yanayoendelea nchini.

Kwani huyo Magufuli ambaye unamuita mshenzi, aliwekwa madarakani kupitia CHADEMA au chama gani?
CCM haiwezi kujiweka pembeni ama kutetewa kwenye huu ujinga mnaopambania kumvisha mtu mmoja lawama kana kwamba alitunga ilani yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom