Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Hakuna cha uhaini bambika ya CCM na uoga wa ccm na roho mbaya ya chawa
 

Tunamfunga yule kichaa
Yeye si alijifanya nunda?
 
Alipanga hiyo ramani peke yake? Kama kuna watu alipanga nao ramani ilikuwaje hawakukamatwa naye! badala yake wakaachwa hadi wakatekeleza hayo maelekezo? Hivi inakuwaje watu wengi mlioko serikalini mna low thinking capacity?
Anza kusoma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons ..... na kama mtu mmoja hawezi kushitakiwa kwa uhaini basi kwa siku ya leo asingekutwa na kesi ya kujibu maana ingeishia tu kwa kuonyesha such weakness kwamba ni mtu mmoja
 
Ndiyo maana nakuhakikishia kuwa ile video ndiyo ina uhaini wake
 
Kama hiyo video sio hata sehemu ya ushahidi uliopo mahakamani unapaswa kufuta huu uzi wako kwa sababu hauna maana yoyote
Uzi ungekuwa hauna maana, usingechangia mara 4 mpaka sasa Bro
 
Nchi inaongozwa kwa Katba, na Rais ataindoka kikatiba siyo kwa vurugu za 29/10.

Tanzania lazima ilindwe kwa wivu mkubwa
 
Basi kwa mara ya kwanza kabisa dunia itashuhudia mtu mmoja akishtakiwa kwa kupanga peke yake kufanya uhaini, na mwisho wa siku akahukumiwa kunyongwa mpaka kifo. Kichekesho zaidi ni kushuhudia ushahidi wa mchongo nao ukipewa kipaumbele.
 
Silaha sio bunduki tu, petrol na Silaha za jadi zinaweza kufanikisha uasi ndomana mo29 petrol ilitoa impact za kutosha.
Walitengeneza molotov bombs kwenye chupa za nusu lita na walikuwa wanabeba mgongoni kwenye back bag. Walikuwa wana move kwa boda boda wakifika kwenye petrol station wanalipua kutumia molotov Yoda
 
Nchi inaongozwa kwa Katba, na Rais ataindoka kikatiba siyo kwa vurugu za 29/10.

Tanzania lazima ilindwe kwa wivu mkubwa
Rais gani anachaguliwa kwa kupigiwa kura na makarani na wasimamizi wa huo unaoitwa uchaguzi!
 
Waathiriwa wa alichokizungumza ndio wanaocomplicate mambo kiuhalisia kabisa hakukua na hata chembe ya uhaini hapo..
Kuzuia uchaguzi, kutaka kupindua Serikali ni uhaini
 
Hiyo Video ilikataliwa hadi na mahakama ya rufaa na haiwezoi kurejelewa tena...
Akishinda kesi, akakatiwa rufaa na wakam procure video expert anayestahili, video itapokelewa
 
Akishinda kesi, akakatiwa rufaa na wakam procure video expert anayestahili, video itapokelewa
Rufaa gani hiyo itakayo kubaliwa na mahakama ya rufaa wakati tayari mahakama hiyo hiyo ilisha toa uamuzi katika jambo hilo hilo? kumbuka , mahakama ya rufaa huwa haisikilizi ushahidi mpya... pigia mstari hapo...
 
Unaungaunga video ilikupata usahihi wa ilo unalotaka ku
Acha uzwazwa!?

Sina haja ya kujadili hayo, ningetaka ningefungua nyuzi
Nimejaribu kukwambia tuuh..
Kwamba hamna AIBU kabisaaaa!?
Hii dialogue haihitaji hasira, ukiwa na hoja toa kama huna pita shwaaa!
 
Boss, hadi hapa nakushauri ufanye ustaarabu na kukubali kuwa hoja hii imefeli. Bora uzingatie ushauri uliotolewa na wadau hapa uwaambie wakuu wako huko government wabadili mashtaka kuwa uchochezi. Halafu waipunguze ile patoon ya maninja wanaomsonga Lissu all the time na hali yake ile huko mahakamani. Wanatia aibu.

Usiwe kama Trump aliyebaki kuropoka ropoka vitisho kila siku na kulidhalilisha jeshi la Marekani huko mashariki ya kati badala ya kufanya ustaarabu wa kumalizana na kina ayatollah kwa makubaliano muafaka. Yaani anashindwa kuona kuwa hakuna cha Venezuela pale.

Nilikuelewa hoja zako kali kuhusu JPM enzi zile lakini sasa naona umeamua kushuka na kuungana na watu duni (big show, mwashambwa na tlaatlaa) kwa kulazimisha hoja duni bila sababu zinazoeleweka. Ni kama vile una kero binafsi na watu fulani hivi. Umeshindwa kabisa kuona moral context anayopambania Lissu nchini kwa muda mrefu sasa? Yaani umeamua kushusha brand ghafla sana. Why?
 
Pia sio Uhaini. Je ni uasi juu ya nini?

Nyerere alivyosema vijana wawe waaminifu wa mifumo kandamizi alikuwa anatenda uhaini?
Kama Nyerere alimaanisha unachotaka, mbona hakuwavumilia akina Kambona, Bibi Titi, Kasangatumbo, Mapalala, Seif Shariff Hamad, Horace Kolimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…