Wangemfungulia kesi ya uchochezi angeendelea kubaki uraini anafanya harakati zake kwa sababu ina dhamana.Ukiweka ushabiki wa kisiasa pembeni ana kesi ya uchochezi. Uhaini ni kama umelazimishwa lazimishwa tu ndo maana hata kesi ya kujibu haizingatii uzito wa ushahidi.
Muone huyu! Hata anachoandika mwenyewe hakielewi.Hata mkilia na kusaga meno haisaidii
Yule kichaa lazima ale kitanzi
Kauli zake ziko clear kuwa alikua anahamasisha uasi na uhaini kwahiyo madhara yameshatokea na kesi ya kujibu anayo kichaa yule
Lisu ndio alishika bunduki kuua watu??Hochomoi hiyo huyo mwendawazimu
Amesababisha umwagaji damu na uharibifu mkubwa sana ndani ya Taifa hili
Ale kitanzi tuh fala huyo
Ukiwa na kesi hakikisha sheria zinafuatwaKwanini sasa kama siyo uhaini alikataa ushahidi wa video usipokelewe kama ushahidi?
Angeruhusu video iingie ndiyo apambane na hizo tafsiri dhidi ya akina Katuga. Kitendo cha kuizuia amejichelewesha sana-Kuzuia uchaguzi inaweza kuwa kwa kuhamasisha watu wasiende kupiga kura au kwa sheria za mahakamani
-Uasi inaweza kuwa maandamano, kutotii Sheria katili n.k (non-armed rebellion)
-Kukinukisha kila siku watu wanasema haya maneno, utaamua wewe mwenyewe tafsiri yako
Kama hiyo video sio hata sehemu ya ushahidi uliopo mahakamani unapaswa kufuta huu uzi wako kwa sababu hauna maana yoyoteAngeruhusu video iingie ndiyo apambane na hizo tafsiri dhidi ya akina Katuga. Kitendo cha kuizuia amejichelewesha sana
Chadema wanachokataa business as usual kwamba masiishi kwa hisani ya CCM ndio maana wamekubali kutoshindwa kama wakiweza kwenye hili kutakuwa na mabadiliko makubwaMzee Wasira kiumri ni mkubwa kufananisha na Viongozi wa Chadema wenye nafasi za kiutendaji
Busara za kumuheshimu Mzee Wasira zingemchomoa Lissu mapema zaidi
Kwakufqnyika Maridhiano ✅️
Lkn watoto wabishi wanataka kushinda kesi
Dhidi ya Jamhuri ili wadai Fidia❌️
Ktk ili Visafari vya Mahakamani vitadumu muda mrefu🤔🤔
Madhara yake kwa Afya ya Upinzani Tanzania
Moja wapo❗️ muda huu kama Lissu angekuwa huru
Angetoa mchango mkubwa kwenye Mabadiriko ya KATIBA mpya
Kwasasa vyama vya upinzani walipaswa viwe kwenye vikao juu ya Mustakabali wa KATIBA mpya
Niwakati pekee nadra unapotea kwaajili ya Ushindani wa maslahi Binafsi ya Lissu ukweli
utabaki ivyo👈
Chadema kingepaswa kuwa Sehemu ya Mchakato huu
kwasasa👈
Sababu CCM chini makamu wake Mzee Wasira kashasema zamani wapo tayali kwa Maridhiano👈
Niwakumbushe historia inashabiaana na kwamba Mabadiriko ya KATIBA ufanywa na Rais yule tu kwa muda uho hayupo tena kwenye Uchaguzi👈
kwaamaana muda wake kikatiba kugombea hawezi 👈
Rais uyo ndio mnaweza kukaa nae kufanya Mabadiriko yoyote kwenye Sheria au KATIBA kabisa kujenga msingi wake kuendana na vyama vingi✅️
Mkumbuke Mzee Jakaya Mrisho Kikwete kipindi chake cha mwisho ndipo kidogo tupate KATIBA mpya
Narudia kipindi chake cha mwisho lkn mchakato ukashindwa kumalizika😥
Mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete akasema kiongozi mpya ajaye atamalidhia mchakato mana muda wake ulikuwa sio rafiki tena❗️
Alipokuja Rais mpya naye ni rip JPM yeye hakutaka uwo mchakato mana ungemwathiri yeye kwanza 🤔🤔
Kumbe lazima tutambue Sasa Mabadiriko ya KATIBA yananyakati zake zikipita ndio zimepita‼️
Wapinzani kipindi kile wangekuwa wepesi kabla ya Rip JPM kuja kungekuwa tayali kushapatikana KATIBA mpya
Fursa ile ikapotea.
Kwa zaidi ya miaka 15 😥
Leo chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan tumepata tena ile Fursa sasa tusisaau tukichelewa ni wazi Rais mpya ajaye atakama ningekuwa mimi au ww usingekata tawi naww upo Juu ya
Mti uho uho❌️
Ungekataa kwamuda uho Mchakato wa KATIBA mpya❗️
Ivyo ingekuwa Wapinzani wapo kwa Maslahi ya kitaifa kutete Mabadiriko ya kweli Upinzani wa kweli wangejiongeza kupishana na Muda
Naamini kesi ya Lissu wangeimaliza wao ndani ya Chadema kwa njia ya Maridhiano ili wakimbizane na muda kuusu KATIBA mpyaa👈
Ikumbukwe kwasasa Chama cha Chadema hakina ruzuku yoyote kupitia Maridhiano ayo Chama kingepata hauweni ya kiuchumi kujiendesha kipindi ichi cha mchakato wa KATIBA Mpya ✅️
Kwamaana muda ndio huu Chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kuupoteza muda huu manake tutangoja miaka 10 mengine kama sio zaidi ili tupate wakati mzuri kama wasasa😥😥.
Rais mwenye kumaliza muda wake lkn mwenye pia Utashi wa kusimamia Mabadiriko
ya KATIBA ✍️
Ni kweli.Wangemfungulia kesi ya uchochezi angeendelea kubaki uraini anafanya harakati zake kwa sababu ina dhamana.
Silaha sio bunduki tu, petrol na Silaha za jadi zinaweza kufanikisha uasi ndomana mo29 petrol ilitoa impact za kutosha.Uasi kama wa maandamano bila silaha sio uhaini.
Hiyo ulitakiwa iwe kesi ya uchochezi unajua maana ya uhaini?View attachment 3654709
Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Hakuna aibu kwenye Mahakama, hakuna aibu kwenye kulinda amani na utulivu wa nchiHilo halitatokea abadan. Lissu saa hii ingeishatoka zamani sana ila tatizo ni maneno maneno ya wafuasi wake na yeye. Kwa sasa Serikali na Mahakama wanahaha kuona angle watakayomtoa isilete aibu kwao
Shida ninayoiona hapa wengi hawajui maana ya uhaini kwenye hiyo video inaonesha ni kesi ya uchochezi sio uhaini huoWakuu hivi tukitumia maneno hayo hayo ya kukinukisha kwa maana ile ile aliyoimaanisha yeye tukangeza na kuzuia uchaguzi kosa linakua wapi.. Huenda alimaanisha hivyo hivyo mnavyowaza nyie watawala, lakini ilikua kwa nia ya kuweka mambo sawa. Inawapa shida kwakua waathiriwa mlikua nyie.
Waathiriwa wa alichokizungumza ndio wanaocomplicate mambo kiuhalisia kabisa hakukua na hata chembe ya uhaini hapo..Shida ninayoiona hapa wengi hawajui maana ya uhaini kwenye hiyo video inaonesha ni kesi ya uchochezi sio uhaini huo
Bila yeye kuchochea wale wahuni wangeingia road kuchoma mali za watu na miundombinu??Lisu ndio alishika bunduki kuua watu??