Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Alimpoka nani? si useme tu ni Mtoto wa Mongela aliyepewa baadaye Ukuu wa Wilaya Kigoma ili kumpoza?

Simba na simba hawaumani.
Hivi sakata la Karamagi kupoka mke wa mtu lliliishia wapi??? Mwenye mke alienda mahakamani??
 
Mwanakijiji you made my day!

if the truth be told; jamaa kapata mtaji. Hakuna mwanamke mwenye akili atakaa na mwanaume ambaye akizidiwa, na mwenzake atafungua kesi mahakamani; yaani mtu atajirikie out of somebody else's sin? hiyo si ndiyo bloody money? Now which one is the better evil; Slaa aliyeamua kuweka open, au jamaa aanaye invest katika huu uovu?
Yet again, kati ya Slaa na 98% ya wanaume wa kibongo wenye vijumba vidogo mpaka vya wanafunzi, nani afadhali; yote ni mbaya, sasa ya Slaa isiwe ya kushikia kibendera.

My advise
Man, swallow your pride and cool off; bibie is just throwing her cards, who knows, your kids may well end up being watoto wa 'Rais'

In Jesus' time, hii ingekuwa " ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE"
 
Nikiondoa siasa zote na kurudi kwenye issue ya mke wa mtu kukaa na mtu mwingine, kabla ya talaka.

Hili halikubaliki, na ni kinyume cha maadili ya ndoa na ya Kiafrika. Unless mniambie huyu mwanamke alikuwa mke wa mtu akapata talaka, which does not seem to be the case here.

Yaani leo tunatetea infidelity kwa sababu aliyetenda ni Slaa ?

Slaa anazidi kujionyesha kwamba hana staha na taadhima za urais. Kama tunaangalia swala la ndoa, mimi ni bora nimchague mtu ambaye hajaoa (na hakai kunyumba na mke wa mtu) kuwa rais kuliko kumchagua mtu anayekaa na mke wa mtu kindoa, bila mke huyo wa mtu kupata talaka rasmi.
Kiranga, tatizo kubwa lililopo hapa ni kwamba Slaa hajajibu mashtaka kwahiyo tunaachwa kwenye speculating side ...ni rahisi ku-miss judge. Jambo la pili ni kuwa huenda kosa la Slaa likapimwa dhidi ya uzito wa matatizo ya CCM. Wengine tunaona bora tuondoke Misri hata ikiwa ni kwa kuongozwa na Musa mwenye kosa la kuua mtu. Kosa moja tunalolifahamu dhidi ya makosa 10,000 ... ni rahisi kuchagua.
 
Hivi kumbe ni kweli alianguka? Aiseee!!!!!

we mnyamwezi hebu nenda kabebe mizigo mizito ya slaa kule

kamsaidie kumliwaza baada ya kuiba mke wa watu

MBowe muhuni kamtosa mwenziwe na sasa naamini kakaa anamcheka

Nyerere anasema mtu mwenye akili akakushauri jambo la kijinga na yeye anajua hili la kijinga na ukalifata anakudharau
 
Jamani kwenye ufunguzi wa kampeni za chadema Dr Slaa alimtambulisha Joshiphine kuwa ni Mke wake hata TBC jana kwenye taarifa ya habari wameonyesha tena

Kwa hiyo Dr. Slaa muongo muongo hivi siyo? Na kama anadanganya kwa jambo la wazi na la kijinga lililo easily verifiable kama hili yuko capable kudanganya nini zaidi ?
 
Kiranga,
Wewe ngojea tu!! Walioanzinsha hii vita ya unyumba ni CCM (CCM Strategy); ngoja naye Dr Slaa atakuja na CHADEMA Strategy; have you red a book called ART OF WAR by Sutze?? that is what is going on here; ART of WAR, that is what DR. Slaa is doing all the time! If you are reading well, between the lines you will find that Dr Slaa is a very informed and stragegist; a man who knows the ART of War; what he lacks is; the support of dumb people like you!! WE need to seize time; this is the only time we have!! Look at the big picture first, ECONOMY is our priority!

So far nimengojea mpaka nachoka, na huyo Mwanakijiji kwa kufikiri anamsifia Slaa anazidi kumtumbukiza katika matope.

There is no glory in infidelity.
 
Kesi hii ipo mahakamani na ni mahakama tu ndiyo itakayosema kama Slaa kachukua mke wa mtu au laa.Kumhukumu Slaa bila hata kuanza kwa kesi hii ni uvunjaji mkubwa wa sheria zinazomuhusu binadamu hasa kipengele cha haki ya kila binadamu kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa"natural justice"!

Dr Slaa bado hajaitwa mahakamani kujitetea lkn ukifuatilia ktk maandiko mengi ya Kiranga ni kama vile tayari Dr Slaa kaisha hukumiwa ktk mahakama za kisheria;kesi iliyopo mahakamani ni ya madai dhidi ya Dr Slaa na ni mahakama tu ndiye itakayoyathibitisha kama ni kweli Dr Slaa ana hatia au la!

Kiranga unamhukumu Dr Slaa kwenye kesi iliyopo mahakamani bila kungojea hukumu halali ya mahakama? Tusubiri mahakama itaamua nini kwenye kesi hii!

Kuna mahakama mbili, mahakama ya sheria na mahakama ya public opinion. Ndiyo maana mtu anaweza kushinda kesi kwa kutumia wanasheria wazuri na mianya ya kisheria, lakini watu wakaona kwamba ana makosa.

Ninachotaka ni Slaa ajieleze kwa wapiga kura, apate kuelewa. Mahakama haipigi kura, wananchi ndio wanaopiga kura.

Wewe unakubali kila hukumu ya mahakama ?
 
Kuna mahakama mbili, mahakama ya sheria na mahakama ya public opinion. Ndiyo maana mtu anaweza kushinda kesi kwa kutumia wanasheria wazuri na mianya ya kisheria, lakini watu wakaona kwamba ana makosa.

Ninachotaka ni Slaa ajieleze kwa wapiga kura, apate kuelewa. Mahakama haipigi kura, wananchi ndio wanaopiga kura.

Wewe unakubali kila hukumu ya mahakama ?

ha ha ha,

watetezi wa ufisadi wa ccm bana, Slaa ajieleze mara ngapi na kwa lipi?
 
Slaa anazidi kujionyesha kwamba hana staha na taadhima za urais. Kama tunaangalia swala la ndoa, mimi ni bora nimchague mtu ambaye hajaoa (na hakai kunyumba na mke wa mtu) kuwa rais kuliko kumchagua mtu anayekaa na mke wa mtu kindoa, bila mke huyo wa mtu kupata talaka rasmi.

Kwa maana nyingine,

wewe unachagua raisi ambaye kaleta EPA, Richmond, Deep Green, Meremeta, Buzwagi, IPTL, Bulyanhulu, Dowans, TICTS, kamaliza surplus yote BoT - Jakaya Kikwete.
 
Nyani,

Nitakusoma sawa nikisema kwamba unasema kwamba unafiki haukatazwi katika siasa, na kwamba wale wale waliokuwa wanampigia kelele Kikwete na uongozi wa CCM kwa unafiki na ufisadi na wao wanakamatwa with pants down kwa habari za unafiki na ufisadi ?

Kwamba Slaa aliyepiga kelele sana kuhusu ufisadi wa EPA na yeye ni fisadi tu? Tena wa kuiba mke wa mtu ?

Eti hapa analinganisha ufisadi wa EPA (bilioni zaidi ya mia tatu) na kuchumbia mwanamke aliyeachika!!
 
Kwa maana nyingine,

wewe unachagua raisi ambaye kaleta EPA, Richmond, Deep Green, Meremeta, Buzwagi, IPTL, Bulyanhulu, Dowans, TICTS, kamaliza surplus yote BoT - Jakaya Kikwete.

Nani kasema mimi nachagua Kikwete ? Wapi ? Unaweza kunionyesha ? Hayo maneno mengine unayatoa wapi?
 
Nani kasema mimi nachagua Kikwete ? Wapi ? Unaweza kunionyesha ? Hayo maneno mengine unayatoa wapi?

Umemchagua Kikwete katika maandishi yako.
Kuna uchaguzi kati ya watu wawili hapa, Kikwete vs Slaa (na lipumba na wengineo).
Wewe over and over umesema kuwa Slaa hafai kuwa raisi kwa sababu kibao tu. Hii inamaanisha kuwa Kikwete aendelee kuwa raisi.

Bado natafuta kule ulikosema kuwa bora ubaki na Kikwete.
 
Eti hapa analinganisha ufisadi wa EPA (bilioni zaidi ya mia tatu) na kuchumbia mwanamke aliyeachika!!

Men are only as honest as their options.

Huwezi kumuachia mwanamme ******* asiye na urijali mwanamke wako, halafu ukamsifia kwamba kajistahi na hakumparamia mwanamke.

Slaa hakuweza kufanya EPA kwa sababu hakuwa na dola, ila hata huko CHADEMA kuna tuhuma zimetolewa kuhusu matumizi mabaya ya fedha.

Hili linaonyesha kwamba hizi habari za mageuzi ni gumzo tu, huyo Slaa sio msafi hivyo wala nini. Kajaa madudu tu na yeye.
 
Wanaoshindwa kuwa waaminifu katika maisha binafsi hatuwezi kuwategemea wawe waaminifu katika maisha ya umma.

Ndio maana wengine tulijua hatuwezi maisha ya umma, hata hatukutaka kuwadanganya wananchi kwamba tunaweza dhamana ya kuwaongoza, sasa inaniuma kuona mimi nina adabu angalau ya kujua kwamba sina adabu ya kutosha kuongoza watu, halafu wakati huo huo naona wahuni tu, tena ambao hawana adabu zaidi yangu (angalau mimi sijawahi kumweka mke wa mtu kinyumba) wanataka kuchukua ofisi kubwa kuliko zote nchini kwa unafiki.

ha ha hah FMES yuko wapi when u need him most.
Habari zako Kiranga FMES alizimwaga hapa hadi ikawa aibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom