Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Was Kikwete ready for prime time?

That is beside the point, the opposition is supposed to be better than CCM. That is the whole point of mageuuzi, the gradual replacement of nepotism, incompetency, unaccountable ways etc and all it's ilk with a better system. Sasa Slaa ahatuonyeshi kwamba yeye ni better than Kikwete hivi ?.

In fact kuna watu watasema anajionyesha kwamba ni sawa au hata mbaya zaidi ya Kikwete.

Kwa hiyo kwa nini tuchukue risk ya kubadilisha utawala na kutoa chama kimoja kuweka kingine wakati hatuna hata uhakika kwamba tunayetaka kumleta ni bora kuliko tunayetaka kumtoa?

Tunaweza kuingia costs za regime change (inexperienced party, no national network etc) bila ya kupata benefits za regime change ( better leadership, integrity, accountability etc) tukapata "the Chiluba effect".

Hili ndilo silitaki.

Narudia, is Slaa ready for prime time? Kama Kikwete is not ready for prime time tunajua the worst he can do on a minute of MSNBC, Davos mpaka Kigamboni.

Slaa je? Who is to say kwamba hataanzisha magwaride ya wake za watu kuchagua mwanamke wa kulala naye siku baada ya siku ?

Was Kikwete ready for primr time? You are damn right he wasn't.

But two wrongs do not make a right.
 
Kiranga,

Hatafanya hivyo maana BUNGE la Tanzania likiwa na Wabunge wengi wa CCM, hatimaye wataanza kusoma sheria na uwezo wao kikatiba na hapo hawatakuwa wapiga kura na kulala bungeni.

Wakiburuzwa mara mbili na wake zao, watadai Katiba mpya haraka sana. Kenya imewasaidia hii ya kuwa na Rais kutoka chama kingine na PM kutoka chama kingine. Nashindwa kuelewa wasiwasi wenu uko wapi wakati panga pangua, CCM watakuwa wengi bungeni.

Bila ya FRICTIONS, mambo duniani huwa hayaendi. Kila mwenye akili anajua kuwa lazima utengeneze movement mbili in diferent direction ili zilete hiyo Friction. Kiranga anaamini kuwa CCM kwa CCM bado kutatokea Friction na joto kali la kuongoza nchi.

Unajua CCM kweli wamepagawa, tena hasa na wanachokifanya kita backfire. Ni nani asiyejua kuwa 100% ya viongozi wa CCM ni mafuska, malaya, wezi wa wake za watu?. Ni kiongozi gani wa CCM kati ya hawa hajawahi ingilia ndoa za watu na hata kuvunja?
1. Kikwete
2. Makamba
3. Lowassa
4. Sumaye
5. Mkapa
6..
7.
.
.

Kama mtakumbuka zaidi CCM wanapokosa hoja huwatumia usalama wa Taifa kuchunguza maisha binafsi ya wapinzani wao na kutumia mamluki kuyafanyia public distraction. Mfano

1995: Walisema Lipumba hana mke, na alipojitokeza Gergina wakasema ni hawara tena si wa dini yake

Mrema naye walimzushia na mwanamke

Hii ni trend yao hawa CCM ila wao wanasisitiza eti kampeni za kustaarabu wakati wao mambo yao yakiwekwa wazi wanakimbilia kumwambia tendwa atoe tamko la kampeni za kistaarabu na kutishia kuwaondoa watu kwenye mchakato.

Huyu mpuuzi aliyekubali kubakwa utu wake kwa ajili ya kunufaisha CCM atajuta baada ya uchaguzi maana hajui kama yeye anatumika kama toilet paper.
 
That's not an absolute....

As long as we are speaking about absolutes, nothing is absolute, I mean even nothing is not absolute. And because "nothing" is not absolute, absolute is nothing.

Unless you are talking about Vodka.

Which is also not absolute, but I am prepared to overlook that.

My point is, let's talk about probabilities, absolutes are so Newtonian in an Einsteinian universe.
 
Kiranga,

Hatafanya hivyo maana BUNGE la Tanzania likiwa na Wabunge wengi wa CCM, hatimaye wataanza kusoma sheria na uwezo wao kikatiba na hapo hawatakuwa wapiga kura na kulala bungeni.

Wakiburuzwa mara mbili na wake zao, watadai Katiba mpya haraka sana. Kenya imewasaidia hii ya kuwa na Rais kutoka chama kingine na PM kutoka chama kingine. Nashindwa kuelewa wasiwasi wenu uko wapi wakati panga pangua, CCM watakuwa wengi bungeni.

Bila ya FRICTIONS, mambo duniani huwa hayaendi. Kila mwenye akili anajua kuwa lazima utengeneze movement mbili in diferent direction ili zilete hiyo Friction. Kiranga anaamini kuwa CCM kwa CCM bado kutatokea Friction na joto kali la kuongoza nchi.

Kwa hiyo wewe ushatabiri kwamba CHADEMA haiwezi kushinda majority ya wabunge ?
 
kasema mchumba (labda ww umezoea mchumba mpaka ummege) sasa na ndio maana ndoa ikitangazwa kunaulizwa kama mtu anapingamizi ndio wanatokea wakina makamba ,ridhiwani.......
Kwa hiyo kisheria kama walivyopeleka kisheria hatashindwa hajaoa mke wa mtu ,huyo mwanaume gani mkeo hayupo miezi yote hiyo na watoto unamtelekeza unasikia mtu anania naye unatokea badala ya kudai mkeo unadai fidia kadharilisha uana mume wake na kaonyesha jinsi gani kashindwa kumtunza mkewe,ha stand kwa ajili ya mke anataka fidia .This kind of guy anaweza kutumiwa kwa namna yeyote.Dai mkeo kama ni mkeo unadai fidia mwanamume kweli wewe !!!

Unaelewa maana ya uchumba ni nini?

Huwezi kumchumbia mtu aliyekwishaolewa na ambaye hajaachika kitalaka.
 
Unajua CCM kweli wamepagawa, tena hasa na wanachokifanya kita backfire. Ni nani asiyejua kuwa 100% ya viongozi wa CCM ni mafuska, malaya, wezi wa wake za watu?. Ni kiongozi gani wa CCM kati ya hawa hajawahi ingilia ndoa za watu na hata kuvunja?
1. Kikwete
2. Makamba
3. Lowassa
4. Sumaye
5. Mkapa
6..
7.
.
.

Kama mtakumbuka zaidi CCM wanapokosa hoja huwatumia usalama wa Taifa kuchunguza maisha binafsi ya wapinzani wao na kutumia mamluki kuyafanyia public distraction. Mfano

1995: Walisema Lipumba hana mke, na alipojitokeza Gergina wakasema ni hawara tena si wa dini yake

Mrema naye walimzushia na mwanamke

Hii ni trend yao hawa CCM ila wao wanasisitiza eti kampeni za kustaarabu wakati wao mambo yao yakiwekwa wazi wanakimbilia kumwambia tendwa atoe tamko la kampeni za kistaarabu na kutishia kuwaondoa watu kwenye mchakato.

Huyu mpuuzi aliyekubali kubakwa utu wake kwa ajili ya kunufaisha CCM atajuta baada ya uchaguzi maana hajui kama yeye anatumika kama toilet paper.

OKOKOK,

CCM mafuska,

Na Dr. Slaa kuvunja ndoa za watu ni nini ?
 
Unajua CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi ubunge?

Unaleta hesabu za Kingwendu hapa kuwa 3+2=32?

Mimi nimeuliza swali rahisi, unatabiri kwamba CHADEMA haiwezi kushinda majority bungeni ? Hili ni swali sijasema kwamba CHADEMA watashinda au kukataa kwamba CHADEMA hawawezi kushinda.

Haya nikikwambia sijui CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi (part of the reason I asked ), tujuvye basi tupate elimu. CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi? Mimi sijui nijulishe nipate elimu kama yako.
 
Kiranga ni apologist wa mafisadi wa ccm. Yaani unalinganisha ufisadi wa ndoa na ufisadi wa mali za watanzania milioni 40?
 
Maadamu unajua kuandika humu JF basi hii homework imalizie mwenyewe.

Unabisha hadi unasahau uliishia wapi na kuanza kuuliza, hivi nilikuwa nasema nini?

Mimi nimeuliza swali rahisi, unatabiri kwamba CHADEMA haiwezi kushinda majority bungeni ? Hili ni swali sijasema kwamba CHADEMA watashinda au kukataa kwamba CHADEMA hawawezi kushinda.

Haya nikikwambia sijui CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi (part of the reason I asked ), tujuvye basi tupate elimu. CHADEMA imesimamisha wagombea wangapi? Mimi sijui nijulishe nipate elimu kama yako.
 
Hujaelewa swali, swali si kama Dr. Slaa anaweza kukuchukulia mke, swali ni vipi kama Dr. Slaa anakuchukulia mke? Itakuwa sawa kusema "hajakuviolate kakuzidi tu"?

Achana na huyo jamaa asiyejua kumshughulikia mkewe katika majamboz wala kwa hali, huyu bwana si mtu wa muhimu sana katika mustakabali wa taifa, kama isingekuwa swala hili hata tusingemjua.

Mimi na concentrate kwa Slaa, noblesse oblige, to whom much is given much is required.

Is Dr. Slaa ready for the prime time? Hatutaki kumpa urais halafu tukawa laughingstock of the world kwa sababu rais wetu mtu wa ajabu.
Mkuu wangu ndio nikakujibu kwamba Dr.Slaa hawezi kwa sababu bado ni mke wangu. lakini kama nitamwacha kwa miezi sita kama tume separate sina taabu na Dr.Slaa kuchukua. Na kama nitakuwa na hisia kama za huyu jamaa basi nitamtafuta binti na tutarudisha mahabat -unajua tena Baby come back (BCB) wakati yeye akishughulikia Taifa kama Mramba vile ila nitajaribu yasinikute ya Babu Seya... haaa haa haa!

Mimi sioni kabisa tatizo hapa unless nianze kuingiza dini na kama ndivyo swala hili ni la kidini zaidi ya kisiasa nma maadili ya uongozi sijui sheria yetu inasema nini kwa mume alomwacha mkewe wakaishi tofauti kwa miezi sita wala asijue mkewe anaishi vipi na wapi akiwa na watoto kisha aje kudai baada ya bibie kupata mwenza mpya. Labda kama ndoa imefungwa ndipo mhusika anaweza kuja na kupinga kufungwa kwa ndoa hiyo kwa sanbabu unataka kuhalalisha, nje ya hapo kupiga mali isokuwa na mume na akaishi kwako inaweza kuwa na tafsiri nyingi sana. Na mara zote hatia ni ya mke ambaye akijua aliingia ktk relation nyingine pasipo kuchukua talaka yake.

Hatufahamu ni vitu gani huyo jamaa alimfanyia huyo mke au Dr.Slaa aliambiwa kipi na huyo mwanamke ambaye aliondoka kwa mumewe na mtoto hajui pia ana watoto wangapi. Kwangu binafsi Dr.Slaa ni mwokozi shujaa, na mwanamme rijal ambaye hakutaka kuona mwanamke akitesema na watoto hali Dr.ana mapenzi naye.

Ebu niulize kitu ingawa sijafuatilia maisha ya Dr.Slaa.. Maamake doctor naye mkubwa sana!.. Hivi huyu Mama ndiye tulokuwa tukiambiwa mke wa Dr.Slaa ni mbunge na mwanaCCM miaka mitano ilipita, au huyu tena ni chuma kipyaa...
 
Maadamu unajua kuandika humu JF basi hii homework imalizie mwenyewe.

Unabisha hadi unasahau uliishia wapi na kuanza kuuliza, hivi nilikuwa nasema nini?

Hahahaha,

Nilijua tu, wabongo wengine kwa ku obfuscate tu.

Umekuja kwa kuni snob hapa on this detail, nikaona labda mwenzangu anayo hii deatil, ngoja niwe the better person niulize nisichojua.

Kumbe wote hatuna hii detail.

Mathematics nyiiingi, sijui 3 + 2 is not 32 na nini, kumbe details huna ? Unaleta swagger ya kuhusiana na namba ya majimbo yenye wagombea wa CHADEMA wakati huna hata jibu la CHADEMA ina wagombea kwenye majimbo mangapi ?

Sasa nakuuliza tena, unatabiri kwamba CHADEMA haitaweza kufikisha majority ? Jibu swali, usitoe snobbish comments bila details.
 
Hahahaha,

Nilijua tu, wabongo wengine kwa ku obfuscate tu.

Umekuja kwa kuni snob hapa on this detail, nikaona labda mwenzangu anayo hii deatil, ngoja niwe the better person niulize nisichojua.

Kumbe wote hatuna hii detail.

Sasa nakuuliza tena, unatabiri kwamba CHADEMA haitaweza kufikisha majority ? Jibu swali, usitoe snobbish comments bila details.

Hii inahusiana vipi na hii topic. Uko all over the map, hueleweki hasa unachobishia hapa. Ufisadi au kura za chadema.

Watu wengine kwa kupenda ligi hamjambo
 
Kiranga,

Ni sawa na kujua siku JUA litapatwa na Mwezi na unajifanya wee MNAJIMU mbele ya Wazazi wako. 3+2=32.

Huyu jamaa kajitia aibu sana. Kunyanganywa mwanamke na yeye ndiyo anagutuka leo.

Ngoja afunguliwe mashtaka ya kunajisi wanae.
 
Hujaelewa swali, swali si kama Dr. Slaa anaweza kukuchukulia mke, swali ni vipi kama Dr. Slaa anakuchukulia mke? Itakuwa sawa kusema "hajakuviolate kakuzidi tu"?

Achana na huyo jamaa asiyejua kumshughulikia mkewe katika majamboz wala kwa hali, huyu bwana si mtu wa muhimu sana katika mustakabali wa taifa, kama isingekuwa swala hili hata tusingemjua.

Mimi na concentrate kwa Slaa, noblesse oblige, to whom much is given much is required.

Is Dr. Slaa ready for the prime time? Hatutaki kumpa urais halafu tukawa laughingstock of the world kwa sababu rais wetu mtu wa ajabu.
Kiranga,
Ukishakuwa na judgement tayari huwezi kutoa "fare reasoning". I would rather wait for the other side to let us know what conspired!!!! Wewe usha- conclude kabisa hata kabla ya kusikia the other side of the story!!

Usije ukasikia upande mwingine wa stori ukaanza kujuta na hizo hukumu zako. Usifanye dhambi ya kumhukumu Slaa kabla hujasikia yote.
 
Jamaa lazima atakuwa Mpare. Yuko radhi kesi ya Kuku auze ng'ombe ashinde.

Namnani Mlamuwa Kiranga.........

Jamaa huyu hata watoto si wake. Apimwe kama kweli na uwezo wa kuzaa. Isije kuwa akina CCM walimsaidia,

CCM kuna Boys II Men, na wapambe zao ni kiboko.

Ohh, saa 10 alfajiri hapa Sikonge, ngoja nilale kidogo maana Generator itaishiwa mafuta sasa hivi.
CCM bwana wanatukomoa kwelikweli. Wao akina Kiranga umeme masaa yote. Alamsiki.

Hii inahusiana vipi na hii topic. Uko all over the map, hueleweki hasa unachobishia hapa. Ufisadi au kura za chadema.

Watu wengine kwa kupenda ligi hamjambo
 
Kiranga,
Ukishakuwa na judgement tayari huwezi kutoa "fare reasoning". I would rather wait for the other side to let us know what conspired!!!! Wewe usha- conclude kabisa hata kabla ya kusikia the other side of the story!!

Usije ukasikia upande mwingine wa stori ukaanza kujuta na hizo hukumu zako. Usifanye dhambi ya kumhukumu Slaa kabla hujasikia yote.

Jamaa yeye ana chuki sana na chadema (anything chadema). Anagomba bila kujua anagombea nini. Anadai Slaa kachukua mke bila kuwa na hakika kama hiki kimetokea.

Anavunja kila principle anayojidai kuwa anayo
 
Kiranga,

Ni sawa na kujua siku JUA litapatwa na Mwezi na unajifanya wee MNAJIMU mbele ya Wazazi wako. 3+2=32.

Huyu jamaa kajitia aibu sana. Kunyanganywa mwanamke na yeye ndiyo anagutuka leo.

Ngoja afunguliwe mashtaka ya kunajisi wanae.

Nishasema hapo juu kwamba I am not as interested in the integrity of this guy aliyechukuliwa mke as I am in the integrity of the person who has a shot (however remote) at being the next president.

This has the potential of making Dr. Slaa officially wack.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom