Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,962
- 146,245
Umemchagua Kikwete katika maandishi yako.
Kuna uchaguzi kati ya watu wawili hapa, Kikwete vs Slaa (na lipumba na wengineo).
Wewe over and over umesema kuwa Slaa hafai kuwa raisi kwa sababu kibao tu. Hii inamaanisha kuwa Kikwete aendelee kuwa raisi.
Bado natafuta kule ulikosema kuwa bora ubaki na Kikwete.
Huoni hata aibu,
Kuna uchaguzi kati ya watu wawili (Kikwete na Slaa) au zaidi (na Lipumba na wengineo) ?
Huwezi kuwa na uchaguzi kati ya watu wawili Kikwete na Slaa na Lipumba na wengineo, ukishamuweka Lipumba wanakuwa zaidi ya wawili.
Sasa kwa nini unafikiri hii race ni Kikwete vs Slaa ? Na kwa nini unataka kunichagulia mtu wa kumpigia kura? Mtu hawezi kumsema mgombea halafu akampigia kura ?