Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
We Mwanakijiji utaishia tu kutoa "Thank you" au utachangia?
Kiranga... yaani leo fasihi imekutoa kapa hata maneno niliyotumia yamekukwepa... "Kuzidiwa" ni neno la makusudi nililotumia.. think about the double take..
Ha aha ha defensive my foot!
Mimi nimekuuliza maoni yako na bado nasubiria jibu lako.
Swali la nyongeza kwako, Slaa ameshitakiwa kwa kosa gani?
Slaa ametishiwa mara nyingi sana kushitakiwa na hiyo haikumfanya mvunja sheria.
Kuwa na kesi ya kujibu hakumfanyi yeye mkosaji. Kesi za madai za ajabu na kipuuzi (frivolous lawsuits) zinafika mahakamani mara nyingi sana.
I don't care about spins za fasihi, hata Hitler, Stalin na Mao wauaji wakubwa wali spin mambo kwa minajili ya fasihi.
Kukaa kinyumba na mke wa mtu ni wrong and decent people should condemn that.
You did not.
Wewe ni supporter wa ccm (mpondeaji mkuu wa chadema).
Eti anamlinganisha mtu aliyeleta EPA, Buzwagi, richmond, etc na mtu aliyemchumbia mwanamke aliyeseparate toka kwa mme wake
I don't care about spins za fasihi, hata Hitler, Stalin na Mao wauaji wakubwa wali spin mambo kwa minajili ya fasihi.
Kukaa kinyumba na mke wa mtu ni wrong and decent people should condemn that.
You did not.
Mapmbano,
Hivi kweli nyie haiwaingii akilini kwamba kama kuna makosa yoyote yale yamefanywa ni mke ndiye anapaswa kushtakiwa ktk kesi ya madai. Dr.Slaa angeshtakiwa tu kama kaiba huyo mke pasipo hiari yake lakini inaonyesha wazi ni mke aliyekwenda kwa Dr.Slaa na anaishi kwa mapenzi yake mwenyewe tena baada ya kuachwa miezi sita. Ndoa hakuifunga Dr.Slaa na huyo mbabaishaji wala Slaa na huyo mwanamke hivyo unamshtaki kwa makosa yapi?
Hapana mkuu wangu wananchi wana kila haki ya kuhoji kesi hii wala sio dhambi hata kidogo. Na wanaweza kuhukumu ktk mazungumzo yao maadam hayawezi kuathiri matokeo ya hukumu.Kesi hii ipo mahakamani na ni mahakama tu ndiyo itakayosema kama Slaa kachukua mke wa mtu au laa.Kumhukumu Slaa bila hata kuanza kwa kesi hii ni uvunjaji mkubwa wa sheria zinazomuhusu binadamu hasa kipengele cha haki ya kila binadamu kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa"natural justice"!
Dr Slaa bado hajaitwa mahakamani kujitetea lkn ukifuatilia ktk maandiko mengi ya Kiranga ni kama vile tayari Dr Slaa kaisha hukumiwa ktk mahakama za kisheria;kesi iliyopo mahakamani ni ya madai dhidi ya Dr Slaa na ni mahakama tu ndiye itakayoyathibitisha kama ni kweli Dr Slaa ana hatia au la!
Kiranga unamhukumu Dr Slaa kwenye kesi iliyopo mahakamani bila kungojea hukumu halali ya mahakama? Tusubiri mahakama itaamua nini kwenye kesi hii!
Kesi hii ipo mahakamani na ni mahakama tu ndiyo itakayosema kama Slaa kachukua mke wa mtu au laa.Kumhukumu Slaa bila hata kuanza kwa kesi hii ni uvunjaji mkubwa wa sheria zinazomuhusu binadamu hasa kipengele cha haki ya kila binadamu kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa"natural justice"!
Dr Slaa bado hajaitwa mahakamani kujitetea lkn ukifuatilia ktk maandiko mengi ya Kiranga ni kama vile tayari Dr Slaa kaisha hukumiwa ktk mahakama za kisheria;kesi iliyopo mahakamani ni ya madai dhidi ya Dr Slaa na ni mahakama tu ndiye itakayoyathibitisha kama ni kweli Dr Slaa ana hatia au la!
Kiranga unamhukumu Dr Slaa kwenye kesi iliyopo mahakamani bila kungojea hukumu halali ya mahakama? Tusubiri mahakama itaamua nini kwenye kesi hii!
Bila shaka lakini kesi inamhusu Dr.Slaa otherwise hakuna kesi ikiwa hawa wawili wametango!Mkandara, ni kweli makosa yanaweza kuwa ya mke (First lady mtarajiwa)...but it takes two to tango..Ukweli utajulikana kesi ikisikilizwa.
I don't care about spins za fasihi, hata Hitler, Stalin na Mao wauaji wakubwa wali spin mambo kwa minajili ya fasihi.
Kukaa kinyumba na mke wa mtu ni wrong and decent people should condemn that.
Nitakupeni kesi moja ya huku majuu.Pia huyu jamaa aliyedai anahaki sawa na Slaa, kwa hiyo sio sawa kumuhukumu kuwa ni mbabaishaji,kwa upande mwingine wa shilingi
Mkuu mfano huu unamaanisha nini kwako? Dr. Slaa atajiepusha vipi na tuhuma hali kamwonyesha mpenzi wake mtarajiwa mbele ya watu kuwa ni mchumba wake.. Yule waziri angefanya hivyo ingekuwa kosa lipi?sasa mwalimu aliwahi kututolea mfano wa waziri mmoja uingereza ambae alituhumiwa tu kuwa alikuwa akitembea na mtu wa barabarani, basi ile tuhuma ikaenea na yule waziri alipoona vile akaamua kuandika barua kwa waziri mkuu kumuomba ajiuzulu, waziri mkuu hakumjibu yeye aliteua waziri mwengine kushika ile nafasi akasisitiza tuhuma tu mtu anatakiwa ajiepushe nazo.