tubadilike-sasa
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 681
- 167
Polisi wahakikishe kuwa wanadhibiti video zote kama hizi ili kuficha ukweli
tunataka hasa inayohusu hapo blue kwani ndiyo itakata mzizi wa fitina na vilimilimi vya baadhi yetu
wacheni upuuzi hizi ni siasa tu, mimi naamini kabisa kuwa hata hao chadema wenyewe inaweza kuwa ndio walorusha bomu hilo kwa kumtumilia polisi (kama ni kweli) wanaweza kuwa wamevaa uniform za polisi, au munadhani hao polisi hakuna wafuasi wa chadema????? Na kwa nini bomu hilo lirepuliwe karibu na hicho kiriri cha kutoa hutuba tena pale alipopanda muheshimiwa aliyetaka kuhutubia watu wa arusha????hakuna shaka tena kuwa hii serikali mungu aliye hai ataikataa! Ebu watanzania wote tuungane na mungu aliye hai kuikataa serikali ya ccm.
naomba watu mfikirie kwa makini na kiundani zaidi..acheni kuwasema ccm..kwanin kila siku ni mikutano ya chadema tu ndo watu wanakufa? Mbona hatusikii chama kingine? Hebu jifikirieni..tena yote inatokea sehemu ambao walikatazwa kupewa kibali..iringa ilikuwa hivi hivi walikataliwa kibali an soweto pia tunaambiwa walikataliwa bado wakaenda.. Kwanini walienda kama hawakupewa kibali? Kama kweli wanawatakia watu wao mema ..maana walijua baadae polisi watakuja kusambaratisha. Why? Tumieni machoa ya ndani...mimi nimepoteza imani nao.
nyie msidanganye watu hapa hakuna chochote cha mno,hakuna sehemu hata moja ambayo inaonesha mtu aliyerusha bomu wala polisi kuhusika mbona maneno yenu na vitendo vinapishana.
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili
WANAJF,
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.
Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
Kwa kweli umenikumbusha mbali sana kwani nilikuwa karibu sana na mahali bomu lilipolipuka ila najua kuwa Mungu ana makusudi na mimi ndo maana ckupata madhara....ila hali ilikuwa ya kutisha kuliko kawaida........ Tuzidi kumuomba Mungu ili watenda maovu wote wawekwe hadharani.
vaspanya
Pole sana kamanda