VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

This is too much,wapiga kura wao vijijini hawayajui haya ndio maana hawashtuki wala kuteteleka
mimi ninashauri hizi video tuzihifadhi,kila anayekwenda kuelimisha watu vijijini aende na projector wananchi wajionee wenyewe unyama huu...we are at the critical point that we need to sacrifice OUR lives to bring changes..nitakuwa wa kwanza kuzipeleka video hizi kwa wapiga kura wao hata waniue sitakuwa wa kwanza kuililia ardhi yangu.....

Ben hongera kwa ujasiri huu

they have killed one but we are coming

Rose Mayemba,

Tuzisambaza nchi nzima wananchi waone unyama huu uliofanywa na watanzania wenzetu kwa sababu za kisiasa tu baada ya kushindwa kukabiliana na Chadema kwa hoja.

Mimi natangaza wazi kabisa uvumilivu wangu kwa jeshi la polisi na serikali yangu umeisha kabisa sina chembe ya uvumilivu iliyobakia.
 
Last edited by a moderator:
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili

WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.

Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube

ki ukweli inaumiza sana hasa ukiangalia waathirika wakubwa ni watoto waliopoteza maisha yao bila hatia yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Rose Mayemba,

Tuzisambaza nchi nzima wananchi waone unyama huu uliofanywa na watanzania wenzetu kwa sababu za kisiasa tu baada ya kushindwa kukabiliana na Chadema kwa hoja.

Mimi natangaza wazi kabisa uvumilivu wangu kwa jeshi la polisi na serikali yangu umeisha kabisa sina chembe ya uvumilivu iliyobakia.
Ben Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?
 
Nenda zako unataka majibu nenda kamuulize Chagonja ili akuchape nao kama kawaida
 
Nenda zako unataka majibu nenda kamuulize Chagonja ili akuchape nao kama kawaida

Chagonja hakuhusika kwenye sinema ile ndio sababu namuomba mmoja wa mastarring atuwekee kitu kamili na sio propaganda!
 
TAFADHALI weka onyo unapoweka picha ambazo ziko sensitive kama hizo

Anayetaka kuangalia ni mtu mwenye umri zaidi ya miaka 18 kwa hito anajua ni nini anatayajia kukiona. So hilo sio la muhimu cha muhimu ni kukemea vitendo dahlimu kama hivi.
 
Duh...inasikitisha na kuhuzunisha, najua wao haya wameshazoea kwa tamaa zao zisizo na mipaka na imani zao za kijinga kuwa damu ndio mafanikio yao, ona albino wanavyoishi kwa kubahatisha utadhani nini sijui...kisa wafanikiwe.

Hiyo tamaa yenu ya mali na madaraka inayowakosesha utu mkishapata hizo mali na madaraka mtarudisha hizi roho za watu ?

Kama kwenu kupokea mikono, miguu ya watoto albino ni sehemu ya maisha yenu ilimradi muendeshe maprado mjenge mahekalu, mpate madaraka, tafadhali mtuachie Tanzania yetu.

Nyie viongozi wa chadomo haswa Lema na Mbowe kesho mna la kujibu kwa Mungu, na hizi roho mtazikuta huko juu na mtajuta.

Chonde chonde msajili hurumia watanzania wenzetu, futilia mbali hili genge haraka litatumaliza.
 
Duh. Chonde chonde msajili hurumia watanzania wenzetu, futilia mbali hili genge haraka litatumaliza.
Umefyatuka; haikusaidii ni dalili za wazi kuwa inakuuma lakini hujachukua hatua kujua na kutafakari sababu na wahusika. Unaficha kichwa huku kiwili wili kipo nje. TAFAKARI CHUKUA HATUA au kajifie na ufyatu wako
 
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili

WANAJF,

Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.

Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube

kweli nchi haitatawalika. hongera sana dkt slaa
 
Last edited by a moderator:
Sauti za vilio vya watu zikimlilia mungu kwenye huo mlipuko hazitapita bure kama mvua inavyonyea ardhi ndivyo hasira ya bwana itakavyowashukia wauaji hao
 
Ben Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?

Vithibitisho vingine mbona tulitoa lakini hamkufanyia kazi????? usiwe na haraka kijana, CHADEMA sio wajinga, by the way unadhani yataishia TZ tuu?

Mwigulu na jopo lake hawajui wanayofanya, wanajua kitu HAGUE?

Vumilia tu, haya yana mwisho na ukweli utakuwa wazi na ukandamizaji kwa watanzania utakoma!
 
Ben Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?

Chama na wenzako,
Mbona mnahaha sana kuona part 2? Mnataka mumuue huyo mrusha bomu ili kupoteza ushahidi....Ben, hiyo part 2 icheleweshe kidogo ili mradi wao uvurugike kabisa.....inauma sana kwa hao watoto, yaani hata hamu ya kazi imeniisha...
 
Kikwete tafadhali ingilia kati, iwe ni CDM, iwe ni CCM, iwe ni UGAIDI, ziwe ni siasa za maji taka, wawe ni wasiokupenda...ni wajibu wako kulikinga taifa la Tanzania (Tanganyika) na majanga haya ya MAKUSUDI maana anayerusha bomu anaelewa anachokifanya. Si kimbunga hiki. Ile single ya serikali kuwa kanisani ni migogoro ya ndani labda tuisikie tena na hapa kama ni migogoro ndani ya CDM. Bado ni wajibu wako kutunza maisha ya watanzania wote.
 
Sijaamini bado, hii ni Tanzania? au Syria, nadhani CDM fanyeni kitu kupitia UN, haiwezekani mbinu za kukandamiza demokrasia zikaachwa hivihivi. Hivi ungekuwa mkutano wa CCM mlipuaji angekuwa bado hajakamtwa? AAgh!!!!

Hiyo ni tanganyika.. Mbona mnapenda kutuingiza sisi wazanzibari katika majanga yenu.. Hivi eti kenya kulipotokezea matatizo walisema ni east africa kunafrica kuna matatizo au kenya.. Jitambueni bwana mapigano yako tanganyika sio tanzania.. Tanzania ni umoja wetu sote na sisi zanzibar amani kabisa... Soma wewe historia uelimike..
 
Sauti za vilio vya watu zikimlilia mungu kwenye huo mlipuko hazitapita bure kama mvua inavyonyea ardhi ndivyo hasira ya bwana itakavyowashukia wauaji hao
Amina kaka.....................!
 
Ewe Mungu unayeona sirini tunaomba watenda maovu haya tuwajue mchana kweupe. Tunaomba rehema zako. Nchi yetu iwe ya haki na amani ya kweli. Amina
 
PRAYER FOR OUR COUNTRY

Almighty God, bless our nation and make it true to the ideas of freedom and justice and brotherhood for all who make it great.

Guard us from war, from fire and wind, from compromise, fear, confusion.

Be close to our president and our statesmen; give them vision and courage, as they ponder decisions affecting peace
and the future of the world.

Make me more deeply aware of my heritage; realizing not only my rights but also my duties and responsibilities as a citizen.

Make this great land and all its people know clearly Your will, that they may fulfill the destiny ordained for us
in the salvation of the nations, and the restoring of all things in Christ.

Amen

Source:Catholic Doors Ministry
 
Back
Top Bottom