Scoundrel
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 611
- 499
Pia wewe Kiswahili hujui kuandika umeandika KIEGELEZA duuuh ni KIINGEREZA shibaaamit!Mkalimani wa lugha ya Kiiengereza ametia aibu sana siku ya leo. Hiyo ni ishara tosha kuwa sisi Watanzania Kiingereza kinatupa shida sana.