Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Msimuliaji wa hiyo historia ya Zanzibara naye kasimuliwa, wala hata hakushuhudia live. Hivyo uwezekano wa upotoshaji ni asilimia 95. Lissu kazaliwa January 20, 1968 wakati tayari Tanganyika ishazikwa na kuzaliwa Tanzania.
 
Hivi huu muungano hakuna namna utawekwa ukatufurahisha sote maana kila anaengolea muungano anatishwa.waafrika tuna tatizo sana history mara nyingi inatudhoofisha badala ya kutuimarisha history ya utumwa na ukoloni imetudhoofisha kabisa hatufurukuti mbele ya wazungu,hata ikitokea argument ya kawaida tu na mzungu tunafura na kufika mbali sana.Zanzibar inahistoria mzuri sana na ina I aweza kuwa fursa kwao.sasa kwanini tusidisign muungano ambao utawaruhusu wenzetu wafurahie history yao
Wewe wako ni upi?...

Miaka 50, 60, 80 au 18?

Mimi nimekuuliza maswali hapo....

Sasa badala ya kujibu, wewe unaniuliza swali jingine la kijinga na irrelevant, lililo nje ya mjadala kabisa....!!

Likely wewe ni Mzee wa miaka kadhaa labda 65 au 87....

Sasa nakuambia hivi, sisi ni vijana kizazi cha kuhoji na sio kukaririshwa....!!

Jibu swali moja hili muhimu;

Kwanini kila anayejoji uhalali wa Muungano huu anapotezwa ama kuishia gerezani?

Nini kilichomo nyuma ya muungano huu kwa watawala na CCM ambacho hakipaswi kuhojiwa ila ni siri ya watawala tu?

Kama una akili timamu kweli, hebu jibu maswali hayo haraka haraka....

Ukishindwa, ni bora ukae kimya tu...
Utimamu wa MTU haupimwi kwa kujibu maswali yako wewe usiyejua umuhimu wa muungano, nakaa kimya mkuu!
 
Sio upuuzi na wewe unajua ni kweli nisemacho. We unafikiri kikinuka Lissu atakimbilia Ikungi? Big NO, mzee atasepa na familia yake Ubelgiji, kazi atatuachia Mimi na wewe na ndugu zetu

Kikinuka maana yake nini?

Nani utadhani atakinukisha?

Jibu ni rahisi na hili hapa;

Ni wale watakaojaribu kutaka kupora HAKI ZA WATU na hopefully unawajua na serikali na vyombo vyake vya ku - check na ku - balance haya mambo inatazama na kuwachekelea tu wakifanya uhalifu wao....

Watu kama kina Tundu Lissu wakisimama imara kuyasema haya na kupiga kelele hatua kuchukuliwa na wenye dhamana, mnaanza kuwaona kama wachochea ama waanzisha vurugu...

Kweli? Kweli kabisa Amani Msumari hulioni hili ama una tatizo ktk ufahamu wako?

Mathalani iweje baadhi ya wasimamizi (makada wa CCM) watumie ukada wao kuwaengua wagombea wa vyama vingine ili wasipigiwe kura?

Najua utasema, ni sheria....

Well. Kama ndivyo, kumbuka hili. Sheria yoyote iliyotungwa na yeyote yenye lengo la kufanya "infringement" ktk haki za watu waliozitunga na kuzipitisha hao ndio wachochea ama waanzisha vurugu na wanapaswa kuwajibika...

Hili nalo hulioni? Huna ufahamu nalo?
 
Utimamu wa MTU haupimwi kwa kujibu maswali yako wewe usiyejua umuhimu wa muungano, nakaa kimya mkuu!

1. Ni busara sana kwa kuamua kukaa kimya japo umechelewa sana kuchukua uamuzi huu...

Kwa sbb laiti kama ungejua mapema kuwa huwezi kushiriki mjadala huu, ungeliuchukua uamuzi huu wa kukaa kimya mapema zaidi kwa sababu unajaribu kupingana na ukweli bila sababu zozote za msingi....

2. Naelewa sana umuhimu wa mashirikiano ama muungano wowote ule kuliko wewe unavyoelewa...

Lakini ni SHARTI na LAZIMA yawe mashirikiano ya HIARI na UPENDO, siyo kama huu wa Tanganyika na Zanzubar...!!

Hii ndiyo tofauti yetu sisi tusiokubaliana na Muungano huu na ninyi manautetea kwa "gharama zozote zile"

Tunawaambia jambo moja muhimu kuwa, mtamaliza kila rasrimali hadi mfilisike kabisa kwa kutumia "kama gharama za kuutetea muungano" na mwisho wa siku "the natural course" itachukua mkondo wake...!!

Pole sana, na kwa heri we we...
 
Msàlimie Lissu!
 
Kikinuka maana yake nini?

Nani utadhani atakinukisha?

Jibu ni rahisi na hili hapa;

Ni wale watakaojaribu kutaka kupora HAKI ZA WATU na hopefully unawajua na serikali na vyombo vyake vya ku - check na ku - balance haya mambo inatazama na kuwachekelea tu wakifanya uhalifu wao....

Watu kama kina Tundu Lissu wakisimama imara kuyasema haya na kupiga kelele hatua kuchukuliwa na wenye dhamana, mnaanza kuwaona kama wachochea ama waanzisha vurugu...

Kweli? Kweli kabisa Amani Msumari hulioni hili ama una tatizo ktk ufahamu wako?

Mathalani iweje baadhi ya wasimamizi (makada wa CCM) watumie ukada wao kuwaengua wagombea wa vyama vingine ili wasipigiwe kura?

Najua utasema, ni sheria....

Well. Kama ndivyo, kumbuka hili. Sheria yoyote iliyotungwa na yeyote yenye lengo la kufanya "infringement" ktk haki za watu waliozitunga na kuzipitisha hao ndio wachochea ama waanzisha vurugu na wanapaswa kuwajibika...

Hili nalo hulioni? Huna ufahamu nalo?

Ndugu yangu Kitaturu, tutavuka mto tukiufikia
 
Msimuliaji wa hiyo historia ya Zanzibara naye kasimuliwa, wala hata hakushuhudia live. Hivyo uwezekano wa upotoshaji ni asilimia 95. Lissu kazaliwa January 20, 1968 wakati tayari Tanganyika ishazikwa na kuzaliwa Tanzania.
Achana na hoja butu.
Nitajie askofu mmoja tu aliyekuwapo wakati Yesu Kristo anasulubiwa.
 
Kemia na historia wapi na wapi
Kemia yenyewe ya kimagumashi. Wanaoijua watakwambia ina istilahi( terminologies) utapenda. Ukipata fursa ya kuwa mwalimu ni fursa ya kuogelea humo. Unasomea ualimu unafundisha mwaka mmoja unakimbilia maabara!. Kubali hujui Kemia. Kama hujui hujui. Hata hivyo angefundisha katika lugha gani?
 
Naikumbuka sana hio scenario bro. Yule ni mwakiishi halisi wa hisia za Wazenji. Ndio sababu baada ya Mwinyi kuteuliwa, zile amsha amsha hazikuwepo kabisa pale Dodoma, kwa sababu wenye nchi yao walitaka aidha awe Mbarawa ama Nahodha. The same kwa yule mwanasheria wa bunge la katiba aliyepingana na msimamo wa serikali yake.
Hakika
 
Residentura,

Kwa hashima tuu nikujibu Tena kwani nilishamjibu muhusika

Kwako na kwa wengine wote, ifahamike kuwa mimi ninasoma kwelikweli, sibahatishi.

Mchakato wa katiba mpya mpaka kufikia katiba inayopendekezwa, naujua mwanzo mwisho. Nimesoma na kuelewa kila kitu.

Ilani za uchaguzi ninazo za CCM, ACT- Wazalendo na CDM.

#Am heavyweight bro
Kama ni msomaji hivyo,basi pole sana kwa uelewa wa taratibu ulionao. Jitahidi uongeze maradufu kusoma kwako huku ukiwa huna stress za umasikini wako pamoja na ujuha wako.
 
Back
Top Bottom