Ziulize kabla ya huo uvamizi wenu wa mkoloni mweusi Zanzibar ilikuwa ikisaidiwa na Tanganyika?, musitufanye wajinga Kama munavo fanywa na ccm yenu,Zanzibar ni ilikuwa ni nchi kamili na utawala wake, miaka mingi nyuma,Leo munatufanya mazuzu eti muungano kwa ajili ya usalama,pumbavu kabisa,wadanganyeni hao hao lakini sio wazanzibar.Kwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki Zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndio tayari ipo hivyo.