VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

• Nimesikilza clouds fm maelezo ya dr ulimboka sauti yake mwenyewe kilichomsibu sihitaji ushahidi wa kutafuta nai alihuisika direct the gment did that for their interest
Baada ya kusikia maneno toka kwa wadau mbalimbali, toka magazeti mbalimbali na vyombo vingine vya habari juu ya NINI kilimsibu na NANI anahusika; tumeona ni vema kuwashirikisha video hii ili mweze kusikia toka kinywani mwake mwenyewe.

Nikiweka maneno mengi nakuwa nachakachua, ni vema kukupeni alichokiongea kwa kinywa chake.

NB: Video hii ruksa kutumiwa na vyombo vingine vya habari kuwahabarisha wengine wasio na access na JamiiForums

Last edited by a moderator:
Kwa kuwa Dr Ulimboka alikuwa yupo kati ya madaktari na serikali akiainisha madai ya madaktari dhidi ya ahadi za serikali katika kujaribu kutatua mgogoro huo;

Na kwakuwa Dr Ulimboka kabla ya majadiliano kati ya madaktari na serikali hayajaanza Waziri Mkuu hakutaka yeye (Ulimboka) ashiriki majadiliano hayo;

Na kwa kuwa Mheshimiwa Raisi kwa shingo upande aliamua kumwambia mh. Pinda kwamba basi Dr Ulimboka ashirikishwe kwa kutambua utaalam wake katika kufanya majadiliano;

Na kwa kuwa Dr Ulimboka mara tu alipoingia chumba cha majadiliano kati ya serikali na madaktari akikuja na hoja za msingi kabisa na zenye kuleta ugumu katika kukubaliana, kwamba madaktari hawawezi kulazimishwa kukubali serikali itakavyo na kwamba si hoja ya serikali tu ndio yenye uzito na yenye nguvu;

Basi mheshimiwa waziri mkuu akaghafirika na hata kusema bungeni kwamba liwalo na liwe na madaktari ni lazima warudi kazini na tutapeleka shauri mahakamani na ikafanikiwa kwa hilo kwani mahakama ni moja ya nguzo za serikali na itafuata maagizo.

Hivyo basi hoja ya serikali ikawekwa mezani na ikasemwa ni lazima isainiwe.

Mara tunasikia DR Ulimboka ametekwa na hali yake ni mahututi, na ni kwanini hawakumuua kabisa?. Jibu ni kwamba ingawa wametumwa lakini roho zao ziliwasuta na hasa yule aliebaki nae mwisho anadhihirisha hilo.

Mimi narudia kwamba ukandamizaji upo Tanzania na unakua kwa kasi ya ajabu na serikali ama kwa kutumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama au kwa kukodi mawakala inaweza kabisa kumtia adabu yeyote yule anaekaidi amri zake.

Nchi yetu kwa sasa imevamiwa na wahamiaji kutoka kona zote zinazotuzunguka kutoka Rwanda, Burundi, Kongo DRC na Somalia kama si hata nje ya Afrika, wanaweza pia kutumiwa kufanya unyama kwa raia wa Tanzania na kupewa nauli ya kurudi kwao kujificha kwa muda.

Mkuu Invisible ahsante kwa video hii na hata wapenda amani popote pale duniani wataunga mkono hoja kwamba Tanzania si salama kwa sasa kwa wale wapiganiao usawa.

Wakati WAASI wa Libya wamefanikiwa kumkamata rais wa Libya Gaddaf na kuanza kumfanyia unyama ikiwa ni pamoja na kumuingilia kwenye sehemu yake ya haja kubwa sikuwaelewa hata kidogo! kumbe ndo yalikuwa malipo yake sahihi,sijuhi hii siku hapa kwetu inafika lini ili huyu jamaa apate haki yake?

Inasikitisha sana kusema kweli....halafu hii Serikali ya wauaji inajifanya haihusiki katika dhamira ya kutaka kumuua Ulimboka.

Halafu ulimsikia Stella Manyanya alivyobwabwaja maneno ya kijinga? Nilikuwa namuheshimu sana huyu mama kwa kazi yao nzuri ya Richmond lakini kwa hili amenitia kichefuchefu, eti mgomo wa madaktari unachochewa na CDM na CDM ndo waliomteka Ulimboka kwa vile mavazi yao yanafanana na ya polisi! Mhhh!

This is a silly government, undemocratic and dictatorial one! It is real painful!

Wakuu, kwa nini tusiombe Amnest International kuingilia kati suala hili ili wahusika wapelekwe mahakama za kimataifa?? Kwani njia hii haiwezikani?? Naomba ushauri kwa hili!!

Hii kitu inasikitisha sana lakini haya yana mwisho!!!!!!! Hakuna mtu aliyekuwa anatawala kwa mkono wa chuma kama Gadaffi lakini leo yuko wapi? Watawala wetu inabidi wajifunze!!!!!

Tiba

Mkuu,

Timing ni muhimu; kwa wakati huo kila media iliandika cha kwake. Mengi yamesemwa, hata hivyo tunabadilisha video; tunawapa full version ambapo kaongea kwa kirefu (21min) na labda kuna mtakachopata cha kueleweka.

Nadhani ni wakati muafaka bado. Maana videos zaidi zinakuja...

Swadakta mkuu, umesomeka 100% tusonge mbele. Manake mambo yanaenda yakizidi kunoga na kuwa bambam mpaka tutafika sebuleni kwa muuaji. Pole pole ndo mwendo, ndo ndo ndo si chururu, bandu bandu humaliza gogo, na haba na haba hujaza kibaba.

Kama Mungu alimzuia usiku ule wa mateso makuu asife katika mikono ya wale wauaji wake ambao inasadikika pana mkono wa ikulu direct ama indirect, basi nawahakikishieni kwamba kuna kusudi la Mungu nyuma yake. Shika maneno yangu haya: serikali hii ya watesi haitafika mwaka 2015 kuwawezesha kuondoka madarakani kwa amani. Kuna agizo katika ulimwengu wa kiroho kwa mkono wa malaika, kama ilivyokuwa kwa Daud alipomwagiza Sileimani kuwa atakapokaa katika kiti cha utawala na hukumu, asimwache Eliabu jemedari wa jeshi lake ashuke kaburini kwa amani.
Mungu ni mwenye haki, hakika hatadharau kilio cha wanyonge wanaompaazia kilio chao usiku na mchana wakimuombea Dr Ulimboka rehema uponyaji na faraja dhidi ya mabarathuli wa taifa hili. Wameshiba na kujinenepesha kwa chakula cha dhuluma. Na kiburi chao ni kudhani watawaachia uzao wao baada yao unono wa nchi waliojikusanyia kidhalimu. Ni hakika sasa Mungu kutoka katika mbingu zake anawachungulia kwa dharau. Mtozukiwa ghafla ni miji yenu itabaki ukiwa, na wala hakunawa wa familia zenu atakaewarithi. Urithi wenu utachukuliwa na mgeni ambae hamkumjua wala baba zenu waliowatangulia hawakuwajua. EEH MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI UKAINUKE KATIKA KUTETEA HAKI YAKO, NA KWA HIYO HAKI YAKO UKALIKATE HILI SHAURI LA KUDHULUMU UHAI WA MWINGINE ISIVYO HAKI. TWAOMBA TUKIAMINI, MAANA NANGA YETU TUMEITIA KATIKA AHADI YAKO YA KUTUJIBU TUOMBAPO KATIKA IMANI. AAMEN!!

8E9U2755.JPG

Huyu ndio mtuhumiwa nambari moja without a doubt. Huyu ndie amiri jeshi mkuu; hakuna mtu mwenye mamlaka yakuamrisha mtu kwenye jeshi/polisi/usalama- kufanya kitendo hiki zaidi ya huyu; mgomo umeitikisa serikali yake; yeye kama kiongozi aliona njia pekee ni hii (yakumlazimisha mtu kusaini makubaliano kwa kumtesa). Kubali kataa ukweli ndio huo. Kamati haina kazi ni kula pesa tu za tax payers.

Huyu ndio mtuhumiwa nambari moja without a doubt. Huyu ndie amiri jeshi mkuu; hakuna mtu mwenye mamlaka yakuamrisha mtu kwenye jeshi/polisi/usalama- kufanya kitendo hiki zaidi ya huyu; mgomo umeitikisa serikali yake; yeye kama kiongozi aliona njia pekee ni hii (yakumlazimisha mtu kusaini makubaliano kwa kumtesa). Kubali kataa ukweli ndio huo. Kamati haina kazi ni kula pesa tu za tax payers.
His chances of not residing our prisons come 2015 are slim

Huyu ndio mtuhumiwa nambari moja without a doubt. Huyu ndie amiri jeshi mkuu; hakuna mtu mwenye mamlaka yakuamrisha mtu kwenye jeshi/polisi/usalama- kufanya kitendo hiki zaidi ya huyu; mgomo umeitikisa serikali yake; yeye kama kiongozi aliona njia pekee ni hii (yakumlazimisha mtu kusaini makubaliano kwa kumtesa). Kubali kataa ukweli ndio huo. Kamati haina kazi ni kula pesa tu za tax payers.

Si mnasemaga amiri jeshi ni slaa na huyu ni rais wa tume ya uchaguzi?leo ndio mmejua kwamba amiri jeshi ni yeye na sio slaa kama mlivyoaminishwa

wakuu,

baada ya kusikia maneno toka kwa wadau mbalimbali, toka magazeti mbalimbali na vyombo vingine vya habari juu ya nini kilimsibu na nani anahusika; tumeona ni vema kuwashirikisha video hii ili mweze kusikia toka kinywani mwake mwenyewe.

Nikiweka maneno mengi nakuwa nachakachua, ni vema kukupeni alichokiongea kwa kinywa chake.

nb: video hii ruksa kutumiwa na vyombo vingine vya habari kuwahabarisha wengine wasio na access na jamiiforums

serikali ya ccm ni wauaji... Nani anayepinga?

Last edited by a moderator:
Mtumbatu, endelea kusukuma mafuta chini ya maji mwisho utaelewa zaidi
Msamehe bure tu.
Picha hiyo imeoneshwa mara kadhaa katika vituo mbali mbali vya TV, yeye bado anataka utihibitisho.

kwa mtu mwenye akili timamu akisikiliza maneno ya Dkt moja kwa moja bila ubishi utaona jinsi Dola inavyohusika.

Mkuu Invisible naomba uweke katika format ( eg VLC) tunayoweza kuona na sisi mimi natumia PC lakini hii clip
inanileta hii MSg

The Adobe Flash Player or an HTML5 supported browser is required for video playback.
Get the latest Flash Player
Learn more about upgrading to an HTML5 browser

dah so sad kwakweli, sijui tunaelekea wapi na serikali ya kimafia hii? nahisi kuichukia nchi hii na kutokuwa na imani na chombo chochote cha serikali... they will pay for this soon labda kama Mungu hayupo wallah

Wapi aliposema ni Ikulu?Matapeli wangapi wanasema mimi nafanya kazi ikulu,mimi afisa wa usalama,mimi afisa wa upelelezi kwa kauli yake mgonjwa amesema waliomteka hawafahamu.

wewe hapa unatetea nini?
dr. amesema dhahiri anamfahamu huyu mtu aliyempigia simu kupitia mgogoro wa kwanza, ameeleza mashaka aliyokuwa nayo kwa tactic delay alizokuwa anafanya eventually akawa serious kuondoka nukta chache kabla watekaji kuwavamia! SALVA RWEYEMAMU NDIYE ANAWEZA KUISEMEA IKULU, TUNAMSUBIRI ATOE TAMKO LA IKULU. HUSHANGAI LEMA ALIJIBIWA FASTA NA KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU ILIPOTUHUMIWA KUINGILIA KESI KULE ARUSHA.

I suspect dr Deo might be be used by Msangi to trap dr uli,anaweza akawa ametumiwa kwa either kutojijua au kwakujijua.

Back
Top Bottom