Nafasi ya Dereva wa gari la shule

Oct 26, 2018
6
6
Anahitajika Dereva wa kike wa kuendesha Gari ya shule mwenye leseni class " C1 ama C2" Mwenye miaka kuanzia 28 mpaka 40 na awe anaishi kati ya maeneo ya Goba au karibu Na Goba. CV zitumwe kwa njia wa whatsapp kwa namba 0689 886 260, au kwa email kupitia nasaprimaryschool@gmail.com.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom