Unguja na Pemba ziliizaa zanzibar ndoma sikuitaja Tanganyika kama ambavyo sikuzitaja unguja na pemba, nikaitaja Zanzibar na Tanzania bara, baada ya zanzibar kujiunga na Tanganyika.Hilo pia mumejitakia wenyewe. Sisi Zanzibar ipo inajulika na inaonekana. Nyinyi kwa nini munalikataa jina lenu tanganyika? Zanzibar ndio dai lao kubwa hilo, yaonekano madaraka na Mipaka yake ya Tanganyika kama ilivyo kwa Zanzibar.
Mkuu umezidisha tafakuri, japo huo ndio ukweli wenyewe.Hapana, kila Mzanzibari kwanza ni Mzanzibari, kisha ni Mtanzania, hivyo Wanzanzibari wote, pia ni Watanzania, ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari!. Ni kama ilivyo kwa makabila yetu, Wasukuma wote ni Watanzania, lakini sio Watanzania wote ni Wasukuma!, na kwenye kugombea ni vivyo hivyo, Wachagga na Wahaya na Wanyakyusa, na makabila mengine yoyote, unaweza kugombea ubunge na udiwani jimbo lolote, mkoa wowote na ukachaguliwa, lakini huwezo kugombea na kuchaguliwa Moshi kama sio Mchagga, Mbeya kama sio Myakyusa au Bukoba kama sio Mhaya.
P.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii pia ni habari njema sana, hii hadithi ya Mafuta ya kwenye kinibu, tumeisikia siku nyingi, na itikipotokea kuwa kweli, hapa sasa ndio muda wa kuboresha muungano kwa kuungana kamili tuwe kitu kimoja, chini ya serikali moja!.
P.
Wew ndio hujui Historia, Zanzibar ina Historia kubwa. Kama hayo niliyoandika unahisi sio kweli, nenda kumbukumbu Zanzibar uakjsomee mwenyeweMsibadilishe historia wanafiki nyinyi Waarabu walikuja katika pwani ya Africa Mashariki kutokana na nja kwao
Mimi nimezaliwa ZNZ lakini huo ni uwongo unaosema Wazazibar walienda kuwaomba waarabu.Hakuna vitabu vya kihistorianvinavyosema hivyo hizo ni tungo zilizotungwa ili kuhalalissha uvamizi wao.Wew ndio hujui Historia, Zanzibar ina Historia kubwa. Kama hayo niliyoandika unahisi sio kweli, nenda kumbukumbu Zanzibar uakjsomee mwenyewe
Endelea tu kuwahusudu waarabu ila kaa ukijua:
1. Zanzibar ni ya waafrika 'blacks'
2. Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndo ukombozi wa mzanzibari
3. Muungano hauvunjwi mpaka kiama
4. Na hakuna cha serikali tatu wala mkataba, hapa ni mbili kuelekea moja
Wakati mwingine huwa na vutiwa sana na waandishi wanao sema kweli japo kidogo lkn je kwann kwa kipande kidogo kile vipi kuhusu wanaofuja mali za uma lkn pia baadae hutudi tena kufuja mali za uma kwa kupitia upande wa watawala na kuungwa mkono na mazuzu wa kitanzania?tulitumia ma mia ya mamilion kinondoni kwa uchaguzi 2015 leo yuleyule kwa kwa kumpata bwana toka ccm katoka huku kenda ku mfuata bwaana mpya ccm kwa fedha kiasi cha bilion moja ambazo ni za walipa kodi watanzania tunamuunga mkono arudi tena bungeni kwa kututia asala je tukiitwa ma mburumataru kuna kosa?je tukisema tunaongozwa na wasiojitambua kuna makosa?je ni kweli akili zetu ni matope kwa kuruhusu huyu mtu mleta hasara kwa taifa kugombea tena ubunge ?hivi tukiitwa akili zetu ni maboga ni kosa kwa kushangilia ujio wa mtu aliye isababishia hasara nchi?je hakufaa kufikishwa mahakamani huyu?nashindwa kujua jina gani hawa kijani wanapashwa kuitwa?je ni kweli hawa jamaa wanamtindio wa ubongo?kumbe kuzuiliwa kwa bunge live ni ili fedha zile zitumike kwa haya yanayofanyika ss?mwenye akili atafakari na kuchukua hatu lkn akili ni nywele kila mtu anazake sjui ni ng'ombe au kondoo,wacha tuone,yangu ni hayo.Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.
Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.
Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Waswahili wana msemo wao unaosema "Baniani mbaya kiatu chake dawa"
Wanazaisia wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kila siku tunawasikia wakisema warabu wabaya,warabu hivi warabu vile..
Kuna wanasiasa walifikia hadi kutoa kauli za uchochezi baina ya watanzania wenye imani ya kikiristo na wale wenye imani ya kiislam,kauli zilizotolewa kanisani,lakini wanasiasa haohayo kila siku wanakimbilia nchi a kiarabu kuomba omba..
Mdau toa mawazo yako
Nikiri kukosea "mbya" nilitaka kuandika "mbaya" lakini ninajua maana yake, ni sawa na kusema - kafiri akufaaye si islamu asiyekufaa au akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.hahaha "Baniani mbya kiatu chake dau",dau maana yake nini....kwanza unajua nini maana ya huo msemo mkuu
Unguja ni ndugu zetu, Wete na Chake piaHii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.
Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.
Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
sawa mkuu,hilo ni kosa la kawaida, lakini vipi kuhusu neno "dau"Nikiri kukosea "mbya" nilitaka kuandika "mbaya" lakini ninajua maana yake, ni sawa na kusema - kafiri akufaaye si islamu asiyekufaa au akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.
Chako ni chako na changu ni chetu!! Expansion joint hiyo!!!Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.
Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.
Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Pascal mwanaume akimtaka mke kufanya gharama kama za mshumaa kuwamulikia mwanga huku yenyewe ikiteketea kwenye kisosiHii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.
Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.
Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Seif sio mwarabu,Seif ana damu ya ushirazi hana tafauti na Thabiti KomboKwa hiyo kaenda wasalimia wajombaze Maalim Seif?