Video: 'Baniani mbaya kiatu chake dawa', Matembezi ya Shein Abu Dhabi

Video: 'Baniani mbaya kiatu chake dawa', Matembezi ya Shein Abu Dhabi

Kasome History kilichosababisha Sultan Said kuhamishia Makazi yake na Familia yake yote visiwani Zanzibar 1884!
Hizo sababu bado zipo
Hahaha kanywe togwa,upumzike barazani utizame wapita njia. unazungumzia 1884,unajua nchi za Kiarabu zilikuwa vipi,unajua sasa nchi hizo ziko vipi,Unajua Zanzibar ilikuwa vipi katika miaka hiyo..

Huwezi kufanananisha nchi za kiarabu miaka hiyo na wakati huu tulionao

.
 
Waswahili wana msemo wao unaosema "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Wanazaisia wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kila siku tunawasikia wakisema warabu wabaya,warabu hivi warabu vile..

Kuna wanasiasa walifikia hadi kutoa kauli za uchochezi baina ya watanzania wenye imani ya kikiristo na wale wenye imani ya kiislam,kauli zilizotolewa kanisani,lakini wanasiasa haohayo kila siku wanakimbilia nchi a kiarabu kuomba omba..

Mdau toa mawazo yako

Endelea tu kuwahusudu waarabu ila kaa ukijua:

1. Zanzibar ni ya waafrika 'blacks'

2. Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndo ukombozi wa mzanzibari

3. Muungano hauvunjwi mpaka kiama

4. Na hakuna cha serikali tatu wala mkataba, hapa ni mbili kuelekea moja
 
Methali yenyewe ina sema hivi "Baniani mbya kiatu chake dau" na sio dawa. Dau linalosemwa hapa na lile lisiloenda joshi. Ione faida ya wahenga.
 
Thank God Hazina kubwa ya Mafuta na Gesi yamegundulika Zanzibar baharini, Oil seep Tundaua Pemba, Kizimkazi hadi kuelekea Fungu Mbaraka Mashariki ya Dar es Salam na kule Tundaua Mkondo wa Mafuta umekwenda hadi karibu na Tanga ila na Mombasa cha ajabu haujaingia eneo la Tanga wala Mombasa kondo lote lipo bahari ya Zanzibar. Tayari Dr. Wetu mpendwa Shein ameshakagua eneo la kusafishia mafuta na kuhifadhia eneo lipo Mangapwani Kaskazini Unguja Na kwa taarifa yenu Ras Al Khaima ya huko Dubai UAE alipokwenda Dr. Shein ndiyo walioshinda tenda ya kutafuta mafuta na Gesi Zanzibar. Kwa hiyo muda si mrefu Zanzibar itapaa sana Kiuchumi. Tutawasaidia ndugu zetu wa Tanganyika wakina Paskali nao kiuchumi ili tuishi vizuri sote ni wamoja
 
Kama wagombea ubunge mzanzibara huku Tanzania bara ruhsa lakini kwa upande wa pili mtanzania bara kwa zanzibar ni No. Sijui ndo mwendo wa korogesheni wenywewe mradi kufika kusikojulikana
Hapana, kila Mzanzibari kwanza ni Mzanzibari, kisha ni Mtanzania, hivyo Wanzanzibari wote, pia ni Watanzania, ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari!. Ni kama ilivyo kwa makabila yetu, Wasukuma wote ni Watanzania, lakini sio Watanzania wote ni Wasukuma!, na kwenye kugombea ni vivyo hivyo, Wachagga na Wahaya na Wanyakyusa, na makabila mengine yoyote, unaweza kugombea ubunge na udiwani jimbo lolote, mkoa wowote na ukachaguliwa, lakini huwezo kugombea na kuchaguliwa Moshi kama sio Mchagga, Mbeya kama sio Myakyusa au Bukoba kama sio Mhaya.

P.
 
Methali yenyewe ina sema hivi "Baniani mbya kiatu chake dau" na sio dawa. Dau linalosemwa hapa na lile lisiloenda joshi. Ione faida ya wahenga.
hahaha "Baniani mbya kiatu chake dau",dau maana yake nini....kwanza unajua nini maana ya huo msemo mkuu
 
Thank God Hazina kubwa ya Mafuta na Gesi yamegundulika Zanzibar baharini, Oil seep Tundaua Pemba, Kizimkazi hadi kuelekea Fungu Mbaraka Mashariki ya Dar es Salam na kule Tundaua Mkondo wa Mafuta umekwenda hadi karibu na Tanga ila na Mombasa cha ajabu haujaingia eneo la Tanga wala Mombasa kondo lote lipo bahari ya Zanzibar. Tayari Dr. Wetu mpendwa Shein ameshakagua eneo la kusafishia mafuta na kuhifadhia eneo lipo Mangapwani Kaskazini Unguja Na kwa taarifa yenu Ras Al Khaima ya huko Dubai UAE alipokwenda Dr. Shein ndiyo walioshinda tenda ya kutafuta mafuta na Gesi Zanzibar. Kwa hiyo muda si mrefu Zanzibar itapaa sana Kiuchumi. Tutawasaidia ndugu zetu wa Tanganyika wakina Paskali nao kiuchumi ili tuishi vizuri sote ni wamoja
Hii pia ni habari njema sana, hii hadithi ya Mafuta ya kwenye kinibu, tumeisikia siku nyingi, na itikipotokea kuwa kweli, hapa sasa ndio muda wa kuboresha muungano kwa kuungana kamili tuwe kitu kimoja, chini ya serikali moja!.
P.
 
Endelea tu kuwahusudu waarabu ila kaa ukijua:

1. Zanzibar ni ya waafrika 'blacks'

2. Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndo ukombozi wa mzanzibari

3. Muungano hauvunjwi mpaka kiama

4. Na hakuna cha serikali tatu wala mkataba, hapa ni mbili kuelekea moja
Kaka hayo unayozungumza naona ni "Topic" nyengine kabisa,sio topic hii....Zanzibar ni kisiwa,visiwa vyote vinaitikadi za kuchanganya watu..,nikiisoma kwa makini ulichondika kiwejawa na ubaguzi,na umehemkwa,sifikiri kama ubaguzi kama huu utaipelea zanzibar au Tanzania kwa ujumla popote pale

Pole kaka,hapa nilichokiona mimi wazanzibari wamechanganyikiwa,hao hao wanaowasema vibaya hao hao wanakwenda kuwaangukia na kuwaomba,kwanini hawawi wakweli tu
 
Hapana, kila Mzanzibari kwanza ni Mzanzibari, kisha ni Mtanzania, hivyo Wanzanzibari wote, pia ni Watanzania, ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari!. Ni kama ilivyo kwa makabila yetu, Wasukuma wote ni Watanzania, lakini sio Watanzania wote ni Wasukuma!, na kwenye kugombea ni vivyo hivyo, Wachagga na Wahaya na Wanyakyusa, na makabila mengine yoyote, unaweza kugombea ubunge na udiwani jimbo lolote, mkoa wowote na ukachaguliwa, lakini huwezo kugombea na kuchaguliwa Moshi kama sio Mchagga, Mbeya kama sio Myakyusa au Bukoba kama sio Mhaya.

P.
P
tunazungumzia uraiya wa watu sio ukabila Mtanzania raiya wa Zanzibar
Mtanzania raiya wa Tanzania bara
Nchi moja uraiya 2
Ndo lugha yangu tupo kwenye barabara ya korogesheni mradi tufike kusikojulikana
 
Kama wagombea ubunge mzanzibara huku Tanzania bara ruhsa lakini kwa upande wa pili mtanzania bara kwa zanzibar ni No. Sijui ndo mwendo wa korogesheni wenywewe mradi kufika kusikojulikana
Hilo pia mumejitakia wenyewe. Sisi Zanzibar ipo inajulika na inaonekana. Nyinyi kwa nini munalikataa jina lenu tanganyika? Zanzibar ndio dai lao kubwa hilo, yaonekano madaraka na Mipaka yake ya Tanganyika kama ilivyo kwa Zanzibar.
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.

Smz ni Serikali ya watu wa Zanzibar. Chochote wanachokipata hakiwahusu wa Tanganyika. Ifuchuweni Tanganyika yenu na itakacho kipata hakita wahusu Zanzibar. Chochote kitakacho patikana kwa jina la Tanzania, Zanzibar inahaki yake.
 
Sababu iliyomleta Sultan Said bado ipo mpaka Leo Kwanini nihisi hawatamani kurudi
Soma Histrory. Muarabu alikuja Zanzibar kwa kuombwa na Wazanibari wenyewe kuja kuwasaidia kujikombowa kutoka kwa Mreno. Ingwawa mreno alikaa Zanzibar kwa Karibu miaka mia mbili, wazanzibari walikuwa hawamtii Mreno. Kwanza walimuita Mturuki kujwa kuwasaidia, na mara ya pili ndio wakamwita muarabu

Portuguese rule

By the mid 15th century, Prince Henry 'the navigator' of Portugal was encouraging voyages of exploration around the african coast. He hoped to find a sea route to the east, as well as the christian kingdom of the legendary Prester John (or 'priest-king') of Abyssinia. With the rise of the Ottoman Empire in 1453, all goods from the east, including the increasingly valuable spices, now reached Portugal via potentially hostile Muslim countries.

In 1487, Prince Henry's successor, King John II, despatched two expeditions to the East led by Bartholomew Dias and Pedro da Covilhan: one by sea around the southern tip of Africa, the other overland through Egypt. In 1497, another Portuguese navigator, Vasco da Gama, encouraged by the reports of Dias and da Covilhan, rounded the Cape of Good Hope and sailed northwards up the coast of east Africa, on the way to India. He passed Zanzibar and landed at Mombasa, where he received a hostile reception from the sultan. But he got a warm welcome in Malindi, an old enemy of Mombasa. Da Gama built a pillar of friendship on the shore at Malindi and employed an Omani navigator called Ahmed bin Majid to guide him across the Indian Ocean. On his return from India in 1499 he moored for a day off Unguja.

More Portuguese ships followed in the wake of da Covilhan and da Gama. They needed safe provisioning and repair bases for their voyages to and from the Far East, and so garrisons were established in the harbours of Unguja, Pemba and Mombasa.

Any early friendship was soon forgotten when the Portuguese took control of Unguja in 1503. A ship commanded by Rui Lorenco Ravasco moored off the southern end of the island while Portuguese sailors captured over 20 Swahili dhows and shot about 35 islanders. The Mwinyi Mkuu (king of Zanzibar) was forced to become a subject of Portugal, and agreed to allow Portuguese ships free access to Zanzibar. Additionally, he was required to pay an annual tribute to the Portuguese crown.

Portuguese domination of the region continued. In 1505 they took control of Mombasa, and in 1506 Pemba. Between 1507 and 1511 the Portuguese also occupied territories in the Arabian Gulf, including Muscat and the island of Hormuz.

By 1510 Unguja's tribute had fallen short and the people of Pemba had also become hostile to the Portuguese. Under Duarte de Lemos, the Portuguese looted and set fire to settlements on Unguja, then plundered the town of Pujini in Pemba. They soon regained both islands and by 1525 the whole east African coast, from Lamu to Sofala, was under Portuguese control. Gold, ivory, ebony and slaves from the interior were carried to Portuguese colonies in India or back to Portugal. Iron ore and garnets from Sofala, and coconut fibre and gum-copal (a tree resin) from the islands were also exported. Cloth, beads, porcelain and metal tools were imported to the east African coast from Oman and Portugal.

Around 1560 the Portuguese built a church and small trading settlement on a western peninsula of Unguja. This was to become Zanzibar Town. But although the Portuguese occupied Unguja, and forced the local people to trade under their supervision, the islanders continued to pay allegiance to the Mwinyi Mkuu, their own king.

Portugal was not the only European power with interests in the Indian Ocean. In November 1591 the Edward Bonaventura, captained by Sir James Lancaster, became the first English ship to call at Zanzibar. It was supplied with fresh food and water by the Mwinyi Mkuu. Soon, more European ships were calling at Zanzibar on their way to and from the Indian subcontinent and islands of the East Indies.

John Henderson, a Scottish sailor from one English ship, was reportedly held captive on Zanzibar in 1625. He later escaped, but not until he had fallen in love with a Zanzibari princess who escaped with him back to Scotland. Today, their portraits are in the collection of the Scottish National Portrait Gallery in Edinburgh.

With the advent of English ships in the Indian Ocean, the Portuguese needed to strengthen their position on the coast. In 1594 they built a fort at Chake Chake in Pemba, and from 1593 to 1595 Fort Jesus in Mombasa was constructed. Settlers arrived from Portugal, and a Portuguese garrison was established in Fort Jesus, brutally suppressing the local population. Mombasa became known as Mvita, 'the place of war', and the Portuguese governor as Afriti, 'the devil'.

Despite these fortifications, however, the Portuguese position in east Africa began to weaken. In Arabia, Hormuz was regained by the Persians in 1622, and in January 1650 Muscat was regained by the Omani Arabs. Following this victory, the Sultan of Oman's navy sailed to Zanzibar to help the Mwinyi Mkuu, Queen Mwana Mwema. The Omanis raided the Portuguese settlement on Unguja, killing many people and imprisoning about 400 in the church. They also attacked and burnt the Portuguese settlement on Pemba. By 1668, virtually the entire coastal area was in Omani hands. The only garrisons still held by the Portuguese were at Fort Jesus in Mombasa, and on the western peninsula of Unguja.

In 1682 the Portuguese persuaded the Queen of Pemba, who was living in Goa, to return, but this attempt to install a friendly ruler in Pemba was frustrated when her own subjects drove her out. The last Portuguese inhabitants were expelled in 1695.

By this time, Queen Mwana Mwema of Unguja had been succeeded by her son, Yusuf. After his death, towards the end of the 17th century, the island was divided between his two children, Bakari and Fatuma. King Bakari ruled the southern part of the island, with Kizimkazi as his capital, while his sister, Queen Fatuma, ruled the northern part. Fatuma supported the Portuguese, so her capital was built near the garrison on the western peninsula which later became the site of Zanzibar Town.

When the Omani fleet arrived at Mombasa and laid siege to Fort Jesus in March 1696, Queen Fatuma sent three dhows full of food to help the Portuguese defenders. The dhows were captured and burnt by the Omanis, who then attacked Zanzibar itself, forcing Queen Fatuma and her followers to flee into the interior of the island.

The siege of Mombasa lasted until December 1698, when the Omani forces took Fort Jesus and installed an Omani governor. Once again, the Omanis attacked Zanzibar. They drove out the last of the Portuguese settlers, captured Queen Fatuma and took her to Oman, where she spent the next 12 years in exile before returning to resume her rule. While she was away, her son Hassan took the title Mwinyi Mkuu, but paid allegiance to Oman.

Thus the Portuguese were finally ousted from the whole east African coast, and the Omanis were firmly in control of the entire region as far south as present-day Mozambique (which remained in Portuguese hands until 1972).
 
Hapana, kila Mzanzibari kwanza ni Mzanzibari, kisha ni Mtanzania, hivyo Wanzanzibari wote, pia ni Watanzania, ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari!. Ni kama ilivyo kwa makabila yetu, Wasukuma wote ni Watanzania, lakini sio Watanzania wote ni Wasukuma!, na kwenye kugombea ni vivyo hivyo, Wachagga na Wahaya na Wanyakyusa, na makabila mengine yoyote, unaweza kugombea ubunge na udiwani jimbo lolote, mkoa wowote na ukachaguliwa, lakini huwezo kugombea na kuchaguliwa Moshi kama sio Mchagga, Mbeya kama sio Myakyusa au Bukoba kama sio Mhaya.

P.
Naona umeingia kwenye mtego wao na kuweka post ya ku justfy wanayoyazungumza. Pitia vizuri bunge lililopita 2010-2015 mbunge wa jimbo la dole alikuwa ni msukuma mwenzako
Ni hayo tu
 
Msibadilishe historia wanafiki nyinyi Waarabu walikuja katika pwani ya Africa Mashariki kutokana na nja kwao
 
Kama wagombea ubunge mzanzibara huku Tanzania bara ruhsa lakini kwa upande wa pili mtanzania bara kwa zanzibar ni No. Sijui ndo mwendo wa korogesheni wenywewe mradi kufika kusikojulikana
Kwa sheria ya uchaguzi ya Zanzibar, Mtanganyika yoyote aliyekaa Zanzibar kwa miaka isiyopungua miwili basi huyo anayo haki ya kupiha kura kama ni Mzanzibari na kwa maana hiyo kugombea nafasi ya uwakilishi au Ubunge katika.moja kati ya majimbo ya Zanzibar.

Suala la Mtanganyika kutoweza kugombea nafasi ya uongozi ndani ya Zanzibar halina mashiko na ni juu ya chama husika kumchaguwa au laa kwenye kumpitisha katika vikao vya vyama. Suala la kujiuliza ni kuwa Mtanganyika aliyeishi Zanzibar kwa muda mfupi kiasi hichi ataweza kuuzika kwa wananchi?

Katika baraza la mawaziri la Zanzibar yumo mpaka Mnyasa wa Malawi namely Castico wachilia mbali Mtanganyika. Vile vile.katika ajira za serikali wamo Watanganyika wengi tu katika nafasi nyeti zisizo.za Muungano. Watanganyika wengi wanategemea waende Zenji ndani ya siku moja waanze kuchekewa na kuozeshwa watoto wa Kipemba, hilo haliwezekani. Na ukitaka kujuwa kama Wazanzibar sio wabaguzi, waulize Watanganyika wanaoishi Zanzibar na sio waliokwenda kutembea kwa muda.mfupi, ndio utapata jawabu.
 
Kweli kabisa usemayo hata Yale Madini mengine ya Almasi na Dhahabu, siku hizi mnaita Makinikia, ya kule Mwadui kwao akina Paskali yatakuwa ni ya Pamoja tafauti na ilivo sasa ni ya Tanganyika pekee, dah samahani siyo Tanganyika nimekosea ni Tanzania Bara Ingawa siku hizo tena tukikuchangaya nchi moja itakuwa Ishakuwa Mashimo matupu Mazungu yanazoa mpaka michanga yanamaliza tena. Thank God Magufuli kaja walau kilichobaki kazuia tutagawana hicho hicho Madini na mafuta itakuwa Mali ya Muungano Jamhuri moja !
 
Back
Top Bottom