chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
- Thread starter
- #121
No..unaongea kitu ambcho hukijui.na wacha ujinga minazi na miembe ni miti ambayo inapatikana tropical and subtropical areas kwa hivyo ukanda wa east Africa ni natural habitat yake. ameuambia nani population ya Africa ilikuwa ndogo kulinhanisha na waarabu before mapinduzi.. hivi mbona unaongea vitu vya kijinga wewe hebu angalia chaguzi zote na idadi ya watu walipiga kura na kwa nini zilikuwa zina ugonvi kabla ya mapinduzi mbona. Wahindi hawajaletwa na Waarabu katika ukanda wa East Africa mpaka southern Africa hii histotia anakusomesha nani wewe sasa hiyo milango ya Zanzibar door nikielezo cha nini na ndiyo justification ya kuwa minazi inatoka india?
Wacha kuleta upuuzi hapa rudi shule kasome huna hata kimoja unachokijua... eti IQ kubwa hahahahahahaaa.. hata chizi ukimuuliza atakuambia ana akili nyingi
Mkuu mpaka Kunguru hao wanaoitwa "kunguru wa Zanzibar "asili yao India,mwarabu ndio kawaleta...Mwarabu aliweza kuwadhibiti hao wadudu
Wanamapinduzi wameshidwa na kila kitu kuanzaia siasa,uchumi,utamaduni, hata kuwadhibiti kunguru,Kunguru wamekuwa janga la Zanzibar,lakini hamna mtu anaejali,hawa wadudu wanaua ndege wengine
Kisiwa kilichokuwa kimejaa ndege wa kila aina hivi sasa ndege unawatafuta,wengine wamepotea kabisa katika kisiwa visiwa vya Zanizbar,lakini hamna mtu anaejali,mmepewa misaada ya kuwadhibiti hawa wadudu,vile vile mmeshindwa
Ujuha wetu na kutokujali mambo yamsingi,kina kitu chenye utamaduni wa Zanzibar kimekufa,minazi imekatwa,madafu sasa yanatoka kisiwa cha Mafia
Utamaduni wa kusikia harufu ya udi katika nyumba za waswahili wa zanzibar haupo tena,hivi sasa kila kona unasikia harufu ya jasho,kwa njaa ilivyotuzidi..
Halafu unakutana na mtu kama wewe unajifanya unajua historia ya Zanzibar,lakini hujui chochote,wazazi wako wamehamia Zanzibar kutoka huko walikotoka,sasa na wewe unajifanya mzanzibari
Mmeshindwa kuongoza,mmeshindwa kulinda utamaduni wa Zanzibar,waachieni wanaoweza waitoe Zanzibar katika ufukara,nchi iliyokuwa "Empire",hivi sasa imekuwa moja katika nchi masikini duniani
Mji mkongwe hivi sasa kila kona kunauzwa chapati,wakati zamani kila kona kulikuwa kunauzwa Dhahabu, almasi,na vitu vyengine vya thamani....
Mmeng'ang'ania ooooh mwarabu atarudi,oooh mapinduzi daima,oooh tutaulinda mungano kwa njia zote,wakati wazanzibari wankufa na njaa...,tafakari