Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.
Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.
Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.