Video: 'Baniani mbaya kiatu chake dawa', Matembezi ya Shein Abu Dhabi

Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Sasa nani unamlinganisha na mke hapo?
 
Moyoni hata wana CCM Zanzibar wanajua heri Ukoloni wa muarabu kuliko wa Mtanganyika. Daktari wakaribishe waarabu tufaidi Petro dolari.
Hawa warabu wanaipenda sana Zanzibar kutokana na historia ya yake,

Wazanzibari walitakiwa wawaegemee sana hawa watu ili walipwe fadhila za kutawaliwa,,ijapokuwa sio warabu wa Abu Dhabi walioitawala Zanzibar lakini ndio hao hao,"warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba"

Fadhila za kutawaliwa haziwezi kulipwa kwa chuki,inabidi Zanzibar ikae nao karibu kwa mafanikio ya Zanzibar na wazanzibari kwa ujumla...

Tatizo kubwa lililokuwepo ni ndugu zao wa Tanganyika hawataki Zanzibar ije juu,wanafanya kila njia Zanzibar iwe na shida ili wafanikiwe kuitawala,waswahili wanasema "adui yako muombee njaa"...

Mtu akiwa na njaa ni rahisi kumlaghai,kumtia kasumba na kumparaganya kimawazo,hapo ndio ile dhana ya "Divide and rule" inapofanya kazi yake

kama wazanzibari hawata kuwa makini na ndugu zao wa Tanganyika kama akina Lukuvi wanaokwenda makanisani na kusema kuwa Uislam mbaya na mwarabu asirudi,wajue ndugu zao hao hawaitakii mema Zanzibar
 
Hapana, kila Mzanzibari kwanza ni Mzanzibari, kisha ni Mtanzania, hivyo Wanzanzibari wote, pia ni Watanzania, ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari!. Ni kama ilivyo kwa makabila yetu, Wasukuma wote ni Watanzania, lakini sio Watanzania wote ni Wasukuma!, na kwenye kugombea ni vivyo hivyo, Wachagga na Wahaya na Wanyakyusa, na makabila mengine yoyote, unaweza kugombea ubunge na udiwani jimbo lolote, mkoa wowote na ukachaguliwa, lakini huwezo kugombea na kuchaguliwa Moshi kama sio Mchagga, Mbeya kama sio Myakyusa au Bukoba kama sio Mhaya.

P.
Pascal kwani Sugu ni mnyakyusa?!
 
Hawa warabu wanaipenda sana Zanzibar kutokana na historia ya yake,

Wazanzibari walitakiwa wawaegemee sana hawa watu ili walipwe fadhila za kutawaliwa,,ijapokuwa sio warabu wa Abu Dhabi walioitawala Zanzibar lakini ndio hao hao,"warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba"

Fadhila za kutawaliwa haziwezi kulipwa kwa chuki,inabidi Zanzibar ikae nao karibu kwa mafanikio ya Zanzibar na wazanzibari kwa ujumla...

Tatizo kubwa lililokuwepo ni ndugu zao wa Tanganyika hawataki Zanzibar ije juu,wanafanya kila njia Zanzibar iwe na shida ili wafanikiwe kuitawala,waswahili wanasema "adui yako muombee njaa"...

Mtu akiwa na njaa ni rahisi kumlaghai,kumtia kasumba na kumparaganya kimawazo,hapo ndio ile dhana ya "Divide and rule" inapofanya kazi yake

kama wazanzibari hawata kuwa makini na ndugu zao wa Tanganyika kama akina Lukuvi wanaokwenda makanisani na kusema kuwa Uislam mbaya na mwarabu asirudi,wajue ndugu zao hao hawaitakii mema Zanzibar
Ndomana mkagawa bendera kwenye mimeli mibovu?!!
 
Mimi nimezaliwa ZNZ lakini huo ni uwongo unaosema Wazazibar walienda kuwaomba waarabu.Hakuna vitabu vya kihistorianvinavyosema hivyo hizo ni tungo zilizotungwa ili kuhalalissha uvamizi wao.
Wewe umesoma Kitabu gani cha Historia? Cha Omar Mapuri?
Katika Hayo yaliyoandikwa humo niambie lipi ni Uongo?
Kama ni Uongo nenda Wiki Pedia , Nenda Makumbusho ya Zamani. Kuzaliwa Zanzibar sio kujua historia
 
Ndomana mkagawa bendera kwenye mimeli mibovu?!!
kweli,yote njaa hiyo,Kama wataachiliwa wajiamulie wanachotaka,hawatagawa bendera kwenye meli mbovu,wastahamilie wanaganga njaa...mkuu
 
Sasa nani unamlinganisha na mke hapo?
Muungano ni kama ndoa, ila wanandoa wa muungano hawana jinsia, bali majukumu tuu, kuna mmoja anamgharimia mwingine, na mwingine kazi yake ni kupokea tuu, kula na kulala.
Kwa mujibu wa set up ya muungano wetu, wanandoa hawa walipaswa kuwa sawa na kushare gharama za kuendesha ndoa hii, lakini utekelezaji ni tofauti, kuna mwanandoa mmoja tuu anabeba gharama zote, huku mwingine kazi yake ni kubebwa tuu.

P
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Paskali,
I presume wanachopata wao ni chao wenyewe. Ninalazimika kuamini hivyo coz hakuna mwongozo wowote unaozungumzia misaada ya aina hiyo inatakiwa igawanywe vipi kama ile ya URT inavyozungumzia mgao wa Zanzibar ni 4.5%.
 
Endelea tu kuwahusudu waarabu ila kaa ukijua:

1. Zanzibar ni ya waafrika 'blacks'

2. Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndo ukombozi wa mzanzibari

3. Muungano hauvunjwi mpaka kiama

4. Na hakuna cha serikali tatu wala mkataba, hapa ni mbili kuelekea moja
Ukaburu umekujaa
 
Seif sio mwarabu,Seif ana damu ya ushirazi hana tafauti na Thabiti Kombo

Unajua maana ya ASP (Afro Shirazi party),kile chama kilichompindua mwarabu zanzibar? sio kila mwenye ngozi nyang'avu ni mwarabu,Mkuu

Ubaguzi wa rangi tutaanza kubagauna mwenyewe kwa wenyewe,Zanzibar ni kisiwa kina mchanganyiko wa watu kama visiwa vyengine

Hata hayo makabila ya kiafrika kama vile wazaramu,wazigua, wandegerekao,wasegeju na makabila mengine yanayopakatina Zanzibar yaliyochanganyika na wageni wengine kutoka bara la Asia na mashiriki ya kati kufanya utamaduni wa kiswahili, wamevuka bahari kwenda kuhamia Zanzibar,tafakari

Naelewa vyema,Waaafrika tukishashika Madaraka tukishindwa kitu kimoja kikubwa hatupendi kuona tumeshindwa tuwaachie wengine ndiyo sababu kuu ya kujitafutia visababu vya kututenganisha.

Wanaotutengeanisha wala si sisi ni wao wenye madaraka waloshika mpini
 
Paskali,
I presume wanachopata wao ni chao wenyewe. Ninalazimika kuamini hivyo coz hakuna mwongozo wowote unaozungumzia misaada ya aina hiyo inatakiwa igawanywe vipi kama ile ya URT inavyozungumzia mgao wa Zanzibar ni 4.5%.
Kwa hiyo wanafuata kanuni ya "chako changu", " chako chetu", ila "changu changu".
P
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.

MMMHHH KIONGOZI HAPO UMEONGEA MANENO MAZITO SANA.
 
Atukanae Meli akiwa ndani ya Feri, ameanza juzi safari za baharini
 
Waswahili wana msemo wao unaosema "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Wanazaisia wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kila siku tunawasikia wakisema warabu wabaya,warabu hivi warabu vile..

Kuna wanasiasa walifikia hadi kutoa kauli za uchochezi baina ya watanzania wenye imani ya kikiristo na wale wenye imani ya kiislam,kauli zilizotolewa kanisani,lakini wanasiasa haohayo kila siku wanakimbilia nchi a kiarabu kuomba omba..

Mdau toa mawazo yako

Kumradhi, ilikuwa ziara au matembezi?
 
Hawa warabu wanaipenda sana Zanzibar kutokana na historia ya yake,

Wazanzibari walitakiwa wawaegemee sana hawa watu ili walipwe fadhila za kutawaliwa,,ijapokuwa sio warabu wa Abu Dhabi walioitawala Zanzibar lakini ndio hao hao,"warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba"

Fadhila za kutawaliwa haziwezi kulipwa kwa chuki,inabidi Zanzibar ikae nao karibu kwa mafanikio ya Zanzibar na wazanzibari kwa ujumla...

Tatizo kubwa lililokuwepo ni ndugu zao wa Tanganyika hawataki Zanzibar ije juu,wanafanya kila njia Zanzibar iwe na shida ili wafanikiwe kuitawala,waswahili wanasema "adui yako muombee njaa"...

Mtu akiwa na njaa ni rahisi kumlaghai,kumtia kasumba na kumparaganya kimawazo,hapo ndio ile dhana ya "Divide and rule" inapofanya kazi yake

kama wazanzibari hawata kuwa makini na ndugu zao wa Tanganyika kama akina Lukuvi wanaokwenda makanisani na kusema kuwa Uislam mbaya na mwarabu asirudi,wajue ndugu zao hao hawaitakii mema Zanzibar
nimependa sana maoni yako mkuu
 
Wewe umesoma Kitabu gani cha Historia? Cha Omar Mapuri?
Katika Hayo yaliyoandikwa humo niambie lipi ni Uongo?
Kama ni Uongo nenda Wiki Pedia , Nenda Makumbusho ya Zamani. Kuzaliwa Zanzibar sio kujua historia
Wewe Wikipedia ndiyo source yako kuu kumbe. huyo mapuri si mzushi kama wewe..kumbe kichwani hamna kitu makumbusho gani kwenye historia inayosema waarabu walienda kuitwa? nakuambia tena bara arabu kuliwa na njaa ni wakaja Africa . Hawajenda kuitwa.
 
Mmmekuuliza umewahi kwenda Kilimani kwenye hayo Makumbusho kusoma Historia?
Nakubali kua waarabu walikuwa na njaa. Lakini wao ndio waliokuja kumuondoa Mreno.
Mbona husemi kuwa Okelo sie alikuja kuongoza Mapinduzi Zanziba kumuondoa Sultani?
Kigezo ni njaa au ukweli wa Mambo ulivyokuwa?. Kwani hiyo shiba ilitikea wapi Zanzibar?
Kama ni mikarafuu wao ndio walioileta, kama ni minazi pia ndio wao. Sasa kabla ya hao waarabu tulikuwa na shiba gani hebu nieleze? Usitoe matusi letew Hoja
 
Back
Top Bottom