Video: 'Baniani mbaya kiatu chake dawa', Matembezi ya Shein Abu Dhabi

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,379
Reaction score
5,887
Waswahili wana msemo wao unaosema "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Wanasiasa wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kila siku tunawasikia wakisema warabu wabaya,warabu hivi warabu vile..

Kuna wanasiasa walifikia hadi kutoa kauli za uchochezi baina ya watanzania wenye imani ya kikiristo na wale wenye imani ya kiislam,kauli zilizotolewa kanisani,lakini wanasiasa haohayo kila siku wanakimbilia nchi a kiarabu kuomba omba..

Mdau toa mawazo yako

Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
 
Ni kwamba kaenda kutembea nabkapokelewa vizuri na kachomewa na ubani. Hilo tuu. Kuomba hakuishi hivi karibuni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahaaaa mitaani tunasema kaenda kutoa tongo za macho....😀
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Swala zuri sana mkuu,wenye kujua haya mambo watujuze
 
Waswahili wana msemo wao unaosema "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Wanazaisia wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kila siku tunawasikia wakisema warabu wabaya,warabu hivi warabu vile..

Kuna wanasiasa walifikia hadi kutoa kauli za uchochezi baina ya watanzania wenye imani ya kikiristo na wale wenye imani ya kiislam,kauli zilizotolewa kanisani,lakini wanasiasa haohayo kila siku wanakimbilia nchi a kiarabu kuomba omba..

Mdau toa mawazo yako

Mwakilishi wa Sultan Jamsheed nakukumbusha Sultan akirudi Zanzibar atarudi kutembea sio kutawala Tena Zanzibar
 
Mkuu hawa jamaa ni wanafiki sana nakumbuka walisambaza propaganda kuwa maalim seif akishinda Urais eti waarabu watarudi kutawala zenji afu kituko mwaka 2014 mawaziri wa SMZ walienda uarabuni na kuwaomba kuja kuwekeza visiwani ssa unashangaa nani hasa anayewakaribisha waarabu warudi kuitawala zenji je ni maalim seif au serikali ya CCM!!!
 
Yaani hawa wanasiasa watanzania hasa CCM wanawaona watanzania wapumbavu
 
Mwakilishi wa Sultan Jamsheed nakukumbusha Sultan alirudi Zanzibar atarudi kutembea sio kutawala Tena Zanzibar
Kwa akili zako unafikiri warabu,wanataka kurudi kutawala Zanzibar,umeshaziona nchi zao,umeshaona watu wao wanaishi vipi,??wakati warabu walipokuja Zanzibar,Zanzibar ilikuwa na neema,warabu walikimbia njaa kwao wakaja zanzibar..

Hivi sasa nani anataka kurudi Zanzibar,nchi imejaa ufukara,mvua ikinyesha leo Korela mwaka mzima...,fikiri kabla hujajibu mkuu
 
Kwa akili zako unafikiri warabu,wanataka kurudi kutawala Zanzibar,imeshaziona nchi zao,umeshaona watu wao wanaishi vipi,??wakati arabu walipokuja Zanzibar,Zanzibar ilikuwa na neema,warabu walikimbia njaa kwao wakaja zanzibar..

Hivi sasa nani anataka kurudi Zanzibar,nchi imejaa ufukara,mvua ikinyesha leo Korela mwaka mzima...,fikri kabla hujajibu mkuu

Sababu iliyomleta Sultan Said bado ipo mpaka Leo Kwanini nihisi hawatamani kurudi
 
Sioni shida yeyote, mbona tunaenda Uingereza na Ujerumani ambao walikuwa ni wakoloni wetu? Ushirikiano wa kimataifa hauepukiki. Kuwait na Oman wamekutana na Rais JPM kujadili ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na wengine kutupa na msaada. Sio shida wazanzibari wakifanya hivyo.

Nakumbuka ile meli yenye ujumbe wa Sultani wa Oman ilivyofika kwanza Zanzibar yalianza maneno, lakini walivyokuja huku mpaka Ikulu tukaona sawa. Tusiwe na roho ya kutotaka wenzetu wafaidike na tuondoe hofu isio na maana
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Kumbe Mzee huo ndio Upeo wako wa kufikiri? Unaposema Tanzania unamaanisha nini?
Kama hamutaki kuwa munapokopa tusigawane tumieni jina la Tanganyika. Yachanganueni Madaraka ya Tananyika yonekane na ya Tanzania yaonekane. Mukifanya hivyo na akatokea Mzanzibari akalalamika Tena atakuwa mwehu
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Usisahau pia inajukumu la gharama Mara mbili gharama za kuendesha jamhuri ya Muungano na gharama za kuendesha Serikali ya Zanzibar. Tanganyika hakuna hiyo. Tanganyika imevaa koti la Tanzania. Na ndio maana Zanzibar tunalipa kodi mbili Double Taxation jambo ambalo duniani kote ni kinyume na sheria. Tunalipa Kodi Zanzibar Revenue Board ZRB na tunalipa pia TRA .hata hili hujaliona kiongozi ?
 
Hii ni habari njema sana. Hivi kuna mtu anayejua, katika ile asilimia 4.5% ya mgao wa Zanzibar katika Fedha za misaada yote ya Tanzania, jee misaada ambayo Zanzibar inapata yenyewe direct kutoka mchi wafadhili, pia kuna mgao wa bara?, au Fedha za misaada zinazogawanywa, ni zile tuu za misaada ya Tanzania, lakini misaada kwa Zanzibar, ni zake tuu na hakuna mgao wa bara?.

Hii inanikumbusha kisa cha mgao wa mali za ndoa, mali zinazogawanywa ni za mume tuu, lakini za mke, hazigawanywi, ni za mke tuu!.

Hongereni sana wenzetu kupata misaada ya UAE, sisi tuu wamoja, mkipata nyinyi, tumepata sisi, au tumepata wote.
P.
Kama wagombea ubunge mzanzibara huku Tanzania bara ruhsa lakini kwa upande wa pili mtanzania bara kwa zanzibar ni No. Sijui ndo mwendo wa korogesheni wenywewe mradi kufika kusikojulikana
 
Back
Top Bottom