Ni mimi tu ninayemwogopa mungu karne hiiNimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ngoja tu nikwambie stupid ndo neno linalokufaa huna akili hata kidogo na hufai kata kwenye jamiiSasa ata ukizimia sawa maana ni uzembe wake mwenyewe ktk utendaj kaz wake
Watu wanaoenda kwa Makomda ni mara 100 ya wanaoenda manispaa, hii ni kwa sababuAliponichosha jamaa ni pale anapohitaji takwimu za migogoro iliyopo kwa ofisa ardhi kubalance na ile aliyopokea yeye ofisini.
Bila kujiuliza kuwa kwake akialika wenye malalamiko wanaenda hata wale waliowahi kusikilizwa na kupewa maamuzi, na huenda tu Mtu anajaribu tena bahati yake kwa jambo lililowahi kutatuliwa.
We nyumbu rudi hapa ukiwa umechutama kwa aibu uendelee kubisha vitu usivyovijua niendelee kukupa shule ya bureTofautisha kati ya Takwimu na statistics, Takwimu na namba, fani za wengine usiwe unaparamia mkuu
Mapovu ya nini mkuu?, mbona una tabia za kike mkuu? ,We nyumbu rudi hapa ukiwa umechutama kwa aibu uendelee kubisha vitu usivyovijua niendelee kukupa shule ya bure
Exactly that is my point.Watu wanaoenda kwa Makomda ni mara 100 ya wanaoenda manispaa, hii ni kwa sababu
1.) Wana Imani nae zaidi kwa sababu yeye ni RC na ana mamlaka zaidi ya kufanya maamuzi.
2.) Hata wasio na haki huvamia tu ili kujaribu bahati.
3.) Hata wenye mashauri yaliyotolewa maamuzi mwaka 1990 - 2018 na majalada yao kufungwa wanaenda kwa RC ili kukata rufa...
4.)...
Shule gani hiyo unaweza kutoa mkuu? Mbona unaonekana mtu mzima ulieenda kiumri lakini akili zina drop down,We nyumbu rudi hapa ukiwa umechutama kwa aibu uendelee kubisha vitu usivyovijua niendelee kukupa shule ya bure
Hivi MTU mwenye akili timamu unahudhuria mikutano km hio kutafuta nn zaid ya kwenda kudhalilishwa.Nimejikuta natetema kwa hasira baada ya kuona mtu kaanguka na kapoteza fahamu huku huyo huyo mtu alisababisha apoteze faham anasema DAR ES SALAAM OOYEEEE! Atupishe siye tunaendele kuchapa kazi.... Daaah watu ni wanyama zaidi ya mnyama[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
We ndo unatabia za kike kuparamia mambo usiyoyajuaMapovu ya nini mkuu?, mbona una tabia za kike mkuu? ,
Sasa ata ukizimia sawa maana ni uzembe wake mwenyewe ktk utendaj kaz wake
Ya Makonda ni kufurahisha wahudhuriaji kwa utaratibu wa kisheria hana uwezo huo wa kumfukuza mkuu wa idara kwa utaratibu huo.Nimejaribu kufikiria sababu iliyosababisha huyo mzee kuzimia nimeona hata ningekuwa mimi kwa umri ule labda yangenikuta yaliyomkuta huyo mzee.
Yawezekana mshahara wa mzee haupungui 2 mil kwa mwezi hivyo si rahisi kupata ajira tena pengine ya kipato hicho, umri wake umeenda si rahisi kumudu kazi nyingine za pilikapilika. Yawezekana anasomesha watoto wake shule za kulipia na anategemewa na familia kubwa sana. Kauli ya bashite imemfanya afikiri kupoteza ma milioni yake ya kustahafu kazini. Mwisho wa siku mwili wake ukashindwa kuhimili situation iliyokuwapo.
tutasikia mengi mwaka huuAcha kabisa ndugu yangu. Yaani mimi hapa nimekasirika kupita maelezo kuona huyu muhuni asivyothamini uhai wa binadamu mwenzie. Utadhani ni mnyama tu ameanguka na yeye anaendelea na shughuli zake. Ingekuwa ameanguka mtu mwenye jina kubwa huyu asingethubutu kufanya huo upuuzi wake.
Du ntakuwa wa mwisho kuukubali udhalilishaji wa namna hii kwa kigezo cha kutatua kero za wananchi, mkuu wa idara kakueleza migogoro waliyopokea na hatua walizo chukua wewe unakuja na yako kosa la mkuu wa idara liko wapi kama hayondo aliyopokea?? Yaani apite mitaani kuuliza migogoro?? Kama haitoshi unahoji eti ulipandaje cheo!! Tuna safari ndefu kujua tunachotaka ni nini maendeleo au sifa binafsi??
Karibu Mzee upate moja ya moto, wazee wenzako wamelala , wewe uko jamii forum unachambana na vijana kuwa makini Mzee, tunakutegemea Sanaa kwenye ushauri ( wazee ni benk ya busaraz), enzi zenu smartphone hazikuwepo eee???.?We ndo unatabia za kike kuparamia mambo usiyoyajua