Kwa iyo ee chama chako kikitawala kitale uzembe wa hati tatu tatu kwenye kiwanja kimoja!?washamba tu nyie hamna lolote.kwani nyie ndo serikali ya kwanza duniani kutawala?
Tundu Lissu:Wakitumaliza wataanza na nyinyi
Dogo anajitengenezea mwisho wake kwa namna hiyo. Just mark my words!Huyu jamaa hakumbuki fitna yake ilisababisha mauti ya Kabwe kwenye uzinduzi wa Daraja la Kinondoni...
Uzembe wake umetoka wapi ili hali kaingia ofisini ana miaka miwili?? Baada ya kujibu maswali yake analeta takwimu zake za mfukoni mwake alizoandika akiwa na Jerry pamoja na lekibamia. Then anatoka kwenye mada baada ya kuona kazidiwa hoja anasema umepandaje cheo? Hilo ni swali makonda anapaswa kumuulza?? Si hivi kuna kitu makonda alikuwa amemwandalia huyo jamaa bora hata alivyovimia maana kingemkuta kingine zaidi ya hichoSasa ata ukizimia sawa maana ni uzembe wake mwenyewe ktk utendaj kaz wake
Tatizo leo hamuelewi na mnapenda sifa, tuambie wameua wangapi?? Na kwa nini usifuatwe utaratibu kama kuna makosa wamefanya??We unajua hao wakuu wa idara kwa kusababisha migogoro mfano ya ardhi, wameua watu wangap!?
Alafu ni mkuu wa mkoaNdiyo maana lilifeli shule kolomije
Hahahaa....... ni kama alimnong' oneza siyo?!!....kwi. kwi. kwi kadoda uli mdesi veye!nomemuona mtu kama jerry muro nyuma hao watu wengine....sijui kwanini baada tu ya kumuona jerry nimepatwa na ukakasi kuamini hilo tukio... nahisi ni kama tukio la "mipango mipango".
nawaza tu nje ya box.
Afu anajifanya eti yeye ni mcha Mungu aliyetukuka...Dogo anajitengenezea mwisho wake kwa namna hiyo. Just mark my words!
tatizo shule mkuuDu ntakuwa wa mwisho kuukubali udhalilishaji wa namna hii kwa kigezo cha kutatua kero za wananchi, mkuu wa idara kakueleza migogoro waliyopokea na hatua walizo chukua wewe unakuja na yako kosa la mkuu wa idara liko wapi kama hayondo aliyopokea?? Yaani apite mitaani kuuliza migogoro?? Kama haitoshi unahoji eti ulipandaje cheo!! Tuna safari ndefu kujua tunachotaka ni nini maendeleo au sifa binafsi??
Lakini si wajua hii inchi inavoendeshwa na mwenyew shahidi uyu kilaza mtoto wa mkulu unazani tutafika baba deleva mtoto konda mi ndomana nimejiajiri shida ka izo siezagi neverUzembe wake umetoka wapi ili hali kaingia ofisini ana miaka miwili?? Baada ya kujibu maswali yake analeta takwimu zake za mfukoni mwake alizoandika akiwa na Jerry pamoja na lekibamia. Then anatoka kwenye mada baada ya kuona kazidiwa hoja anasema umepandaje cheo? Hilo ni swali makonda anapaswa kumuulza?? Si hivi kuna kitu makonda alikuwa amemwandalia huyo jamaa bora hata alivyovimia maana kingemkuta kingine zaidi ya hicho
na mijitu mizuzu inaitikia oyeeee.tanzania bado sana na hao wengi ndio mtaji wa ccm.si dhani kama ubinaadmu unahitaji division...nilitegemea kuona busara ya DAB pale ambapo mtu amepoteza faham..lakini kwa ufinyu wa akili zake anakwambia "dar es salaam oyeeeeh"