laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
Wanashangilia Makonda kuwaondoa watumishi wazembe kama hao wakuu wa idaraWatanzania nafikiri ni miongoni mwa binadamu wajinga sana, kama sio tunaongoza kwa ujinga basi tunashika namba za mwanzo kwa ujinga..
Hebu jiulize mkuu, hao waliokuwa wanashangilia kwa nderemo na vifijo walikuwa wanashangilia nini?