Japhet Davies
Member
- May 12, 2013
- 71
- 8
si tuliosoma Azania enzi za kitengo Mawe hatuwajui hao.
Hahahahaaa tupo wengi mkuu
si tuliosoma Azania enzi za kitengo Mawe hatuwajui hao.
Mh! mkuu hyo ilkuwa long time sna naona
Azania ni shule ilikuwa inaongoza kwa kuiba mitihani....wengi walikuwa wanapata point saba O level wakipelekwa shule kama mazengo enzi hizo za 1990s wanaishiwa kushika nafasi za mwisho na form six wakitahidi sana wanapata div four.
Ni kweli mkuu. Huyu bwana alimaliza pale 1998 au 1997.
Mh! Kipindi hicho mimi bado nlikuwa nursery mkuu
alikuwa anaitwa dr wenziKuna yule dogo aliepata 7 azania akaenda kusomeshwa bure Mzizima akalewa sifa akaishia kunywa pombe hivi anaitwaje? Nishamsahau!!!!
Pia kuna jamaa alipata 9 akaenda mzizima akapiga 3 akaona ngoja aende oxford kusoma,wale jamaa wakamwambia huna sifa za kujiunga hapa kwanza Afrika nzima kuna nafasi mbili tu,nadhani ni dr muhimbili sasa!
OK! so we sio tunda la AZABOYS, ni tunda la AZANIA sio!
twahil abasi alipiga tisa mwaka 2000 akaenda irboru baadae akaenda china
Haaaaaaaaa kweli lyf nomaaaaaa,Je mdudu yupo?
Mwl,,Yengela...Kuna maticha hawa:
Matley-Hesabu
FUVU-Hesabu
Matawa-Kiswahili & Geograph
Mgude-Chemistry
Mkongo-Physics
Hivi Tokyo(jina alilipata kwa ajili ya kuvaa suruali za Tokyo) hivi anaitwa nani jina lake halisi na alikua anafundisha somo gani?
Huyo jamaa Ramadhani(Monitor wa Class D) walikuwa wanamwita Dondola.hakika wewe ni member pia jina lako lazima lipo hapo. kuna Rama (monitor) nowadays mwalimu Kurasini Primary School, imenikumbusha mbali sana
HahahahahahaaaaHuyo jamaa Ramadhani(Monitor wa Class D) walikuwa wanamwita Dondola.
Nahisi kwa sababu ya kiuno chake kilivyo hususani akivaa suruali na mkanda.
Ila kuna jamaa fulani alikuwa anaitwa Mberwa Zohoro(naye alikuwa monitor class D) sijui yuko wapi? Kama maisha ya shule yatakua yamemshinda basi atakuwa sasa ni Tapeli.
aza boys for life
Mimi nafikiri munazungumzia Azania ya Mwalimu Meja, mwalimu Kisamo,mwalimu KIsamo, .Enzi hizo ukiingia shule Meja anakiuambia kuwa maadui wenu wakubwa ni shule ya sekondari ya Tambaza, akawaleta akina Abass Kuka, George Best:yawn:, Rahim Lumelezi na wengineo, ukicheza npira hata ukitoroka darasani hupewi adhabu, nk nk
Mkuu ni kweli huu mwaka,97, zilitoka point 7 mbili,mmoja ya huyo Kongosho na nyingine ni ya ustaadh mmoja hii alikuwa anaitwa Ahmad,ambaye ni Daktari kwa sasa,baada ya kumaliza Muhimbili,kama sikosei yupo MUHAS upande wa research,..
Nakumbuka huyo (Kongosho) alipata 100% kwenye mtihani wa mock, Maths, watu tulibaki midomo wazi, ilikuwa intake ya kukumbukwa sana..wakali walikuwa wengi ila baadhi kwa ufupi alikuwepo Katamba,nadhani yupo tigo,Cliff,Fungo now lect UDSM,Nagunwa huyu lect IFM kama ckosei..those backin dayz at Azania....nadhan Chizenga atamalizia wengine
Ah miye nilikuwa jangwani lakini naukumbuka sana wimbo wa shule ya Azania na namna Bob Leo (now an advocate) alivyokuwa anauimba: Azania, Azania, Azania our school. We look at you with pride. You are known far and wide and you are always our guide we will never forget you. .....Niendelee?
namkimbuka yule tuliyekuwa tunamtanua kwao pemba mnazi akifika anaoga na kuanza safari ya kuja shule, kwa mara ya mwisho 2011 alikuwa kigamboni anasubiri kupangiwa kaziJe, unamkumbuka KABOKA mtoto wa Mbagala?
Hahahaaa endele Caren