Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Amir sultan,frank edo, jesse, shomary, benja, elizeus,david mbula, mafulu,koko pius, na wengine kibao, leodgard huo mtambo noma
Frank Edward, Jesse Msilanga, Abdulmalik Ally, Joseph Sungwa, Amos Mnanka, JUmanne (j4)Hendrick Milinga, Moses Mgalla, Big....bila shaka wewe ni member wa "D" class......hawa jamaa sijui wako wapi
 
Frank Edward, Jesse Msilanga, Abdulmalik Ally, Joseph Sungwa, Amos Mnanka, JUmanne (j4)Hendrick Milinga,

Moses Mgalla, Big....bila shaka wewe ni member wa "D" class......hawa jamaa sijui wako wapi
Omary(Big), Hassan Abdallah(Alwatan), Abdulahim, Said(Tall), Juma Ally, Herielly Msuya, Denis Kanyika(Odemba!!), Emanuel Niomey, Beda Mwingira, Noel Moses, Leodgard Benedict nk.

Duh watu wanakumbuka sana swaga za Azania, hao wote walikuwa member wa Class 'D', Zilikuwa ni zama za vimbwenga, vituko na Utundu!!!
 
Omary(Big), Hassan Abdallah(Alwatan), Abdulahim, Said(Tall), Juma Ally, Herielly Msuya, Denis Kanyika(Odemba!!), Emanuel Niomey, Beda Mwingira, Noel Moses, Leodgard Benedict nk.

Duh watu wanakumbuka sana swaga za Azania, hao wote walikuwa member wa Class 'D', Zilikuwa ni zama za vimbwenga, vituko na Utundu!!!

Hakika wewe ni member pia jina lako lazima lipo hapo. kuna Rama (monitor) nowadays mwalimu Kurasini Primary School, imenikumbusha mbali sana
 
Kongosho alimaliza o-level Azania mwaka 1997 na akapata one ya points 7. Ni mmojawapo ya wanafunzi 10 waliokula chakuka cha mchana na waziri mkuu Fredrick Sumaye kipindi hicho.

A-level alipelekwa Ilboru na alichukua mchepuo wa PCM, huko akafumua one ya points 3. Akaingia chuo kikuu mwaka 2000 na facult aliyosoma ni Telecom.

Akagraduate na kupata first class, akachaguliwa awe lecture hapo chuoni lakini akakataa kwani alipata schoraship ya kusome Masters ya Telecom nchini India.

Baada ya kumaliza kuchukua Masters akachukuliwa na Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom. Kwa sasa ndie fundi mkuu pale Vodacom. Je unahitaji kumfahamu Kongosho zaidi? NIULIZE. Nina full data za huyu jamaa.

Mkuu ni kweli huu mwaka,97, zilitoka point 7 mbili,mmoja ya huyo Kongosho na nyingine ni ya ustaadh mmoja hii alikuwa anaitwa Ahmad,ambaye ni Daktari kwa sasa,baada ya kumaliza Muhimbili,kama sikosei yupo MUHAS upande wa research,

Nakumbuka huyo (Kongosho) alipata 100% kwenye mtihani wa mock,Maths,watu tulibaki midomo wazi,,,ilikuwa intake ya kukumbukwa sana..wakali walikuwa wengi ila baadhi kwa ufupi alikuwepo Katamba,nadhani yupo tigo,Cliff, Fungo now lect UDSM,

Nagunwa huyu lect IFM kama ckosei..those backin dayz at Azania....nadhan Chizenga atamalizia wengine
 
Point saba zilikuwa zinatokea mara nyingi tu Azania. Omary Mtiga alipata 7 mpaka alipewa scholarship kwenda kusoma Uingereza. Nilikuwa Azania wakati wa Omary Mtiga,Mathias Michael,Kipimo,Batman,Sebastian Ndege,Jagna 'footballer'.

Wakati huo Salum Salum mwalimu wa michezo,mama Dath Chemistry O level,Mama Shija Chemistry A level,Peter Lebabu Mashanga(Rip) English huku akiwa ni muwakilishi wa British Council pale Azania. Vichwa hivyo pamoja nami tulimkuta Kisamo kama Head Master na Mzee Meja second Master ingawa baadae alikuja Kwayu.

Wakati huo tulivaa kaptula za kaki na lazima kitambaa chake ukanunue pale Urafiki. Ilikuwa mwiko kuchomekea shati,ukikutwa umechomekea unachapwa bakora za kutosha! Msosi ulikuwa wa bure na wakutosha enzi zile. Uwe boarding uwe day wote mnagonga menu.Niliyapenda maisha yale sana!


Yap yap WENZI MAN...Jamaa nasikia mlevi wakutupwa daa alikua kichwa sana jamaa One ya Point 7 azania ni nomaaaaa Haitokeagi hii makitu,zinaanziaga 8 na 9 lkn yeye alipiga!!
 
Frank Edward, Jesse Msilanga, Abdulmalik Ally, Joseph Sungwa, Amos Mnanka, JUmanne (j4)Hendrick Milinga, Moses Mgalla, Big....bila shaka wewe ni member wa "D" class......hawa jamaa sijui wako wapi
Mimi nilikuwa 3&4 H(pure arts),pamoja na J.kalage,ema frank,sadara,frank edo,beda na wengine kibao.Hao wa D walikuwa kampani ya msuli usipime tulienea kila sekta, tukiwa na mtambo Leodigard
 
Kuna yule dogo aliepata 7 azania akaenda kusomeshwa bure Mzizima akalewa sifa akaishia kunywa pombe hivi anaitwaje? Nishamsahau!!!!

Pia kuna jamaa alipata 9 akaenda mzizima akapiga 3 akaona ngoja aende oxford kusoma,wale jamaa wakamwambia huna sifa za kujiunga hapa kwanza Afrika nzima kuna nafasi mbili tu,nadhani ni dr muhimbili sasa!

Vp mkuu unamzungumzia yule jamaa aliyekuwa anafundisha TUITION mitaa ya Magomeni enzi zile?
Kama ni huyo anaitwaaaa.......ah! nimemsahau ila namkimbuka, alimaliza kipindi kile ANDREW KWAYU akiwa headmaster.
 
Azania ni shule ilikuwa inaongoza kwa kuiba mitihani....wengi walikuwa wanapata point saba O level wakipelekwa shule kama mazengo enzi hizo za 1990s wanaishiwa kushika nafasi za mwisho na form six wakitahidi sana wanapata div four.
 
Azania ni shule ilikuwa inaongoza kwa kuiba mitihani....wengi walikuwa wanapata point saba O level wakipelekwa shule kama mazengo enzi hizo za 1990s wanaishiwa kushika nafasi za mwisho na form six wakitahidi sana wanapata div four.

Duh! Mkuu wewe ulisomaga shule gani??
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom