Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Mimi nafikiri munazungumzia Azania ya Mwalimu Meja, mwalimu Kisamo,mwalimu KIsamo, .Enzi hizo ukiingia shule Meja anakiuambia kuwa maadui wenu wakubwa ni shule ya sekondari ya Tambaza, akawaleta akina Abass Kuka, George Best:yawn:, Rahim Lumelezi na wengineo, ukicheza npira hata ukitoroka darasani hupewi adhabu, nk nk
 
Sitasahau siku moja, walituatisha wavutaji wa likizo, asubuhi pale parade ground wakafunga milango yote , mzee tulipigishwa pushapu juani huku stiki zikitembea mpaka walume tukaomba msamaha, nilikuwa form III N kipindi ile. Wakati huo mchwa mpaka alikuwa discipline master.
 
Mnamkumbuka yule dogo(A..X) aliyeua mwanafunzi mwenzake(bahati mbaya si makusudi) kwa risasi?
 
Sitasahau siku moja, walituatisha wavutaji wa likizo, asubuhi pale parade ground wakafunga milango yote , mzee tulipigishwa pushapu juani huku stiki zikitembea mpaka walume tukaomba msamaha, nilikuwa form III N kipindi ile. Wakati huo mchwa mpaka alikuwa discipline master.

Huo ulikuwa mwaka 2000, kosa letu lilikuwa ni kuondoka darasani mapema na kwenda tuition.katika miaka minne niliyosoma Azaboys hakuna adhabu kubwa kama ile niliyopata.
 
1. Wale maticha waliokuwa wanauza past papers - Mosha na mwenzake wako wapi?

2. Mwalimu Hatibu aliyekuwa anajulikana kama 'Ibara' kutoka na kunukuu 'Katiba' naye kaishia wapi?

3. Kulikuwa na ticha kichwa wa kemia alikuja miaka ya 90, anaitwa nani?


!

4. Ticha wa PE aliyetupigisha mazoezi ya mpira naye anaitwa nani?

1.wale maticha(primus na mosha ) wapo,nshawah kupishana na mosha city centre,kuna kipindi primus aliokoka nikiwa adv azaboy akaacha ulevi na kuanza kulipuka pamba za kitumishi

4.Ticha wa PE nahc atakuwa Salum salum,kama ni huyo bado ni mdau wa michezo manake namuonaga kwenye media
 
ahsante kwa taarifa mkuu,kuna umuhimu wa kuanzisha Azania sec. Leavers Members kwenye Jamíi Forum kwa kuwa tupo wengi sana.

Dah mumenikumbusha mbali sana .Aisee na mie nlipita azaboy 1999-2002.Tena tuit ya namba nlipga kwa dr weins.Kuanzisha jukwaa la azaboy naunga mkono.Dah aisee nimeamin JF ni zaid ya tuijuavyo
 
una taarifa kuwa mwalimu MUCHWAMPAKA ALISHAFARIKI MWAKA JANA MWEZI WA 11?
 
Kuna maticha hawa:
Matley-Hesabu
FUVU-Hesabu
Matawa-Kiswahili & Geograph
Mgude-Chemistry
Mkongo-Physics
Hivi Tokyo(jina alilipata kwa ajili ya kuvaa suruali za Tokyo) hivi anaitwa nani jina lake halisi na alikua anafundisha somo gani?

matley alipandishwa cheo akapelekwa wilayani,mkongo alihamishwa na MUCHWAMPAKA alishafaariki mwaka jana.
 
matley alipandishwa cheo akapelekwa wilayani,mkongo alihamishwa na MUCHWAMPAKA alishafaariki mwaka jana.

Yes Nilisikia kwamba mchwampaka kavuta(rip),kwayu yupo ilboru naskia,mambo ya fishpond sijui kama lipo lile?
 
alidisko!!muhimbili haizalishi kaboka mchizi mtoto wa mbagala!!!!!akaimbe muziki

"Wako wapi walionicheka shuleni nilipo fail? 93 nipo boda naitafuta south africa,leo najichanganya tu america ndivyo maisha yanavyochange leo ndani ya terrano kesho vx au range"---2Proud
 
Mnamkumbuka yule dogo(A..X) aliyeua mwanafunzi mwenzake(bahati mbaya si makusudi) kwa risasi?

Yule nwenye ubin wa Ma***ka??
Yuko Mzumbe kwa sasa kampasi ya DSM akichukua Masters ya nini sijui.
 
yap AZANIA ilikuwa kiboko, hivi yule aliyekuwa headmaster mr. KISAMO yupo wapi siku hizi?
 
yap AZANIA ilikuwa kiboko, hivi yule aliyekuwa headmaster mr. KISAMO yupo wapi siku hizi?

Dah, head master wa enzi zetu huyo, alikua anasaidiwa na mzee meja !!
Pia namkumbuka mwalimu Mkumbo (alikua anafundisha hesabu) , na mwalimu mmoja wa kike wa kihindi alikua anaitwa Menezes.
Bila kumsahau mwalimu Amos (kama sijasahau alikua mwalimu wa nidhamu)......
Wakuu wa enzi hizo mpooo ??????
 
Back
Top Bottom