Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

Inawezekana hujatembea vyuo vingi,hiyo sera ipo almost vyuo Vyote sasa sijui hao VC nao na ni Waalimu Ama la.

Naomba waongeze na Marufuku wanafunzi kuvaa earphones kila saa,vitu vingine ni ulimbukeni na ushamba tu Wala sio sense ya civilization.
Sawa tutorial assistant
 
Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona,

Usikubali kuharibiwa familia yako na mgeni, leo yupo kesho anakuacha wewe na wanao ukiwa umeharibiwa mambo yako, na je wajua huko atokako!?
 
Prof ilibidi aongoze vyuo vya walimu pekee.
 
mkuu acha mambo ya ajabu hapa sioni mambo ya wazazi yameingia wapi ! tuheshimiane tafadhali... na hakuna mtu ananyevaa nusu uchi udsm, hakuna hata mtu mmoja anayevaa nguo za hovyo udsm nimekaa miaka yote pale sijawahi kutana na kitu kama hicho wadada wa pale wanajiheshimu, mimi lalamiko langu kubwa ni kwenye hizo mguo za wanaume ambapo huruhusiwi kuvaa jeans wala kaptula, upande wa wanawake hakuna tatizo lolote maana hakuna mjinga udsm
Basi mhimize Dada yako au mama yako Mdogo avae nusu uchi tuone kama ni ushamba au ustaarabu!
 
Hapo kwenye jeans wamekosea jeans ni vazi zuri sana kwa mwanachuo hasa wanaume, mimi nafikiri wangesema aina vani ya jeans inayofaa.
 
Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....

Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....

CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841
Hii imekaa vizuri you are advised ....kwani kimetokea Nini Hadi kufikia hatua hii!
 
Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....

Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....

CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841
Kuna ubaya gani katika hili? By the way, hayo mabango yameandikwa na chuo kikuu? Kama siamini hivi. Hivi UDSM imekuwa ina wabovu wa lugha kiasi hiki?
 
mkuu acha mambo ya ajabu hapa sioni mambo ya wazazi yameingia wapi ! tuheshimiane tafadhali... na hakuna mtu ananyevaa nusu uchi udsm, hakuna hata mtu mmoja anayevaa nguo za hovyo udsm nimekaa miaka yote pale sijawahi kutana na kitu kama hicho wadada wa pale wanajiheshimu, mimi lalamiko langu kubwa ni kwenye hizo mguo za wanaume ambapo huruhusiwi kuvaa jeans wala kaptula, upande wa wanawake hakuna tatizo lolote maana hakuna mjinga udsm
Sasa kama wanavaa kwa kujiheshimu wewe unachopigania hapa ni kipi?
Inaonekana kuna kitu hutaki kukiweka wazi...
Be free to expose your idea Even though it is beyond standard
 
nachopigania ni kuwa hiyo sheria haina maana kwakuwa hakuna case yoyote iliyotokea mtu kavaa vibaya hapo chuo, hakuna asiyejielewa hapo chuoni wote ni watu wazima na pale wanaenda kupewa elimu kwahiyo mtu hawezi kuvaa kiajabu, ila wao kuweka hiyo sheria inaminya hadi nguo ambazo hazina impact, mwanaume kuvaa jeans au kaptula au kofia ina tatizo gani? mwanamke kuvaa jeans ina tatizo gani? usijitoe ufahamu mzee nenda na reality bora waache vitu vilivyo since hakuna harm yoyote iliyotokea hapo chuoni upande wa mavazi....

Mavazi ya watumishi wa umma watarajiwa.
Hao forena wanaokuja, si wafuate taratibu.
Ina maana kwa mfano mie hapa nikienda kusoma huko nchi za Iraq sijui na wapi wapi huko wataniruhusu kuwa kichwa wazi kwa kuwa ni mtu kutoka taifa lingine?
 
Enzi zetu 1978 kulikuwa hakuna dressing code watu walikuwa wanavaa nguo za staha sana.Kulikuwa na mzee asiyejulikana anaitwa mzee Punch ndio alikuwa anarekebisha tabia za watu hasa kina dada
 
nachopigania ni kuwa hiyo sheria haina maana kwakuwa hakuna case yoyote iliyotokea mtu kavaa vibaya hapo chuo, hakuna asiyejielewa hapo chuoni wote ni watu wazima na pale wanaenda kupewa elimu kwahiyo mtu hawezi kuvaa kiajabu, ila wao kuweka hiyo sheria inaminya hadi nguo ambazo hazina impact, mwanaume kuvaa jeans au kaptula au kofia ina tatizo gani? mwanamke kuvaa jeans ina tatizo gani? usijitoe ufahamu mzee nenda na reality bora waache vitu vilivyo since hakuna harm yoyote iliyotokea hapo chuoni upande wa mavazi....
Tatizo lipo na ndio maana wamezipiga marufuku.
 
Back
Top Bottom