Dada Leti
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 285
- 396
mmezoea kuvaa vijinsi vyenu eti sharobaro! Mmekomeshwaje! hahak
ipindi chetu hakukuwa na hizo mishe mkuu hii imekaziwa alivoingia anangisye, jamaa kakaza kila sehemu kwanza avoingia tu wakapiga audit moja matata watu walifukuzwa chuo walikua wanafoji risiti za ada, accountants wa baadhi ya college wenyewe waliliwa vichwa, kweli hatari