Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....
Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....
CC; prof W. Anangisye
View attachment 1249841