Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

Daaah nimemkumbuka huyo Pr Anangisye aliwahi kuleta kitu kama hicho wakati yupo DUCE miaka michache iliyopita lakini walimu waliendelea kupiga vimodo. Nadhani usabato ukizidi unaboa wengine. Anangisye ni msabato kindakindaki
 
mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Waache hao foreigners watajitetea wenyewe. Wewe mtanzania unatakiwa kutii sheria bila shuruti la sivyo bakora zitakuhusu
 
Kila Jambo likizidi kipimo ni hatari,fanya study mazingira ya vyuoni hata mtaani uone jinsi Vijana walivyofaa earphones full time.
Licha ya uwezekano wa kuathiri usikivu wako ina implications pia ktk utendaji kazi wako baada ya Masomo.Sio ajabu Leo kumkuta kijana anahudumia ktk ofisi huku amevaa earphones utadhani yupo studio.
Kwahiyo akiwa amevaa earphones ufanisi wake wa kazi unapungua au? Umefanya research ipi to make your statement valid? Kila mtu ana his/her personal preference. Sijapata point yako hapo mkuu kuhusu earphones.
 
Ndiyo hata concentration ya akifachohupungua, mfano mdogo anaweza akapita njiani hata akisalimiwa hawezi kusikia, n.k

Halafu kiafya matumizi ya hayo makitu hayafai @ Dogo!
 
Safi Sana Prof. Anangisye, Kama mtu anaona akienda kwa jirani lazima avue viatu, jibu rahisi usiende!! Wasiotaka dressing code wapumzike makwao!!! Baniani mbaya, kiatu chake.....
 
mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Kwani tatizo lipo wapi?ukiwa Roma Fanya kama waroma,vinginevyo kasome tu Zoom
 
mi nishamaliza kitambo naongelea hao madogo wa sasa ! wanaonewa ila ingekua miaka yetu mgomo ungehusu hatutaki mambo ya kijinga uzee tu umewajaaa
Kwani tatizo lipo wapi?ukiwa Roma Fanya kama waroma,vinginevyo kasome tu Zoom
 
Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....

Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....

CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841
Nina shaka kama ulisoma pale, au kama ulisoma wewe Ni wale wapinga kila kitu.
 
mkuu mimi product ya hall 5 nivokuwa fresher, nkaamia survey hadi nilipomaliza first year , sipingi kila kitu, hiyo hoja yao ni dhaifu, haya tusiongee sana tuangalie wakishaimplement hiyo by-law yao tutaona kama ufaulu utaongezeka au lah
Nina shaka kama ulisoma pale, au kama ulisoma wewe Ni wale wapinga kila kitu.
 
Haiwezekani kuzalisha graduates wahuni wasiokuwa na Maadili mema!

Ndo hao wakijapewa dhamana ya usimamizi wa maswala nyeti ya umma wanaharibu!

Mtu akishindwa kuwa na nidhamu yake binafsi na ku comply na kanuni za asili na zile za kijamii na kiimani basi mtu huyo anakuwa ameshindikana!

Na unakuta na yeye watoto wake a awalea na kuwakuza kihuni , sasa kunakuwa na mwendelezo wa kihuni!

Elimu ya malezi mema na maadili mema inahitajika sana kwa sasa!
 
Wazazi na walezi wakifuatiwa na viongozi wa dini na walimu mashuleni wananafasi kubwa sana ktk kuwaandaa na kuwalea na kuwakuta watu ktk maadili mema!
 
Kwanza kuvaa kihuni ni ulimbukeni

Wakuja wengi ndo wanakuwaga na hayo mambo!

Hata ukimkuta wa mjini mwenye kuvaa kihuni ukimfatilia kuna mahala alipitia shambani!
 
Yani kuna watu wanazani wakivaa kihuni ndo wataficha ushamba wao na kuonekana wa mjini kumbe jogoo wa shamba hawezi kuwika mjini na kuku mgeni hakosagi Kamba mguuni
 
Hata ukiwaweka wanafunzi wanosoma Shule za kutwa za mijini (Dar) zidi ya wale wanaosoma boding mikoani ipo tofauti kubwa sana ya kitabia na kimwenendo!

Wa boding huwa na kujiamini kupita kiasi overconfidence ambayo ni shida!
 
jf haina option ya kublock hivi? unayumba mzee tulia na mawazo yako tumekuelewa, au andika post moja...
Hata ukiwaweka wanafunzi wanosoma Shule za kutwa za mijini (Dar) zidi ya wale wanaosoma boding mikoani ipo tofauti kubwa sana ya kitabia na kimwenendo!

Wa boding huwa na kujiamini kupita kiasi overconfidence ambayo ni shida!
 
mkuu mimi product ya hall 5 nivokuwa fresher, nkaamia survey hadi nilipomaliza first year , sipingi kila kitu, hiyo hoja yao ni dhaifu, haya tusiongee sana tuangalie wakishaimplement hiyo by-law yao tutaona kama ufaulu utaongezeka au lah
Muda Ni rafiki
 
UDSM kuna mambo mengi ya kiutawala yanafeli.
1.Unaajiriwa UDSM unakaa mwaka mzima bila mshahara eti wanashindwa kukuingiza kwenye system,ukiuliza utumishi Dodoma wanasema sio tatizo lao,tatizo ni UDSM wenyewe.
2.Unafanyiwa Recategorization mshahara mpya hupati na tatizo sio utumishi tatizo ni UDSM wenyewe.

Prof William Anangisye shughulikia maslahi ya watumishi wako sio mpaka upigiwe simu na watu wa utumishi ndo unaanza kushughulika kwa kukimbizana na muda as if tatizo ni emmergency.

UDSM wana matatizo mengi zaidi ya hiyo dress code
 
Back
Top Bottom