Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

k

ipindi chetu hakukuwa na hizo mishe mkuu hii imekaziwa alivoingia anangisye, jamaa kakaza kila sehemu kwanza avoingia tu wakapiga audit moja matata watu walifukuzwa chuo walikua wanafoji risiti za ada, accountants wa baadhi ya college wenyewe waliliwa vichwa, kweli hatari
ilikuepo Seema namna ya kuisimamia walishidwa kutokana na ukubwa was chuo,tofauti na vyuo Kama if ,cbe na dit,wao waliweza kwa kua padogo ,unakuta getini jamaa wanakupiga stop,na hakuna njia nyingine ya kupita
 
nyie wote mnaopinga naombeni niwaulize kitu kimoja, mavazi/dressing code ina impact gani na perfomance ya mtu kimasomo? mbona mna mambo ya kizamani sana, tena sio kizamani maana hata zamani mababu zetu walikuwa wanajifunga tu vipande vya ngozi kujisitiri sehemu za siri na makalio, ingekuwa kuvaa kuna uhusiano na kufaulu basi hata havard au Yale wangekuwa na hizo mambo(nimesema tu hapo kwa assumption hawana hizi mambo) , nyie mnaosema eti oh watu wanatega wenzao kwa nguo wanazovaa nyie ni perverts na mna tamaa zenu za ajabu tu ! acha mtu avae anavotaka kama chuo hakumfai natural selection itaamua tu ndio maana kuna wanaodiscontinue...
 
mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Mkuu sijui exposure yako kuhusu vyuo lakini nikutaarifu tu kwa TZ Hakuna chuo chenye foreigners wengi Kama Mweka college

Mkuu naomba nikujibu hoja zako kama ifuatavyo,hoja kwamba UDSM ndio chuo cha kimataifa pekee sio kweli,almost vyuo Vyote nchini Vina foreigners vingine kuzidi hata UDSM fanya study ktk vyuo vya Mweka na Jordan.

Hoja kwamba namna ya uvaaji haiathiri taaluma ni upofu wa kufikiri Sawa sawa, mvaaji anaweza asiathirike yeye lakini akaathiri wengine hasa jinsia tofauti.

Halafu kama msomi lazima utambue kwamba kila nchi ina utamaduni wake na katika ulimwengu wa kibepari kuna kitu kinaitwa cultural imperialism,hao wazungu unaowaona na kuwatetea wavae wanavyotaka means wanaeneza utamaduni wao.
Sisi tuna utamaduni wetu na ni lazima tuupiganie,anayetaka kuja Kusoma lazima afuate taratibu zetu hata wewe Ukienda Uarabuni lazima ufuate tamaduni zao za kujisitiri.
 
sawa nakubali ila kumbuka hizo nguo zenyewe wanazokingia kifua sio tamaduni yetu pia, hizo suruali tumetoa kwa westerners, hihabu tumetoa kwa waarabu! kwahiyo kwamba wanafanya hivyo kupromote utamaduni wetu si kweli maana kabla ya early contacts hatukuwa na suruali wala hizo shati nk....

pili kuhusu kuwa jinsia tofauti inakuwa affected kwa mavazi napinga, chuo hakuna mtoto yoyote, mtu mzima huwezi kuwa dhaifu eti nguo ikufanye usisome huyi atakua hajui kilichompeleka chuo...
Mkuu sijui exposure yako kuhusu vyuo lakini nikutaarifu tu kwa TZ Hakuna chuo chenye foreigners wengi Kama Mweka college

Mkuu naomba nikujibu hoja zako kama ifuatavyo,hoja kwamba UDSM ndio chuo cha kimataifa pekee sio kweli,almost vyuo Vyote nchini Vina foreigners vingine kuzidi hata UDSM fanya study ktk vyuo vya Mweka na Jordan.

Hoja kwamba namna ya uvaaji haiathiri taaluma ni upofu wa kufikiri Sawa sawa, mvaaji anaweza asiathirike yeye lakini akaathiri wengine hasa jinsia tofauti.

Halafu kama msomi lazima utambue kwamba kila nchi ina utamaduni wake na katika ulimwengu wa kibepari kuna kitu kinaitwa cultural imperialism,hao wazungu unaowaona na kuwatetea wavae wanavyotaka means wanaeneza utamaduni wao.
Sisi tuna utamaduni wetu na ni lazima tuupiganie,anayetaka kuja Kusoma lazima afuate taratibu zetu hata wewe Ukienda Uarabuni lazima ufuate tamaduni zao za kujisitiri.
 
Dah mimi wangenifukuza, maisha yangu yote bukta au kamptula.. Bora hata nilichaguaga kusoma nilochosomea na kufanya kazi hii... bukta, jeans, combat sawa tu sometimes hata chupi poa tu unapigia kazi cha muhimu perfomance..
 
Akili hizi tungeweza kwa wale engineers angalau kila mwaka UDSM ingekuwa inakuja na new technologies and research in market.. Tunawaza vitu hivi huku wahitimu wetu hawana mchango wowote kwenye soko la teknolojia duniani.
 
Anangisye chuma icho....copy za anko Magu hizo
 
Bora huu upuuzi umekuja wakati tumeshaliza chuo kitambo .nakumbuka wakati nipo sec zilikuja moka square unaweza kuta shule nzima mpo watu wawili tu. Mara wakaanza viatu ambavyo havifungwi kamba marufuku. Mara kuja na gari shule marufuku n.k n.k. chuo kila mtu ni mtu mzima sioni kama kuna mantki ya kupangia watu mavazi
 
mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufaulu
Kila Taifa na tamaduni zake,kama umefuata shule,lakini lazima ufuate Bye Laws za uendeshaji wa Chuo.
 
Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....

Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....

CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841

Hii ndio inafaa. Ninyi ni viongoz wa kesho kuweni na maadili . Naunga mkono uongoz walichofanya
 
Mbona hata Ardhi kuna hiyo kitu na watu wamezoea.. sio tu Ardhi ni vyuo vingi tu
 
Back
Top Bottom