Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

Vice Chancellor UDSM huku anafika mbali

We jamaa usifananishe maumbo ya kibantu na ya wazungu jaribu kutumia akili japo kidogo.
nyie wote mnaopinga naombeni niwaulize kitu kimoja, mavazi/dressing code ina impact gani na perfomance ya mtu kimasomo? mbona mna mambo ya kizamani sana, tena sio kizamani maana hata zamani mababu zetu walikuwa wanajifunga tu vipande vya ngozi kujisitiri sehemu za siri na makalio, ingekuwa kuvaa kuna uhusiano na kufaulu basi hata havard au Yale wangekuwa na hizo mambo(nimesema tu hapo kwa assumption hawana hizi mambo) , nyie mnaosema eti oh watu wanatega wenzao kwa nguo wanazovaa nyie ni perverts na mna tamaa zenu za ajabu tu ! acha mtu avae anavotaka kama chuo hakumfai natural selection itaamua tu ndio maana kuna wanaodiscontinue...
 
kwahiyo mapadre wakiwa wanatembea mjini wakaona wasichana wamevaa kwa kuwavutia , kwani nao huenda kutoboa godoro huko parokiani?
Usifananishe uvaaji ovyo wa chuo na ule wa mjini! Chuo is compact place.
So every venue, every place you go it's fully of emotional trouble accompanied with cos consequences specifically for guys from country side.
 
nyie wote mnaopinga naombeni niwaulize kitu kimoja, mavazi/dressing code ina impact gani na perfomance ya mtu kimasomo? mbona mna mambo ya kizamani sana, tena sio kizamani maana hata zamani mababu zetu walikuwa wanajifunga tu vipande vya ngozi kujisitiri sehemu za siri na makalio, ingekuwa kuvaa kuna uhusiano na kufaulu basi hata havard au Yale wangekuwa na hizo mambo(nimesema tu hapo kwa assumption hawana hizi mambo) , nyie mnaosema eti oh watu wanatega wenzao kwa nguo wanazovaa nyie ni perverts na mna tamaa zenu za ajabu tu ! acha mtu avae anavotaka kama chuo hakumfai natural selection itaamua tu ndio maana kuna wanaodiscontinue...
Basi mhimize Dada yako au mama yako Mdogo avae nusu uchi tuone kama ni ushamba au ustaarabu!
 
FUATA SHERIA IKUONGOZE KUMBUKA CHUONI HAKUNA ADHABU YA VIBOKO,AFU NDO NYIE MNAKIMBILIA BBC MNABAKWA?UNAMLAUMU VC KWANI MAMA AKO KIJIJINI ALIKUNUNULIA HIZO NGUO?
 
Mkuu sijui exposure yako kuhusu vyuo lakini nikutaarifu tu kwa TZ Hakuna chuo chenye foreigners wengi Kama Mweka college

Mkuu naomba nikujibu hoja zako kama ifuatavyo,hoja kwamba UDSM ndio chuo cha kimataifa pekee sio kweli,almost vyuo Vyote nchini Vina foreigners vingine kuzidi hata UDSM fanya study ktk vyuo vya Mweka na Jordan.

Hoja kwamba namna ya uvaaji haiathiri taaluma ni upofu wa kufikiri Sawa sawa, mvaaji anaweza asiathirike yeye lakini akaathiri wengine hasa jinsia tofauti.

Halafu kama msomi lazima utambue kwamba kila nchi ina utamaduni wake na katika ulimwengu wa kibepari kuna kitu kinaitwa cultural imperialism,hao wazungu unaowaona na kuwatetea wavae wanavyotaka means wanaeneza utamaduni wao.
Sisi tuna utamaduni wetu na ni lazima tuupiganie,anayetaka kuja Kusoma lazima afuate taratibu zetu hata wewe Ukienda Uarabuni lazima ufuate tamaduni zao za kujisitiri.
Excellent explanation with relevant examples!
 
Udhaifu wako kijana
sawa, kwa wale waliozaliwa mjini hawawezi kuathirika sana na hiyo code isiyo zingatia maadili ambayo nyie mnaita ndio ujanja!
But kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanzisha hiyo dressing code na waliofanya hivyo wanazo akili kuliko wewe unayepinga.
 
Kwa kuwa makazini kuna dress codes ni vema wanachuo na wanafunzi wakaandaliwa kuvaa kimaadili ili wakija kufanya kazi na kuishi na jamii wanakuwa watu wenye maadili mema na siyo wahuni
 
Na hizo dressing code zisizo na maadili wakienda majumbani kwao huwa hawazivai.
Halafu kuna wanaume wanawataka wavae ovyo lakini kwenye kuoa wanawakataa hao hao waliokuwa wanawahimiza na kuwasifia wanapendeza wakiwa wamevaa huo upupu.
Some people's mind need rehabilitation + services that cost billions of us dollars.
 
Ila jinsi hapana bwana.yaan mtu uingie coet umevaa kitambaa?
 
Mbona ni kawaida kabisa!!. Hayo mambo ya dress code yapo mpaka katika ofisi za serikali!?
 
Hii system ya dress code nakumbuka ilianzia SAUT aliileta fr. Mmoja anaitwa Mwanjonde naona nwdays karibu vyuo vyote wameamua kufanya hivyo
 
Wavaa earphones nao wajiandae,mtu kafika chuo,ananunua earphones,ukiwa na chombo cha usafiri inabidi uwe makini,waweza kuwagonga hovyo,wanakera sana hawa watu.
 
Si angeelekeza wavae nyuzi za katani kabisa sasa kama ni suala la kuenzi utamaduni wetu. Nguo za viwandani alizoziorodhesha siyo utamaduni wa Mtanzania.
 
Na hizo dressing code zisizo na maadili wakienda majumbani kwao huwa hawazivai.
Halafu kuna wanaume wanawataka wavae ovyo lakini kwenye kuoa wanawakataa hao hao waliokuwa wanawahimiza na kuwasifia wanapendeza wakiwa wamevaa huo upupu.
Some people's mind need rehabilitation + services that cost billions of us dollars.
Muambie huyu ngebo
 
Back
Top Bottom