Very soon tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya

Ubabe ndio uliomsaidia,watanzania wengi uwezo kutafakari mambo ni Mdogo hivyo ukiwaachia Uhuru wakutafakari wao wenyewe wanatapatapa.
So cha kufanya ukiwasaidia ww ukiwa kiongozi na ubabe kidogo umeshamaliza mchezo unakuwa unawaswaga tu kama kondoo..
Kondoo
 
Back
Top Bottom