Venezuela yashambuliwa na Marekani

Mkuu unaweza kuwa upo sahihi ila USA wanaongoza kwa Propaganda wakihitaji kitu Nchi yeyote.
Walianza Iran wakaja Iraq wakaenda kwa Gadhafi leo hii wapo kwa Maduro Nchi nyingi zenye rasilimali USA anaingilia kati kwa migogoro ya moja kwa moja au kwa siri yeye ndio mnufaika uliona wapi Nchi inapokonya Meli ya mzigo wa mafuta yao na kuwapa kesi ya madawa ya kulevya yaani Venezuela ni wasambazaji na wauzaji wa Madawa zaidi ya Colombia mbona huko hatii mguu na yule Rais wa Colombia na Trump ni paka na panya.
 
Watamuachia kichaa Israel awaue wale viongozi, viongozi wakuu wakiondolewa tu basi.
Ni kama alivyofanya kwa Houthis aliua serikali yote, hadi leo hawajarusha kombora

Yaani niliumia sana HOUTHIS kwisha habari yetu. Jamaa walituchakaza sana Iran nayo imekosa kabisa nguvu inatema tema mate tu kama mama mjamzito. Hawa Israel nimewashindwa kabisa...
 
Kuondoa Uongozi ndo jambo la maana, tofauti na hapo ni kujitekenya tu
Inaonekana Maduro atamkatalia Trump kuachia urais na kuondoka Venezuela kama Zelensky alimvyomkatalia Putin kuachia urais na kuondoka Ukraine. Tofauti ni kwamba Zelensky alichaguliwa kwa uchaguzi huru na raia wengi wakati Maduro ni mwizi wa uchaguzi anayeng'ang'ania madarakani baada ya kukataliwa na raia katika box la kura.
 
Waje na huku jamani. Waiokoe nchi
 
Trump anafanya kama Putin alivyofanya Ukraine.
 
Maduro ataondolewa sababu Tayari wanajeshi wako mji mkuu, ni tofauti sana na Ukraine wanajeshi wa Urusi hawakufanikiwa fika mji mkuu
 
Yaani niliumia sana HOUTHIS kwisha habari yetu. Jamaa walituchakaza sana Iran nayo imekosa kabisa nguvu inatema tema mate tu kama mama mjamzito. Hawa Israel nimewashindwa kabisa...
Na lengo la Israel ni kuua Ayatollah na Rais wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…