Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

Nia ya kuanzisha topic hii si kukashifu dini yoyote, nikuonyesha mshikamano tulionao ndani ya CHADEMA, hivyo mnaotaka kualibu topic hii kwa kukashifu dini ya watu naomba muache
 
Hata avae kanzu na koti na malapa ukweli una baki pale pale UDINI chadema hautasafishika, watanzania wameisha lijua na wanakipotezea chama ambacho ni tawi la CDU, christian democratic union.
<br />
<br />
mmmh masaburi hayo yako kazini......
 
Sasa na hii nayo ni siasa!!!!!!?. Hivi mod ile maana ya ku censor jukwaala siasa ina maaana gani???? Kichwa cha habari kinatosha kuonyesha hii habari haiquilify kuwa kwenye siasa.

Au kwa kuwa anasifiwa mbowe? Ngoja na mimi nitakuja na thread ya suti za Kikwete au Pinda
 
Amevaa vazi zuri linalopedwa kuvaliwa na watu wa pwani ,waislamu, na hata majirani zetu wa uganda ulitumia kma vazi la heshima na utabulisho wa kiganda.kwa kwel ni vazi la heshima. pongezi pia kwa mh zitto kabwe naye pia alivaa hivyo hivyo.
 
Binafsi niliconcetrate kusikiliza hoja za wabunge hasa wenye nia njema na maisha ya wavuja jasho, sikuweza kunote nguo walizovaa kumbe best ulipata muda wa kucheck handi nguo zao,hongera. Vp JOHN MOMOSE CHEO na ANA KILANGO MALECELA walivaaje?
 
Kwani kanzu ni vazi la Waislaam tu? mbona mapadri wa kikatoliki wote wanavaa kanzu, Jee, na wao ni Waislaam? awache unafik.

Bilicanas na kanzu wapi na wapi? Unanchekesha!
 
Hata avae kanzu na koti na malapa ukweli una baki pale pale UDINI chadema hautasafishika, watanzania wameisha lijua na wanakipotezea chama ambacho ni tawi la CDU, christian democratic union.

napita tu, hapanifai, naona mipasho tu!!!!
 
Kwani kanzu ni vazi la Waislaam tu? mbona mapadri wa kikatoliki wote wanavaa kanzu, Jee, na wao ni Waislaam? awache unafik.

Bilicanas na kanzu wapi na wapi? Unanchekesha!
Heeh!! sasa unalazimisha kanzu ionekane ni nguo kwa ajili ya dini fulani tu? Kama hujamaanisha kuwa ni vazi la dini flani kwa nini umemind kwa kuhusisha vazi hili husika na ukumbi wa mtajwa?? Y dont u rise a doubt kwamba kavaa vazi la wahaya. Think like lawyer.
Karibu daku.
kiti mwaa.jpg
 
kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini

ndugu yangu labda kwa kukusaidia tu kanzu ni vazi lililokuwa likivaliwa na wayahudi enzi hizo so unaweza jua anani alimfwata mbowe kati yako !!!bila kukusahaulisha sio wote wanaoendesha magari ni yaoa wengine madereva
 
Back
Top Bottom