Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
<br />
<br />
Mkuu hawajakichafua chama bt wanajaribu kukichafua, hawawez lakin!
 
kwani kanzu ni vazi la waislaam tu? Mbona mapadri wa kikatoliki wote wanavaa kanzu, jee, na wao ni waislaam?


Awache unafik. Bilicanas na kanzu wapi na wapi? Unanchekesha!

yupi ana afadhali mpwa wa bilicanas aanaeingizia serikali kodi na wewe pengine ulilipiwa chuo kwa kodi yake ama wao wanaojiita erenest malima badala ya .....malima kisa wasijulikane kusubiri ten percent ya kusaini migodi ya malizia
 
Hata avae kanzu na koti na malapa ukweli una baki pale pale UDINI chadema hautasafishika, watanzania wameisha lijua na wanakipotezea chama ambacho ni tawi la CDU, christian democratic union.
You are wrong and I belive that you have no clue why you worship in your religion if not a sect
 
Kama hujiamini usikosoe wenzako.
<br />
<br />

Thanks feedback!! This dude is busy checking spelling mistakes whilst his needs some brushing,

Ukikosea kuandika kitu ni typo tu inaeleweka na sio shule za kata 'ata' work hahahahahah bwahahahahahah @ Ritz
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri nastrategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
Kwa taarifa yako vazi hili linaheshimika sana mkoani Kagera na sehemu kubwa ya Uganda na huvaliwa kwenye Harusi na sherehe kwa watu wa dini zote.
 
Mkuu Kuberwa umenena kuna wenyewe katika Siledi hii labada na mimi nipite tu tuwaachie wenyewe
 
Back
Top Bottom