Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
vanessamdee-20201007-0001.jpg


Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya.

Na kwa kutumia instagram mbinu hii imekuwa ya kidijitali ambapo Vanessa Mdee anaweza kupost karibu picha 20 kwa siku yupo na mpenzi wake mpya.

Jux hana habari kabisa na huenda labda ashajua lengo la Mdee, hiki kitu kinamfanya Mdee azidi kuwa kichaa wa visasi maana sio kwa picha hizi.
 
Ila kweli V money tangu aachane na jux ameweka mapenzi yake live na mahaba kama kina gigy money na wema au amberuty ,huyu si bure hata mziki kaacha
 
Back
Top Bottom