SoC03 Wanaume taharuki suala la nguvu za kiume na maumbile madogo

Stories of Change - 2023 Competition

hassan yahaya

Member
Aug 27, 2022
32
34
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi haja ya kimapenzi ya mwanamke.

Hili ni jambo ambalo linawaumiza wanaume wengi kila kukicha, wanaume wanahofu kubwa sana kuhofia maumbile yao kuwa madogo na kukosa nguvu za kiume. Kumekuwa na msemo ulijizolea umaarufu wa "kibamia" kumaanisha maumbile madogo ya mwanaume. Kwa wasatani maumbile ya mwanaume ni nchi tatu na nusu mbaka sita au saba kwa baadhi ya wanaume na unene wa nchi tatu mbaka tano kwa mwanaume aliye baleghe.

Maumbile haya yanauwezo wa kumchechemua mwanamke kihisia na akarudhika kabisa bila kutumia nguvu nyingi au kutumia madawa yoyote kwani maumbile ya mwanamke yanabadilika ukubwa wake kutokana na mwanaume alivyo kimaumbile yake hivyo mwanaume mwenye uwiano wa vipimo vya kimaumbile kama vilivyo tajwo hapo juu anauwezo wa kumridhisha mwanamke yoyote ambaye yupo na maumbile ya kawaida.

Je, suala la upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo yameanzia wapi?

Kimsingi wapo wanaume ambao wana maumbile madogo na wapo ambao wanaupungufu wa nguvu za kiume ila idadi yao sio kubwa ukilinganisha na taharuki ya wanaume katika jamii yetu.

Suala hili la kuzungumzwa kwa wanaume wenye maumbile madogo na mapungufu ya nguvu za kiume yametokana na wanawake ambao wanajiuza, na wale wanaojiridhisha hamu ya tendo la ndoa kwa kutumia viti mabalimbali kama vile ndizi na tango ambapo wanawake hao kwa kufanya hivyo muda mrefu basi maumbile yao yametanuka na kushindwa kurudi katika hali ya kawaida na kupelekea kushindwa kufika kileleni wanapokutana na wanaume na pia kushindwa kuchechemuliwa vizuri kwani maumbile yao yameongezeka na yamezoea vitu vigumu kama ndizi au tango.

Hivyo kwa mwanamke ambaye yupo kawaida hajajihusisha ma kufanya mapenzi na wanaume wengi kama hao wanajiuza na hawatumia vitu kijurudhisha, mwanamke huyu anaweza kuridhishwa na mwanaume yoyote pasipo na shida.

Kupitia utafiti nilioufanya ambao sio rasmi, nilikuwa nauliza baadhi ya wanawake katika vijiji tofauti katika mkoa wa Morogoro nimepata majibu yafuatayo:

kati ya wanawake 73 nilioweza kuwadadisi kupitia mazungumzo ya kwaida bila wao kujua, wanawake 70 wanaridhishwa na waume zao, huku watatu waliobaki hawakuweza kunipatia majibu yoyote.

Hivyo hii inaonyesha kwamba suala la ukosefu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo pamoja na wanawake kutoridhishwa na waume zao ni propaganda tu zilizozushwa na watu fulani na halina uhalisia kwa kiwango kikubwa kiasi hiki kama inavyosikika kupitia mitandao.

Suala hili linaumiza vichwa wanaume mbaka kufikia hatua kuleta madhara kwa wanaume wenyewe au kuwasababishia madhara wake zao.

Mfano wapo wanawake wakisababishiwa miwasho katika sehemu zao.za siri kutokana na dawa wanazopaka wanaume wakati wakiwaingilia wake zao, wapo wanawake wanapata maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa kutoka na wanaume kuongeza maumbile yao na kuwa makubwa zaidi, pia wapo wanawake walioharibiwa sehemu zao za siri kiasi ambacho baada ya mume wake kufariki kushindwa kuridhishwa na mwanaume mwingine aliyemuoa.

Kimsingi wanaume wengi wapo katika hali ya kawaida wanauwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi lakini leo hii wanaume wengi wanapoteza muda na pesa nyingi zana ili kutafuta madawa ya kuongeza nguvu na kuongeza ukubwa wa maumbile yao na sio kushiriki katika shughuli za kimaendeleo. Kundi kubwa la vijana kati ya miaka 17 mbaka 30 lipo katika mkumbo huu wa kutafuta hizi dawa na kuzitumia.

Madhara yake kwa wanaume ni mwanaume kuwa na maumbile makubwa maradufu ambayo yanapelekea kumuumiza mpenzi wake na kukosa raha ya tendo.

Pia wanaume kupoteza zaidi ufanisi katika tendo na kushindwa kuhimili tendo kwa muda unatakiwa, kuharibika kwa via vya uzazi vya kiume kwani madawa mengine yanenda kuharibu sehemu zingine za uzazi, lakini pia kuna wanaume wanasimamisha muda mrefu sana tofauti na ile ya kawaida hali inayopelekea kupata maumivu makali sana na kupelekea aibu pale hali hii inapotokea akiwa sehemu njingine kama vile njiani na sehemu nyingine nje na nyumbani.

Kimsingi jambo hili limekuwa tatizo kubwa sana kwani idadi kubwa ya wanaume wamejikita kutafuta dawa za ugonjwa ambao hawana matokeo yake kujikuta wakisababisha matatizo na kuharibikiwa mwishowe kupoteza ule uanaume wao kabisa. Kwa wanaume, kama unahisi unatatizo kati ya haya mawili yaani upungufu wa nguvu za kiume au kuwa na maumbile madogo kabla hujaenda kutafuta dawa na kuanza kujitibu unatakiwa uongee na mwenza wako juu na mtazamo wako katika hili jambo, na unatakiwa kufahamu je yeye anarudhika ua laa! kama anaridhika na natosheka haina haja ya kuhangaikia dawa za kujitibu.

Mwisho napenda kutoa ushauri kwa wanaume na wanawake kuwa tunatakiwa kuchukua mienendo yetu ili kuboresha afya zetu, epuka kufanya mapenzi na watu wengi, upuka matumizi ya dawa bila ushauri wa kitaalamu, epuka kuchukua maamuzi ya jamba ulilolisikia bila kupata ufafanuzi mzuri wa kitaalamu, epuka kuchukua maarifa kwa watu wasiokuwa na ujuzi, mpende mpenzi wako na muwe na tabia ya kuongea juu ya masuala ya kimapenzi ili kubaini changamoto mbali mbali kwani wapo wanawake wanauwezo mdogo wa kushiriki tendo alafu mwanaume anatafuta dawa za nguvu za kiume.
 
Sasa kwasisi ambao tuna maumbile makubwa ya kihaya na tunajua kunyandua bara bara bila kupumzika mpka pale mwanamke anafikia mshindo mara 3 huku mimi mara 1 tu tufanyeje?
 
ukubwa ule wa asili hauna tatizo ila tatizo lipo kwa wanaoongeza ukubwa kwa kutumia madawa na mbinu zingine kwani husababisha madhara, lakini pia kwa asili maumbile hayawezi kuathiri na hayawezi kuzidi ule kubwa wa juu
 
Matangazo na wauzaji wa hizo dawa wamechangia kwa kiasi kikubwa kuleta taharuki kwenye jamii ya wasio na hili tatizo, pia elimu elimishi inahitajika juu ya uelewa wa hili jambo, walio wengi wanadhani tatizo la nguvu za kiume ni kuongeza (homons) unaweza kuwa na homons lakini uume ukawa hauna nguvu (penis ipotence) hayo ni mambo mawili tofauti japo yana ushirikiano, wengi wanahangaika na miti shamba badala ya vyakula, kumbe wanaongeza tatizo pasipo kujua, wengine hawana hili tatizo, lakini hujihisi kuwa nalo, hili nalo ni tatizo.
 
ni changamoto kubwa sana na elimu inatakiwa itolewe kama itawezekana kuwe na vipindi maalumu kupitia channel za televisheni ili jamii ipate kujua ukweli wa haya mambo
 
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi haja ya kimapenzi ya mwanamke.

Hili ni jambo ambalo linawaumiza wanaume wengi kila kukicha, wanaume wanahofu kubwa sana kuhofia maumbile yao kuwa madogo na kukosa nguvu za kiume. Kumekuwa na msemo ulijizolea umaarufu wa "kibamia" kumaanisha maumbile madogo ya mwanaume. Kwa wasatani maumbile ya mwanaume ni nchi tatu na nusu mbaka sita au saba kwa baadhi ya wanaume na unene wa nchi tatu mbaka tano kwa mwanaume aliye baleghe.

Maumbile haya yanauwezo wa kumchechemua mwanamke kihisia na akarudhika kabisa bila kutumia nguvu nyingi au kutumia madawa yoyote kwani maumbile ya mwanamke yanabadilika ukubwa wake kutokana na mwanaume alivyo kimaumbile yake hivyo mwanaume mwenye uwiano wa vipimo vya kimaumbile kama vilivyo tajwo hapo juu anauwezo wa kumridhisha mwanamke yoyote ambaye yupo na maumbile ya kawaida.

Je, suala la upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo yameanzia wapi?

Kimsingi wapo wanaume ambao wana maumbile madogo na wapo ambao wanaupungufu wa nguvu za kiume ila idadi yao sio kubwa ukilinganisha na taharuki ya wanaume katika jamii yetu.

Suala hili la kuzungumzwa kwa wanaume wenye maumbile madogo na mapungufu ya nguvu za kiume yametokana na wanawake ambao wanajiuza, na wale wanaojiridhisha hamu ya tendo la ndoa kwa kutumia viti mabalimbali kama vile ndizi na tango ambapo wanawake hao kwa kufanya hivyo muda mrefu basi maumbile yao yametanuka na kushindwa kurudi katika hali ya kawaida na kupelekea kushindwa kufika kileleni wanapokutana na wanaume na pia kushindwa kuchechemuliwa vizuri kwani maumbile yao yameongezeka na yamezoea vitu vigumu kama ndizi au tango.

Hivyo kwa mwanamke ambaye yupo kawaida hajajihusisha ma kufanya mapenzi na wanaume wengi kama hao wanajiuza na hawatumia vitu kijurudhisha, mwanamke huyu anaweza kuridhishwa na mwanaume yoyote pasipo na shida.

Kupitia utafiti nilioufanya ambao sio rasmi, nilikuwa nauliza baadhi ya wanawake katika vijiji tofauti katika mkoa wa Morogoro nimepata majibu yafuatayo:

kati ya wanawake 73 nilioweza kuwadadisi kupitia mazungumzo ya kwaida bila wao kujua, wanawake 70 wanaridhishwa na waume zao, huku watatu waliobaki hawakuweza kunipatia majibu yoyote.

Hivyo hii inaonyesha kwamba suala la ukosefu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo pamoja na wanawake kutoridhishwa na waume zao ni propaganda tu zilizozushwa na watu fulani na halina uhalisia kwa kiwango kikubwa kiasi hiki kama inavyosikika kupitia mitandao.

Suala hili linaumiza vichwa wanaume mbaka kufikia hatua kuleta madhara kwa wanaume wenyewe au kuwasababishia madhara wake zao.

Mfano wapo wanawake wakisababishiwa miwasho katika sehemu zao.za siri kutokana na dawa wanazopaka wanaume wakati wakiwaingilia wake zao, wapo wanawake wanapata maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa kutoka na wanaume kuongeza maumbile yao na kuwa makubwa zaidi, pia wapo wanawake walioharibiwa sehemu zao za siri kiasi ambacho baada ya mume wake kufariki kushindwa kuridhishwa na mwanaume mwingine aliyemuoa.

Kimsingi wanaume wengi wapo katika hali ya kawaida wanauwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi lakini leo hii wanaume wengi wanapoteza muda na pesa nyingi zana ili kutafuta madawa ya kuongeza nguvu na kuongeza ukubwa wa maumbile yao na sio kushiriki katika shughuli za kimaendeleo. Kundi kubwa la vijana kati ya miaka 17 mbaka 30 lipo katika mkumbo huu wa kutafuta hizi dawa na kuzitumia.

Madhara yake kwa wanaume ni mwanaume kuwa na maumbile makubwa maradufu ambayo yanapelekea kumuumiza mpenzi wake na kukosa raha ya tendo.

Pia wanaume kupoteza zaidi ufanisi katika tendo na kushindwa kuhimili tendo kwa muda unatakiwa, kuharibika kwa via vya uzazi vya kiume kwani madawa mengine yanenda kuharibu sehemu zingine za uzazi, lakini pia kuna wanaume wanasimamisha muda mrefu sana tofauti na ile ya kawaida hali inayopelekea kupata maumivu makali sana na kupelekea aibu pale hali hii inapotokea akiwa sehemu njingine kama vile njiani na sehemu nyingine nje na nyumbani.

Kimsingi jambo hili limekuwa tatizo kubwa sana kwani idadi kubwa ya wanaume wamejikita kutafuta dawa za ugonjwa ambao hawana matokeo yake kujikuta wakisababisha matatizo na kuharibikiwa mwishowe kupoteza ule uanaume wao kabisa. Kwa wanaume, kama unahisi unatatizo kati ya haya mawili yaani upungufu wa nguvu za kiume au kuwa na maumbile madogo kabla hujaenda kutafuta dawa na kuanza kujitibu unatakiwa uongee na mwenza wako juu na mtazamo wako katika hili jambo, na unatakiwa kufahamu je yeye anarudhika ua laa! kama anaridhika na natosheka haina haja ya kuhangaikia dawa za kujitibu.

Mwisho napenda kutoa ushauri kwa wanaume na wanawake kuwa tunatakiwa kuchukua mienendo yetu ili kuboresha afya zetu, epuka kufanya mapenzi na watu wengi, upuka matumizi ya dawa bila ushauri wa kitaalamu, epuka kuchukua maamuzi ya jamba ulilolisikia bila kupata ufafanuzi mzuri wa kitaalamu, epuka kuchukua maarifa kwa watu wasiokuwa na ujuzi, mpende mpenzi wako na muwe na tabia ya kuongea juu ya masuala ya kimapenzi ili kubaini changamoto mbali mbali kwani wapo wanawake wanauwezo mdogo wa kushiriki tendo alafu mwanaume anatafuta dawa za nguvu za kiume.
wanaume wenzangu njoeni tujadili hili suala hata wanawake pia mnaruhusiwa maana haya mambo yanaoneka wanawake ndio wanaonekana hawaridhishwi
kwahiyo njoen tujadili tuwekane sawa kila mmoja afahamu
 
kama ulivyosema pale juu; hali hiyo inaletwa na wanawake wanaojiuza. Imagine mwanamke anafanya tendo na wanaume wa5+/siku!
 
Back
Top Bottom