vanessa

  1. Nifah

    Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Kama tunavyofahamu, Vanessa na mchumba wake Rotimi wamefanikiwa kupata watoto wawili, wa kiume Seven na wa kike Imani. Kwa kitambo, Vanessa na mwenzi wake hawakuwahi kuwaonesha watoto wao katika mitandao kama ambavyo mastaa wengine wakubwa nchini na ulimwenguni kote hufanya. Usiri ulikuwa...
  2. MamaSamia2025

    Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  3. Lady Whistledown

    Marekani: Vanessa Bryant kulipwa zaidi ya Bilioni 37 na waliosambaza picha za ajali ya Mumewe

    Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
  4. MSAGA SUMU

    Vanessa Mdee ajifungua, apewa jina la kichifu la Kipare na Igbo

    Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu. Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
  5. N

    Trailer ya Coming To America 2: Rotimi ndani, msishangae Vanessa Mdee akawa na soundtrack yake

    Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria...
  6. N

    TRAILER YA COMING. TO AMERICA 2 hii hapa..Rotimi ndani..msishangae Vanessa mdee akawa na soundtrack yake

    Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria...
  7. sky soldier

    Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  8. U

    Nani mkali kati ya wasanii hawa wa kike, Nandy vs Vanessa

    Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee. Niende moja kwa mmoja kwenye mtazamo wangu naona Vanessa ni bora zaidi kuliko Nandy,, ukiangalia kwenye sauti ,uchezaji...
  9. Suley2019

    Vanessa Bryant Files Wrongful Death Lawsuit Against Helicopter Co Pilot

    Vanessa Bryant has just sued the company that owned the doomed helicopter that crashed, killing Kobe, Gigi and 7 others ... claiming the aircraft should never have been placed in the peril it was in before the Jan. 26 accident. The lawsuit alleges Island Express was only allowed to fly...
  10. H

    Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

    Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess. Amefunguka baada ya kushindanishwa na V.Money na Ruby na mashabiki nakusema wote wawili hawapo level yake na amewashauri mashabiki...
  11. beth

    The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

    Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star! Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa Mdee, who also goes by Vee Money. She’s also an activist and television personality who is currently...
  12. N

    Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

    Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na...
Back
Top Bottom